smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,408
- 2,844
Mkuu umesahua na ile ya gb 3.7 kwa sh 2000 halotelMhh hili ni tangazo gb 1 kwa 3400 huku halotel 1200 1.2gb
Mkuu umesahua na ile ya gb 3.7 kwa sh 2000 halotelMhh hili ni tangazo gb 1 kwa 3400 huku halotel 1200 1.2gb
Thanks niliianza kwenye dagaa kulinganisha na yakeMkuu umesahua na ile ya gb 3.7 kwa sh 2000 halotel
Halotel GB 1.2 ni Tsh 1000 tu bila senti kwa week nzimaMimi huwa nanunua data pekee kwa TZS 3400 napata 1GB wiki nzima na pia Social Network zote ni bure!
TOyota crown ina 180kph, passo nayo 180kph. Bei ziko sawa? Zote zinafika 180kph kwa muda uleule?Mhh hili ni tangazo gb 1 kwa 3400 huku halotel 1200 1.2gb
Kwangu inakataa inanipa menu ya shs 500 kwa 300mb masaa 24*149*03#
Pia unadownload ki2 kimoja cha gb 1 kwa 3400 mm nadownload vitatu kwa 2000 na 1400 na inabaki chenjiTOyota crown ina 180kph, passo nayo 180kph. Bei ziko sawa? Zote zinafika 180kph kwa muda uleule?
ha haaa! mkongo wa taifa etie?yani hiyo 4G ya TTCL uozo mtupu...kama unataka stress nunua uone plus wako expensive af hamna kitu waiiii....
Network inashika Dar city centre pekee. Hata kimara tu inashika kwa kubembelezaI know TTCL since broadband kwakweli hawa jamaa wako hot....ila sijajua coverage yao ikoje nnje ya dar na maeneo ya pembezoni mwa mji
kifurushi gani hicho mkuu?Kwa hii bei naendelea kutumia VODA 2000 GB 3 Wiki nzima na spidi mwendo mdundo.
yani sio mkongo tena itakua mchina wa taifa tehha haaa! mkongo wa taifa etie?
yani hiyo 4G ya TTCL uozo mtupu...kama unataka stress nunua uone plus wako expensive af hamna kitu waiiii....
Nilinunua line ya TTCL ya 4G kwa tshs. 2000/-,nikaweka kwenye simu. Kuvuka mataa ya ubungo network ikakata,sijawai itumia tena mpaka leo hii.
Waeke bei za ushindani...alafu coverage pia ni ndogo kuanzia 3g na 4g kwingine kote ni cdma....wafanye swap waache siasa.Wabongo wamefanya nini? Kama TTCL ni wabovu lazima tuseme.
Chali hiyo simu yako labda haisupport 4g maana TTCL kwa upande wa 4g wako dsm yote na hata kibaha wamefika. Kuhusu gharama lazima ujue utofauti wa 3g na 4g mkuuu.
pesa yote hiyoooo, duhh internet tz ni gharama sana angalau wangeweka bukuMimi huwa nanunua data pekee kwa TZS 3400 napata 1GB wiki nzima na pia Social Network zote ni bure!
hivi umesoma ulichokiandika?Wewe una simu inayosupport 4g au kujifanya mjivu huku ukitumia simu ya 2g. Kwa speed ya internet hakuna kama TTCL. Tatizo watu mnapenda vya wengine vya ndani hamtaki kusikia wala ku-appreciate. Tabia ya kichawi hii
Halotel ni Baba yao kwa vifurushi,Japo bado Wapo Kwenye 3G, 1500 = 1.2 GBMhh hili ni tangazo gb 1 kwa 3400 huku halotel 1200 1.2gb