Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

Nahitaji ushauri wenu wanaJF,
Ndoa yangu ina umri wa miaka 21 na mimi mwenyewe nina umri wa miaka 46. Katika ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto 3. Mke wangu yeye ni mjasiria mali (siwezi kusema ni mama wa home) kwani anasimamia vijimiradi vya familia na mimi nimwajiriwa wa seriakli. Katika maisha ya ndoa mimi kama baba nimejenga nyumba 2, nina usafiri mzuri magari 3, nina mashamba 2 ya nguvu na vimifugo kidogo si haba. kati ya hivyo vyote hakuna senti iliyotoka mfukoni mwa wife. Nyumbani kama mnavyofahamu kuna facilities za kumuwezesha wife aihudumie familia kwa urahisi, kule kitchen kila kifaa cha kurahisisha mapishi kipo.

Sikilizeni tatizo lilipo, kama mnavyojua sahani zikikaa pamoja lazima zigongane, sasa ikitokea kutoelewana wife hawajibiki kwa maana sipikiwi chai, hakuna kusimamia mafundi na vibarua wataachwa wachakachue wapendavyo, achilia mbali tendo la ndoa ambalo lazima nisahau. Kaenda mbali ndugu kawaambia ninavyomnyanyasa nao bila kuuliza wameungana naye. mambo hayo ni karibu miaka 5 na zaidi hakuna maelewano ndani ya nyumba. Labda nijisemee na mimi, kweli najijua nina hasira lakini pamoja na hayo kwa miaka yote hiyo 21 ya ndoa sijawahi kunyosha mkono kumpiga wife, kurudi nyumbani usiku sio tabia yangu, sina mtoto wa nje wala small house na sijawahi lala nje hata siku moja. Nilikuwa nikipokea mshahara namkabidhi, then naomba hela ya matumizi lakini yeye hela inayopatikana kwenye vijimradi vyetu sijui inatumikaje.

Hatua tulizochukua kujaribu kupata muafaka, sisi wenyewe tumekaa several time hakuna kusikilizana ikabidi tushirikishe family friend tunakaa kidogo yanajirudia, ndugu wa pande zote wamejaribu hakuna muafaka, Hali iliyopo sisi wenyewe hatuwezi tena kuyamaliza ingawa ndio tulikuwa na dhamana ya kuyamaliza.

Nipeni ushauri, ni-sacrify kila kitu niondoke zangu? maana naona uchungu eti tugawane mali wakati najua nina madeni bank kwa ajili ya mali hizo ambapo yeye hakuchangia achilia mbali usemi wa sasa hivi kwamba mali ya ndoa ni ya wanandoa wote. Nitafute small house maana tunda nimeshanyimwa takribani mk2 sasa. Nisiwachose, maoni yenu tafadhali

pole sana kaka..huyo wife wako hajui mume mzuri hadi pale atakapokukosa..
mi nakushauri ufanye yafuatayo
1. usiondoke nyumbani jumla wala usimzirie mali ulizotafuta kwa jasho lako mwenyewe
2. Tafuta small house utafute faraja huko..hii ni dawa kubwa ya wanawake wakorofi..ila angalia kuna small house zingine ni mkosi zaidi ya wife..tafuta mtu aliyetulia, mwenye heshima zake sio baa medi..
3. Toa matumizi nyumbani kama kawaida na yeye muhudumie kama kawaida, mnunulie zawadi n.k
4. Wala usimnyanganye miradi yake anayosimamia..ukifanya hivyo atakufanyia vitimbi vikubwa zaidi au ataziua hizo biashara zote zipotee bure..mwache awe buzy na biashara na wewe kuwa buzy na small house..
5. Akishajua una small house, atawaka zaidi na huu ndio utakuwa wakati muafaka ama wa kupatana au kuachana kwa amani..mkipatana atakuwa na heshima kubwa sana kwako na mtaishi vizuri kwa kuheshimiana..
6. Kuanzia sasa anza kuinvest kimya kimya, kwa mfano kujenga nyumba nyingine ambayo incase mambo yamekuwa magumu zaidi unaenda kuishi kwako sio kupanga.
 
