Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 2,742
- 4,931
Hili janga linazidi kuwa kubwa sana, hii ishu bado sijajua ni kipi hasa kinapelekea itokee. Huenda ni kuiga ama tamaa za hapa na pale. Hapa nazungumzia vile vi binti vidogo vidogo.
Mtaani unakutana na mabinti wadogo wadogo wana watoto wengine wana ujauzito wakisubiri kujifungua. Hii kitu imekuwa kama fashion sasa kila binti anafanya tu, hapo nyuma kidogo hii kitu haikuwepo kabisa. Ata hawa wasanii wetu wa kike hapo nyuma walikuwa wakiogopa kupata ujauzito ili baadae wajifungue ila sasa hivi aaah wanapenda sana. Turudi huku mtaani hawa mabinti wadogo wanao pata ujauzito kisha watoto ingali hawajui ata malezi yako vipi ni nini kimewasibu?
Ieleweke kuwa sipingi wanawake kupata ujauzito kisha mtoto, ila imekuwa kama mtindo fulani hivi yaani kama binti yupo mtaani tu hasomi basi anawaza kupata mtoto. Ni sawa ila muwe walezi bora kwa hao watoto wenu.
Uzi tayari