Kwanini kila kitu unajipa negative attitude, watu wanasema ndoa ngumu, lkn bado zinafanyika, Singapore walibezwa lkn ni 1st world, jifunze positive response na thinking. Na hapo ulipo najua unasifia Rwanda kufanya vzr, ila kwako hutaki kukubali km utafika. Unajua kuwa ruvu juu na xhini kuna...