nyumba kubwa ,kwa mtazamo wangu,mpaka huyu mkuu akaja hapa ni kuwa hajui tatizo ni nini.
"
Kama atakua anajua halafu akaja na ameshindwa kuandika tatizo lake hapa ni tatizo na itakua ngumu sana kupata msaada hapa.
"
Pia wanawake wana sababu nyingi sana za kuwafanya wafanye mambo ya ajabu,na pengine sababu hizo zisiwe za msingi au zisiwepo kabisa
"
Ugumu wa jambo la Fugwe ni kuwa mkewe haoneshi ushirikiano.
"
Sishangai ndugu zake ku-side kwa mkewe kwani napo kuna mengi ya kutazamwa hapo.
Huenda kitendo cha Fugwe kumkabidhi mkewe mshahara kiliwaudhi hivyo wanaamua kumkomesha!
 
Last edited by a moderator:
Inakuwaje kuwa pamoja na makosa yote hayo ya mkeo na mazuri yote ufanyayo bado ndugu zako wana side na mkeo? Je kuna kitu kibaya ulichofanya ambacho hujakiandika?

Kama unajua kabisa kuwa ugomvi umeanza miaka 5 ilopita utakuwa unajua pia sababu ya ugomvi...kama unajua umeanza kunyimwa unyumba miaka 2 ilopita unajua incidence ilopelekea wewe kunyimwa unyumba.

Sidhani kuwa mkeo ni kichaa hadi afikie kumyima mumewe unyumba kwa miaka 2; mume anayempa mshahara wote. Kama ulitenda kosa kubwa na unaona vibaya kuliandika humu (which is okay with me) muombe radhi na muanze upya....wengi wanaoacha nyumba zao baada ya kuishi muda mrefu kama nyie hawaishii pazuri...tatua tatizo baada ya kukubali ulipokosea.
nyumba kubwa mumeo huwa anakukabidhi mshahara wake wote tar 26 kila mwezi?
 
kuna uwezekano mkeo akawa limbukeni au amejiona sasa anaweza kuwa kila kitu bila wewe. Ingawa stori yako ni upande mmoja, uwezekano wa kukudhuru ni mkubwa hasa kama anatoka kwenye makabila yanayojulikana kwa tabia hiyo. Muhimu kaa ufikiri na umuite umpe ukweli wa moyoni bila vitisho wala kugusia kuwa unataka kuachana naye. Akijua kuwa una mpango huo atakuwahi na kukuharibia maisha. Ningekuwa wewe ningebadili usimamizi wa mali kiasi cha kupunguza kipato chake. Ningeweza hata kujaribu kumpunguzia hiyo biashara nikimpa somo kuwa kukaa nyumbani ni jambo muhimu. Kama anakunyima chakula cha bwana basi kuna kidudu mtu ambaye ameishamuingia. Fanya utafiti ujue kiburi chake kinatoka wapi ili ujue jinsi ya kupambana naye. Waweza kuanza ku-diversify miradi yako ili kuanza kukusanya nguvu mpya in case if anything happened. Nadhani kwa leo haya yanatosha mwanangu. Pole sana kwa yanayokukuta.

huyu atakuwa anaka-serengeti boy kanampa mambo,
dawa mtafutie tego ili anase aumbuke. Haiwezekani akunyime haki yako kwa almost 2yrs
 
inaonekana mkeo upendo kwako hakuna tena, two years bila ku do na wewe tayari hilo ni tatizo, sisemi moja kwa moja kuwa kuna mtu anamkuna lah! kwa kuwa mwanamke anapomchukia mtu humchukia kweli kweli yaani kiwango cha mwisho specialy mtu ambaye alikuwa mpenzi wake, yaani alikupenda saana halafu wewe ukawa haumjali, hata kama hulali nje, humpigi wala huna nyumba ndogo, lakini vile tu unavyoongea naye au matendo yako unapokuwa naye yanamchosha na kumkera hayo tu yanatosha yeye kupoteza upendo kwako, wengine huona bora hata ungelala nje awe huru nyumbani na watoto bila ya wewe. kwa hiyo jichunguze wewe kwanza.

