Kiongozi wa dini anaposepa na rambirambi za msibani

Kiongozi wa dini anaposepa na rambirambi za msibani

Joined
Jun 13, 2010
Posts
22
Reaction score
1
Kiongozi wa dini anaposepa na rambirambi za msibani

Tabia mbaya ya baadhi ya viongozi wa dini ya dhehebu fulani wanapoongoza ibada ya mazishi
ya muumini wao, wanakusanya rambi rambi zilizotolewa na waombolezaji na kusepa nazo. Ijapokuwa marehemu ni muumini wao hawachangii chochote kwenye rambi rambi bali wanapora rambi rambi zilizotolewa na
waombolezaji wengine na kuondoka nazo. Je, hiyo ni sawa hiyo?
 
1236798_625191070847439_1313825439_n.jpg
 
Hii picha inauhusiano gani na taarifa yako aijakuelewa
 
Hawa watu ndio wabaya kabisa, anakuomba mchango kuwa anamuoza Bintiye, unamchangia na unahudhuria sherehe. Kiongozi wa shughuli ya ndoa anaanza masharti mapya Ooooh kwanza wengine humu ndani sio wasafi, hamjui kukaa wanawake wote mkavae nguo za heshima, wanawake wote vaeni kitambaa kichwani na mkae sehemu yenu (sasa km hana ajifunike na gag....?)
Watuwengine Bwana km watu wanahudhuria sherehe au Misiba jueni mko watu wa DINI mbalimbali sio kuvaa Misalaba mikubwa au kanzu ili tu uonekane wewe ndio unamjua MUNGU kuliko wenzako
(km Picha hiyo ya huyo jamaa)
 
Kiongozi wa dini anaposepa na rambirambi za msibani

Tabia mbaya ya baadhi ya viongozi wa dini ya dhehebu fulani wanapoongoza ibada ya mazishi
ya muumini wao, wanakusanya rambi rambi zilizotolewa na waombolezaji na kusepa nazo. Ijapokuwa marehemu ni muumini wao hawachangii chochote kwenye rambi rambi bali wanapora rambi rambi zilizotolewa na
waombolezaji wengine na kuondoka nazo. Je, hiyo ni sawa hiyo?

Viongozi hao hao au wengine wanashawishi waumini wao wakiwa wazee au wanaumwa na
hawajiwezi wawapelekee mayai na kuku ati wawapatie baraka. Yale yale akilalamikia Martin Luther. Kanisa la Kristu limechanika vipande vipande (madhehebu) zaidi ya 40,000 kutokana na upotoshaji wa malengo ya dini na matendo
ya kinafiki ya baadhi ya viongozi.
 
Back
Top Bottom