Kiongozi wa dini anaposepa na rambirambi za msibani
Tabia mbaya ya baadhi ya viongozi wa dini ya dhehebu fulani wanapoongoza ibada ya mazishi
ya muumini wao, wanakusanya rambi rambi zilizotolewa na waombolezaji na kusepa nazo. Ijapokuwa marehemu ni muumini wao hawachangii chochote kwenye rambi...
Tatizo siyo wafanyabiashara bali ni EWURA yaani serikali. Biashara ni kipaji na taaluma. Serkali haijui kufanya biashara na kamwe haitaweza kufanya biashara kwa ufanisi. Mfupa uliomshinda Nyerere Kikwete atauweza? Nyerere aliingiza serikali katika kila biashara hadi ya kusaga mahindi na kuuza...
Siyo kila anayevaa baragashia ni Mwislamu. Kwani kila anayevaa t-shirt ya New York Yankees ni mcheza baseball wa timu hiyo? Kama ni hivyo basi hawa wamezagaa nchini kote.
Wewe Lole Gwakisa, jibu hoja iliyoko, siyo kumzulia aliyepost hoja isiyo yake na kujitia kuijibu. Hoja ni tulienda msumbiji kama nani na siyo uwezo wa jeshi letu. Kama mwaka 1979/80 Kaboya ailtumia maneneo yaliyosemwa na Nyerere mwaka wa 1975 ni nini cha ajabu? Si unakumbuka "zidumu fikra"? Kila...
Ndiyo maana tunapendelea nchi kuongozwa na Mmasai au Mbarbaig, siyo kwa kuwa wanajua kuchunga ngombe na kupigana na simba bali kwa kuwa wako nyuma kimaendeleo kuliko Watz wengine! Yaani kwetu Tz walio nyuma ndio mfano wa kuigwa!
Huyo kalala au ni yale mambo yake ya kuzimia? Naona wenzake hata hawashangai, wanaona ni mambo ya kawaida tu. Kimsingi Mkuu akizimia inabidi naibu wake ashike madaraka kwani akiwa amezimia hayuko tena madarakani. Swali la kurudi madarakani kama akizinduka itabidi lijadiliwe baadaye.
Liache libaki hukohuko kwani lenyewe ni li-Taliban. Linapata mdadi sana kubomoa, kurudisha nyuma maendeleo ya watu, kuwatesa na kuwazulumu haki zao. Fidia ya nyumba 60 za mjini katikati kwa shilingi 600, hiyo ni fidia au ni zuluma ya mchana kweupe. Na nyie mnaomshabikia kwa matendo hayo...
Wanafunzi 400 wajisaidia porini
na Ambrose Wantaigwa, Tarime
Tanzania Daima, 17 January 2011, pg 6.
SHULE ya msingi Nyairoma iliyoko katika kata ya Sirari wilayani Tarime yenye wanafunzi zaidi ya 400 inakabiliwa na upungufu wa vyoo na kusababisha wanafunzi kujisaidia porini...
Kuiba kura, kuchakachua matokeo ya uchaguzi ni kitendo cha uhaini kwani ni sawa na kupindua serikali. Serikali halali inachaguliwa na wananchi halafu vibosile vichache vinakaa na kula njama na kuamua kucheza na hizo namba ili aliyeshindwa aonekane kashinda na aliyeshinda aonekane kashindwa. Hilo...
Excellent idea. NEC ina majina yote kwenye kompyuta na ni kiasi tu cha kuyaweka kwenye website yao kama hawaogopi kuwa uchakachuaji wao utabainika. Tatizo la wapiga kura kukosa majina yao katika maeneo waliojiandikisha ni kubwa na ni makusudi kwani mchezo wa kuwapa "mabakia ya wajumbe wa CCM wa...
Lula da Silva, Rais wa Brazil aliyesoma hadi darasa la 4 tu.
Luiz Inácio Lula da Silva was born 6 October 1945. Known popularly as Lula he is the thirty-fifth and current President of Brazil.
A founding member of the Workers' Party (PT Partido dos Trabalhadores), he ran for President...
CCM Irudishe Hela Iliyokusanya kutoka kwa Wanafunzi kwa Kutumia TCU
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu jinsi TCU ilivyokusanya mabilioni ya fedha kutoka kwa wanafunzi na madai kuwa fedha hizo zimeenda kugharamia kampeni za uchaguzi za CCM kinyume na sheria. Utumiaji wa TCU kunyanganya vyuo...
Yaani, these people are completely INCOMPETENT. They cannot even present a list of names properly much less on time. Their graduate degrees ought to be MI, that is Master of Incompetence. I hear that some of these professors have fake PhDs just like a good number of their fellows in politics. To...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.