2. mkeo ana upeo gani wa kutambua uwepo wake katika ndoa yenu? kama ni yule wa bora liende hajali hata watoto wake mwenyewe, utazidi kuumia ndugu!! huwa hawana muda wa kujua nani anaumia katika maamuzi watakayoamua huangalia uhuru wao zaidi,.

3. angalia kiwango cha kiapato cha ndugu wanaomsuport labda mkeo hana nia ya kuachana na wewe lakini anapata presha kwa ndugu wakiamini kama mtaachana mtagawana mali na wao watafaidika.

ongea naye kwa upole ujue matatizo yanatokana na nini katika ndoa yenu kama hataki na ana sisitiza mgawane mali basi mwambie mali zoote anazotaka mgawane umewaandikisha watoto. na kama anataka kuondoka aondoke tu akaanze upya yeye kama yeye. ni hayo tu.
 
Hanikabidhi, tunakabidhiana through joint account.

Familia hazina formular Smile...chanzo cha ugomvi wao sidhani kama ni kukabidhi mshahara; kuna kitu anachojua mwenyewe kilichowagombanisha au kilichomfanya awe anatoa mshahara wote kwa wife...maana naona kama hiyo ya kukabidhi mshahara imeanza ghafla siyo from day one ya ndoa yao...isije ikawa ni katika hasira na kususa ndio kaamua kumbwagia wife wake mshahara.

nyumba kubwa mumeo huwa anakukabidhi mshahara wake wote tar 26 kila mwezi?
 
Nahitaji ushauri wenu wanaJF,
Ndoa yangu ina umri wa miaka 21 na mimi mwenyewe nina umri wa miaka 46. Katika ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto 3. Mke wangu yeye ni mjasiria mali (siwezi kusema ni mama wa home) kwani anasimamia vijimiradi vya familia na mimi nimwajiriwa wa seriakli. Katika maisha ya ndoa mimi kama baba nimejenga nyumba 2, nina usafiri mzuri magari 3, nina mashamba 2 ya nguvu na vimifugo kidogo si haba. kati ya hivyo vyote hakuna senti iliyotoka mfukoni mwa wife. Nyumbani kama mnavyofahamu kuna facilities za kumuwezesha wife aihudumie familia kwa urahisi, kule kitchen kila kifaa cha kurahisisha mapishi kipo.

Sikilizeni tatizo lilipo, kama mnavyojua sahani zikikaa pamoja lazima zigongane, sasa ikitokea kutoelewana wife hawajibiki kwa maana sipikiwi chai, hakuna kusimamia mafundi na vibarua wataachwa wachakachue wapendavyo, achilia mbali tendo la ndoa ambalo lazima nisahau. Kaenda mbali ndugu kawaambia ninavyomnyanyasa nao bila kuuliza wameungana naye. mambo hayo ni karibu miaka 5 na zaidi hakuna maelewano ndani ya nyumba. Labda nijisemee na mimi, kweli najijua nina hasira lakini pamoja na hayo kwa miaka yote hiyo 21 ya ndoa sijawahi kunyosha mkono kumpiga wife, kurudi nyumbani usiku sio tabia yangu, sina mtoto wa nje wala small house na sijawahi lala nje hata siku moja. Nilikuwa nikipokea mshahara namkabidhi, then naomba hela ya matumizi lakini yeye hela inayopatikana kwenye vijimradi vyetu sijui inatumikaje.

