Tunza rekodi ya biashara yako kwa kutumia application ya simu

akroatis

Member
Sep 18, 2017
34
27
Kwa wale wenye biashara za maduka madogo na kati, sasa unaweka kutunza kumbukumbu za mauzo na bidhaa za duka lako kirahisi.

"Stock manager & Sales register" ni application ambayo ni ya bure kabisa, haitaiji internet muda wote, unaweka kutumia ukiwa offline, data zitatunzwa ukirudi online.

Hii application, itasaidia kujua taarifa ya mwenendo wa biashara yako, kama vile:
  • bidha ipi inauza sana
  • bidhaa ipi inakaribia kuisha stoo
  • bidhaa ambazo zinakaribia kuisha muda wake
  • ripoti za faida na hasara, na mengine mengi

Kwa sasa, application inapatikana Playstore, link yake ni Stock manager & Sales register - Apps on Google Play

Kwa maswali na mawasiliano, usisite kuuliza.
 
Mkuu hiyo App itajuaje Kama bidhaa fulani unakaribia kuisha ebu fafanua kidogo nielewe
 
Mkuu hiyo App itajuaje Kama bidhaa fulani unakaribia kuisha ebu fafanua kidogo nielewe
Ukisajiri bidhaa kwenye application, unaweza kuweka kiasi ambacho unataka application ikutaarifu kuwa bidhaa inakaribia kuisha

Kwa mfano: labda unauza soda, ukasajiri kuwa zikibakia chupa 24 kwenye stoo ndio ikutaarifu. Basi ukiuza soda hadi chupa zikabaki chinu ya 24, application itakupa taarifa kuwa soda zinakaribia kuisha stoo
 
Nimekuelewa mkuu, acha niingie playstore nipakue hyo App
 
Back
Top Bottom