Ukitaka kumtosa mwanaume mpige kizinga tu

Ukitaka kumtosa mwanaume mpige kizinga tu

Ukinipiga kizinga sikupi kabisa na hunion ila ukikubal tu kawaida ntakuhudumia hadi usivyotarajia.m n mlevi wa wanawake wastaarab.
 
Hakuna mwanamke anaejitambua when it come to money mama..hata sisi wanawake tulionao wanamishahara mikubwa ila hela tunawapa tu..kupenda kunaongezewa na vtu vingi ikiwemo uwezo mwanamke gani anataka aishi na mwanume fukara..acheni uongo

Mi siwezi kupokea hela ya mtu ambae simpendi, ndio maana nikasema nimeridhika na ka mshahara kangu. Ila km ni mtu nampenda hapo wala hakuna mjadala. Ntachukua sana.
Sina tamaa na hela za mtu, eti kusema nichukue tu halafu nipotee, siwezi na wala sina hulka hiyo.
 
Ukitoa papuchi ujue una interest nae.
Ukipiga kizinga akatoa, humpi nafasi ya kupumua unapiga kingine kikubwa zaidi.
Unaweza ukapiga kingine kikubwa zaidi..yeye akaona ni kama ametoa buku...anakugegeda halafu anakuacha.anasubiria a new comer.kuna mijitu inahonga si mchezo.kama we msuri ni pm.nikupe pipo zinazohonga bwalaaaaa
 
Hivi mmeielewa mada au mimi ndio nimeielewa tofauti!!
Lengo sio kumchuna bali kumkimbiza, ndio maana unapiga kizinga ambacho unajua hatotoa, anabaki tu akijiuliza. 'Hivi huyu ana akili timamu' .
 
Hivi mmeielewa mada au mimi ndio nimeielewa tofauti!!
Lengo sio kumchuna bali kumkimbiza, ndio maana unapiga kizinga ambacho unajua hatotoa, anabaki tu akijiuliza. 'Hivi huyu ana akili timamu' .
Ok mfano vipi umempiga kizinga cha milion moja akakutumia.we ulidhan hatotoa ila katoa.au umepiga kizinga cha ten akakupa 50.hapo inakuwaje espy
 
mambo yale ya kusema ooh nna boyfriend sijui am taken yashapitwa na wakati.

siku hizi ukiona a man anakufatafata and humtaki we mpige kizinga tu uone,tena first day tu,mara moja anakoma.

ni wachache sana wataendelea kusumbua after "kizinga".

a2cf3a0a17439c5a98cab26f18089fbb.jpg

Usije ukajaribu kwangu utaliwa tu maana hakutakua nanamba nyingine mikupigwa mizinga kwangu nimoja ya starehe na mrembo asipo nipiga mizinga huyo napiga chini chini maana inamaanisha kunamwenzangu anahudumia wakati misipendi kusaidiwa
 
Napiga kingine mpaka achoke mwenyewe.
Anakutumia ...ila mbelen lazima utatafunwa usipo tafunwa kweli utakuwa unique.na huna shida na pesa.au hauhotaji pesa kuyaendesha maisha...ila wengi hapo kutafunwa rasima
 
Anakutumia ...ila mbelen lazima utatafunwa usipo tafunwa kweli utakuwa unique.na huna shida na pesa.au hauhotaji pesa kuyaendesha maisha...ila wengi hapo kutafunwa rasima
Hivi bado kuna wanaume maboya kiasi hiko!!!
 
Sisi wakaka wakubwa tunawaogopa wanawake kuliko wao wanavyoweza kuwa tayari kuwa karibu na sisi. Huo mzinga tunausikia tu
 
hiyo ni kweli...Kuna demu wangu mwaka jana alinipiga mzinga wa jero ya vocha nikam blacklist, siku ya mwaka mpya kwa kutumia namba nyingine akaniambia amejua kosa lake nkamwambia haina shida aende tu maana kunipiga mzinga mimi ni sawasawa na kutishia usalama wa maisha yangu.
Hahahaaaa umetisha Mkuu jeroo
 
Hahaha hyo ni njia moja nzur sana mm naitumiaga
Baada ya hapo utaona mwenyewe hata salaam imekuwa inshu
Baadae wanabaki kulalama oooh siku hizi mademu wanapenda pesa sana
 
Mambo yale ya kusema ooh nina boyfriend sijui am taken yashapitwa na wakati. Siku hizi ukiona a mwanaume anakufatafata and humtaki we mpige kizinga tu uone, tena first day tu, mara moja anakoma ni wachache sana wataendelea kusumbua after "kizinga".

a2cf3a0a17439c5a98cab26f18089fbb.jpg
Say, unapiga kizinga, anatoa, anaendelea kusumbua, what next?
 
Back
Top Bottom