Hatua tulizochukua kujaribu kupata muafaka, sisi wenyewe tumekaa several time hakuna kusikilizana ikabidi tushirikishe family friend tunakaa kidogo yanajirudia, ndugu wa pande zote wamejaribu hakuna muafaka, Hali iliyopo sisi wenyewe hatuwezi tena kuyamaliza ingawa ndio tulikuwa na dhamana ya kuyamaliza.

Nipeni ushauri, ni-sacrify kila kitu niondoke zangu? maana naona uchungu eti tugawane mali wakati najua nina madeni bank kwa ajili ya mali hizo ambapo yeye hakuchangia achilia mbali usemi wa sasa hivi kwamba mali ya ndoa ni ya wanandoa wote. Nitafute small house maana tunda nimeshanyimwa takribani mk2 sasa. Nisiwachose, maoni yenu tafadhali

kaka inaonekana una kiburi ktk ndoa yako na unamwona mke wako kama hana lolote katika utafutaji wako, na ndiyo hicho kinachokufanya usielewane naye mama yoyo. kama una gari au mali yeyote ifanye iwe yenu wote na awe huru hadi ajisikie kuwa na yeye anamilki hizo mali, sijui nieleze vipi...Let her own you with your assets. then you can find happiness otherwise the way you have wrote it seems you are so arrogant before her and thus why she act like that because the assets yo posses doesnt belong to her according to your statements above.

Before the Law:
50% of your wealth belong to your wife and no question on that,
i do hope yo gat,
i will b RT Back ngoja tufanye kazi kwanza.
 
Hivi unaweza kuwa umetulia na heshima zako alafu ukakubali kuwa nyumba ndogo...kazi kweli kweli....

Na kwa inshu hii huyo mwenye heshima zake atumiwe weeee mpaka jamaa atakapo solve matatizo yake atemwe? Utakuwaje mdada umetulia afu ukubali kuwa spare/shock absorber?

pole sana kaka..huyo wife wako hajui mume mzuri hadi pale atakapokukosa..
mi nakushauri ufanye yafuatayo
1. usiondoke nyumbani jumla wala usimzirie mali ulizotafuta kwa jasho lako mwenyewe
2. Tafuta small house utafute faraja huko..hii ni dawa kubwa ya wanawake wakorofi..ila angalia kuna small house zingine ni mkosi zaidi ya wife..tafuta mtu aliyetulia, mwenye heshima zake sio baa medi..
3. Toa matumizi nyumbani kama kawaida na yeye muhudumie kama kawaida, mnunulie zawadi n.k
4. Wala usimnyanganye miradi yake anayosimamia..ukifanya hivyo atakufanyia vitimbi vikubwa zaidi au ataziua hizo biashara zote zipotee bure..mwache awe buzy na biashara na wewe kuwa buzy na small house..
5. Akishajua una small house, atawaka zaidi na huu ndio utakuwa wakati muafaka ama wa kupatana au kuachana kwa amani..mkipatana atakuwa na heshima kubwa sana kwako na mtaishi vizuri kwa kuheshimiana..
6. Kuanzia sasa anza kuinvest kimya kimya, kwa mfano kujenga nyumba nyingine ambayo incase mambo yamekuwa magumu zaidi unaenda kuishi kwako sio kupanga.
 
Hebu funguka ........... LAZIMA kuna jambo BAYA sana ulimfanyia mkeo ........... Kama ulivyosema "sahani zinagongana" hiyo ni excuse na kujisafisha .......... kuwa MKWELI .... ulimfanyia nini "my wife wako"????? UMEMUUMIZA MOYO WAKE NDIO MAANA AMEAMUA KULIPIZA KISASI

