Kazi kwelikweli😃Nipo mqkao makuu ya tanesco apa hakuna umeme
Wacha waisome nambaa eeee![]()



Nauliza tu maana naona watu wa mikoa mitatu wanalalamika umeme umekata.
Je ulipo wewe umeme upo?
Sawasawa 👏👏.. vipi lakini huko usharudi au ndo tuendelee kusubiri 😀Ahsantreeeeeeee!!! Jipigie makofi jirani![]()
Wazo zuri mkuu.
DUBAI ELECTRIFICATION COMPANY,Acha ufala we ni msemaji wa tanesco watu wanakosa biashara unakuja na neno ''kama" kuna vitu vingine ongeeni kama watu sio chawa, unaleta hasira sana