Recent content by nga'ga

  1. N

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Unakubaliana nami kuwa wa akina dogo hawana mwelekezi , na hawana walezi; ambao inawapasa kuwaelekeza namna bora ya kutumia facebook, simu n.k. Hivyo akili zao wako utupu(uchi). Mtu pekee wakuwaelekeza hayo ni mwalimu. Huyo mwalimu hafanyi hiyo kazi, amegoma. Si mwalimu wa serikalini au wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Mgomo upo,tena umekommaa, kama si kushika kazi. Juulize, 1. Ni kwa kiasi gani walimu wanatumia muda wao kufuatilia maendeleo ya kielimu ya wanafunzi wao? 2.Ni mazoezi mangapi na test ngapi walimu wanatoa kwa wanafunzi wao? 3. Fanya utafiti,hata hao walimu wakitoa test na mazoezi yanakuwa ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    "Mwalimu ni mwenye nguvu,ana nguvu kuliko askari mwenye bunduki. Mpumbavu hawezi kuona nguvu zake. Mwalimu ana nguvu kwa sababu anashona vazi la akili." Walimu wanaendelea na mgomo wao kimya kimya, matokeo yake ni kuwa watoto wetu wanatembea uchi, uchi wa akili; madhara yake tumeanza kuyaona...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Nyama zakosa wanunuzi machinjioni!

    Doo!!, Kumbe waliosema kuwa serikali yetu inaongozwa kwa misingi ya dini ya kiisilamu wako sahihi. Sasa Serikali imeamua kuwalazimisha wakristo kufanya ibada ya kiisilamu?? Tugawane machinjio; yawepo ya kikristu na ya kiisilamu. Pole Tanzania; " Kisiwa cha amani''
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    MUNGU WA IMANI YA KIKRISTO, HUJITETEA MWENYEWE. Ninawakumbusha wale wote, waliopo serikalini na hata nje ya serikali, wenye ajenda dhidi ya ukristo na Mungu wa wakristo; kua kila siraha itakayoinuka dhidi ya ukristo haitafanikiwa. Ninawapa pole sana. Ninahakika wataangamia kama vile Farao na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Mh Zitto, WanaChadema wote, na wapenzi wa Chadema wote, kila mmoja wao kwa namna yake na jinsi yake, wametoa muda wao, damu yao na jasho lao, hivyo Chadema in jasho la wengi si lako tu. Wala usidhani wewe ni nguzo ya Chadema, au ni wa muhimu sana katika Chadema. Chadema ni chama cha...
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

    Nipe details ,tushauriane
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba/ mume

    La maana zaidi kuweka mbele kutaka kupima ukimwi kwanza. Je unaelimu ya fani gani? na ni dini gani?
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

    1. Mheshimiwa inaonyesha hata wewe unamatatizo, kauliyako ya kwanza unasema tumepata watoto...; ikifikaikatika mali unasema nina nyumba mba ili n.k Hiyo hali ya kumbagua mkeo katika mali, hakuna mwanamke yeyote jini ya jua atakayeifurahia; JIREKEBISHE kumbuka sheria ya ndoa inaelekeza mali...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni makosa gani yanayoweza kuvunja ndoa?

    Kosa linaloweza kuvunja ndoa/mapenzi ni moja tu.Nalo ni KUTOSAMEHE Kwani kwa lolote atakalokosea mwenzio katika ndoa/mapenzi ukisamehe, mtaendelea na mapenzi/ndoa yetu. utakapofanya kosa la kushindwa kusamehe, jua wazi kua ndoa/mapenzi yenu yatafunjika, na kufika mwisho.
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani mke wa mtu ni sumu; afa baada ya kufanya mapenzi na mke wa mtu na uume wake kushindwa kurudi

    Daah, ikitafutwa dawa ya kunasa wanawake itakuwaje?. labda hiyo technologia itafanya mdomo wa mashine ukae wazi muda wote
  12. N

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji yaomba wananchi kuwataja Wahamiaji haramu nchini

    hey, Hawa ndugu hawatufai hata chembe. Si unaona wanafyowatesa wakenya? Kila leo mabomuna milipuko.
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Mimi nipo tayari ni-pm faster....am serious
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ukitongoza "changudoa" mombasa vumilia maswali

    dah hayo mombo!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

    mmhmhm kazi ipo
Back
Top Bottom