CHEZEA MWANAMKE WEYE??? Labda alikunyamazia kipindi hicho .....sasa amekuweka kwenye kona.
USHAURI WANGU: Tengeneza na Mke wako - jishushe umwombe MSAMAHA ULICHOMFANYIA ..... inaonekana ulimkabidhi miradi yote ukidhani ndio kuomba msamaha ......... MWOMBE PERSONALLY KWA MANENO KWANI SI MPENZI WAKO? MBONA UNAONEKANA UNAMWOGOPA??? JIKAZE KIUME - HAYO NDIO MAISHA - OTHERWISE NAKUTAKIA KILA LA KHERI.:frown:
 
,
Nilikuwa nikipokea mshahara namkabidhi, then naomba hela ya matumizi lakini yeye hela inayopatikana kwenye vijimradi vyetu sijui inatumikaje.

kweli una moyo...mimi hata kwa kurogwa sifanyi huu upuuzi
 
Inakuwaje kuwa pamoja na makosa yote hayo ya mkeo na mazuri yote ufanyayo bado ndugu zako wana side na mkeo? Je kuna kitu kibaya ulichofanya ambacho hujakiandika?

Kama unajua kabisa kuwa ugomvi umeanza miaka 5 ilopita utakuwa unajua pia sababu ya ugomvi...kama unajua umeanza kunyimwa unyumba miaka 2 ilopita unajua incidence ilopelekea wewe kunyimwa unyumba.

Sidhani kuwa mkeo ni kichaa hadi afikie kumyima mumewe unyumba kwa miaka 2; mume anayempa mshahara wote. Kama ulitenda kosa kubwa na unaona vibaya kuliandika humu (which is okay with me) muombe radhi na muanze upya....wengi wanaoacha nyumba zao baada ya kuishi muda mrefu kama nyie hawaishii pazuri...tatua tatizo baada ya kukubali ulipokosea.
Ogopa sana Binadamu, mtu anaweza kukuflame na ukaonekana wewe ni mbaya kumbe ukweli ni tofauti sana, unaweza kukuta huyo Mwanamke she is too nice kwa ndugu wa Mumewe kwa madhumuni maalum, mimi nimeshashuhudia Dada wa Mume akimsindikiza wifi yake kwa Mabuzi na wanatunziana siri.

Tunakoelekea ndoa wala siyo issue tena itakuwa kama ni Life style tu, na nasikia siku hizi kina Mama kile kiapo cha tuataishi milele ila kifo tu ndio kitutenganishe hawakitaki tena, wanataka kifanyiwe editing kidogo ili wawe huru.
 
Kawaelezea ndugu zako 'jinsi unavyomnyanyasa'; na hao ndugu wakakubali kama jinsi wanaMMU wanavyokubali your side of story.

Bila kuwa biased (ukiweza lkn), au utupe mtazamo wa mkeo kuhusu huko kunyanyaswa na wewe. Jaribu kumuuliza yeye mwenyewe au hao ndugu wakufafanulie huko 'kunyanyaswa' anakokusema. Halafu kwa hao hao ndugu waambie jinsi gani njia anazotumia mkeo "kutatua matatizo" zilivyo ni matatizo ili wote muwe kwenye kurasa moja.

Namaanisha wewe uwe aware na matendo, Maneno, au kutofanya kitu fulani kuwa mwenzako anachukulia ni manyanyaso na mwisho naye ajue reaction yake jinsi gani inabomoa kuliko kujenga.

T.B Joshua anasema shida kubwa husababishwa na JINSI tunavyotatua matatizo kuliko matatizo yenyewe!
 
Hivi unaweza kuwa umetulia na heshima zako alafu ukakubali kuwa nyumba ndogo...kazi kweli kweli....

