Recent content by ngubo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Unaweza usiambiwe, ila sio vizuri kufanya mambo haya

    Ukiazima gari la rafiki yako hakikisha umesoma gauge ya mafuta iko wapi ili ukiirudisha angalau isomeke juu ya pale ulipoikuta
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ulipo kuna umeme muda huu?

    Hakuna umeme
  3. N

    JamiiForums Tanzania Top Ten: Makabila ambayo watu wake upstairs pamechangamka

    Mbona Wajita siwaoni,hao walitakiwa wawe namba moja
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tunza rekodi ya biashara yako kwa kutumia application ya simu

    Ambao hawatumii Android wanaipataje
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu zipi zinazopatikana maligafi ya mpira hapa Tanzania

    Ndugu wajumbe naomba kufahamishwa eneo yanakopatikana maligafi ya mpira kwa ajili ya kutumiwa kwenye kiwanda kidogo cha vifaa vya plastic
  6. N

    JamiiForums Tanzania RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

    Kwa kweli namuunga mkono mkuu wa mkoa. Mfereji imejaa chupa zenye mikojo, ni uchafu kila mahali Sent from my RNE-L21 using JamiiForums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Aliyeishuhudia ajali iliyoua dereva bodaboda Goba saa 1 usiku (8-6-2021), tufahamishe ilivyokuwa

    Waendesha bodaboda wengi wamegeukia kunywa double Kiki baada ya viroba kupotea, ulevi nao unaachangia ajali kuongezeka Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mbatia awashukia CHADEMA, adai ni wabinafsi na wasiojua historia ya mageuzi nchini! Adai wakiendelea kumwita msaliti atamwaga siri zao

    Waache wagombane wenyewe kwa wenyewe, CCM itadumu zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Naomba unisaidie link ya Huawei mate 10 lite Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kujifunza programming bila kwenda chuo

    Open university na Ruco kumbe ni vyuo vya mbuzi ok sawa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

    ATCL wapambane ili waweze kuifufua karakana yetu kule KIA Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

    mpangie bas kua mpinzani anatakiwa aweje ili asiwe wa hivyo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi huko alipo saa hii kakaa,kachuchumaa, au kalala na kitambaa cheusi usoni

    Atakua anakunywa gahawa na kashata
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Hamisa Mobetto akubali ile voice note na mganga ni sauti yake

    Hao ni wazazi hata wakiongeza watoto watano wee kinachokuuma ni nini
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke unampaje mwanaume namba kisha baadae akikutongoza unamkataa?

    Zena
Back
Top Bottom