Na kwa inshu hii huyo mwenye heshima zake atumiwe weeee mpaka jamaa atakapo solve matatizo yake atemwe? Utakuwaje mdada umetulia afu ukubali kuwa spare/shock absorber?

mbona wako wengi tu dadangu, kuna wanawake wengi wametulia tuli lakini kwa bahati mbaya hawajapata waume wa kuwaweka ndani..hao waliopata waume wanawachezea, wenzio wanawatafuta..

kwa nini afe na mastress wakati wako watu wa kumliwaza?

huyo mwanamke hatajua thamani ya mume wake mpaka atakapomkosa.
yani mume anakukabidhi mshahara wote, halafu anakuomba wewe km mke pesa ya matumizi, hivi mume kama huyu utampata wapi dunia hii ya leo?
mume amekupa miradi, hakuulizi pesa unapeleka wapi, bado unamkera? kiruuu
sisi wanawake wala hatujui wanaume wazuri, ndio yale ya MKATAA PEMA PABAYA PANAMWITA..
UNLESS anayosema huyu baba ni uongo lakni huyu mwanamke ana matatizo..
 
1. Mheshimiwa inaonyesha hata wewe unamatatizo, kauliyako ya kwanza unasema tumepata watoto...; ikifikaikatika mali unasema nina nyumba mba ili n.k Hiyo hali ya kumbagua mkeo katika mali, hakuna mwanamke yeyote jini ya jua atakayeifurahia; JIREKEBISHE kumbuka sheria ya ndoa inaelekeza mali iliyopatikana katka ndoa ni ya mke na mume, hivyo hata kisheria kauli na msimamo wako sio sahihi.

2.Umesema akikasirika hasimamii kazi na miradi, katika kipindi hicho cha hasira zake miradi inaharibika. Inaonyesha umuhimu na umahiri wake katika kusimamia miradi ya familia, kwani asiposimamia ni hasra tupu, hakuna mashamba, wal nyumba kujengwa. Utasemaje hizo mali ni zako; na unashindwaje kuutambua umchango wake muhimu ktk maendeleo yako??, fumbuka macho muheshimiwa!!!

3. unasikiika kuwa mali anazopata yeye ktk shughuri zake ni zake yeye tu. Usiumie sana mwanaume; sheria yetu ya ndoa imeruhusu hilo, humshindi popote ktk hilo; ila sheria inamruhusu kuzifanya mali zake kuwa za familia. HEBU MUONYESHE KUWA UNAMPENDA KIUKWELI NA UMFANYE AKUAMINI KUWA UTAISHINAYE KAMA KIAPO CHENU KILIVYOKUA, UTAONA MALI ZAKE ZOTE ANAZITOA ZINA KUWA ZA FAMILIA.
usimezee mate mali zake zitakuumiza roho bureeee

4. Umesema ulikua unamkabidhi mshsahara wako wote na anakupatia pesa ya matumizi tu. Hujasema kua hizo pesa alozokua anabakia nazo alikua anazitumia vibaya. Hivyo mpongeze kwa kutunza peza zako na kuziingiza katika maendeleo ndio maana hizo mali zikapatikana.

5. Kukunyima tendo la ndoa ni pigo kubwa sana. Onyesha unampenda kumshamini na kumjali atakupa hilo tunda. Nyumba ndogo si jibu, unaweza ishia kupata ukimwi.

6. Dawa ya kuokoa ndoa yako ni moja tu, nayo ni KUSAMEHE. Ukishindwa hilo umekwisha!!!

Nashauri ukae tena na mkeo tena sasa hivi ikiwezekana mkiwa na viongozi wa kiroho na hata wazazi wakiwepo tena ili kunusuru hilo tatizo. Usikimbie nyumba ukidhani ni suluhu, maana muda ulio kaa kwenye ndoa unaonesha una uwezo kabisa wa kutafuta suluhu tatizo ulilo nalo kwani najua umekutana na mengi na umeweza kuyatatua!

Hili swala lisikuvunje moyo jaribu kuwa shirikisha viongozi wa kiroho kwanza.

Rutta,
Asante kwa ushauri huo. Mungu akutangulie
 
1. Mheshimiwa inaonyesha hata wewe unamatatizo, kauliyako ya kwanza unasema tumepata watoto...; ikifikaikatika mali unasema nina nyumba mba ili n.k Hiyo hali ya kumbagua mkeo katika mali, hakuna mwanamke yeyote jini ya jua atakayeifurahia; JIREKEBISHE kumbuka sheria ya ndoa inaelekeza mali iliyopatikana katka ndoa ni ya mke na mume, hivyo hata kisheria kauli na msimamo wako sio sahihi.

Nga'ga

2.Umesema akikasirika hasimamii kazi na miradi, katika kipindi hicho cha hasira zake miradi inaharibika. Inaonyesha umuhimu na umahiri wake katika kusimamia miradi ya familia, kwani asiposimamia ni hasra tupu, hakuna mashamba, wal nyumba kujengwa. Utasemaje hizo mali ni zako; na unashindwaje kuutambua umchango wake muhimu ktk maendeleo yako??, fumbuka macho muheshimiwa!!!

3. unasikiika kuwa mali anazopata yeye ktk shughuri zake ni zake yeye tu. Usiumie sana mwanaume; sheria yetu ya ndoa imeruhusu hilo, humshindi popote ktk hilo; ila sheria inamruhusu kuzifanya mali zake kuwa za familia. HEBU MUONYESHE KUWA UNAMPENDA KIUKWELI NA UMFANYE AKUAMINI KUWA UTAISHINAYE KAMA KIAPO CHENU KILIVYOKUA, UTAONA MALI ZAKE ZOTE ANAZITOA ZINA KUWA ZA FAMILIA.
usimezee mate mali zake zitakuumiza roho bureeee

4. Umesema ulikua unamkabidhi mshsahara wako wote na anakupatia pesa ya matumizi tu. Hujasema kua hizo pesa alozokua anabakia nazo alikua anazitumia vibaya. Hivyo mpongeze kwa kutunza peza zako na kuziingiza katika maendeleo ndio maana hizo mali zikapatikana.

5. Kukunyima tendo la ndoa ni pigo kubwa sana. Onyesha unampenda kumshamini na kumjali atakupa hilo tunda. Nyumba ndogo si jibu, unaweza ishia kupata ukimwi.

6. Dawa ya kuokoa ndoa yako ni moja tu, nayo ni KUSAMEHE. Ukishindwa hilo umekwisha!!!

Nga'ga
Nimekupata, inaonekana tafsiri yako dhidi ya maelezo yangu imekuendea kombo. Kwanza nikiri, penye mgogoro sio kwamba ni upande mmoja ndio tu wenye matatizo la hasha nilijisemea hata mimi najiona kasoro lakini tuiangalie kasoro yenyewe inalingana na yanayofanyika. Mali ambayo imetajwa nimeipata through mikopo, nikiamini kwa vile mwenzangu muda anao wa kutosha basi atawasimamia mafundi matokeo yake ni mgomo acha wachukue then mtu aje adai mali ni zake, je wangechukua chote atadai nini.

Sijaukataa mchango wake katika maendeleo ya familia bali nimekataa kutowajibika na kuacha mali ambayo wewe mwenyewe unasema ni ya familia ipotee bila sababu. Lingine ambalo umenishtua ni kuegemea sana sheria ya ndoa ambayo hata mimi naifahamu kwani sheria yenyewe inatambua nafasi ya baba katika familia, je kwenye maelezo yako umenipa nafasi ipi?? nafasi ambayo umenipa umesema niache kukodolea macho hiyo mali kumbe umesahau kama mali ni ya mkopo na nikiondoka wanaodai wataichukua kwani wewe hulioni hilo????

Kuhusu mshahara, mimi nimekuwa mwaminifu sikutaka mwenzangu asijue kipato changu nilimkabidhi matokeo yake hazikujulikana zilipokwenda ndio maana nalalamika.

Ukiona mwanaume analalamika kuhusu mkeo ujue ana nia njema kwani options zipo nyingi lakini je options hizo kwa dunia ya sasa zinafaa?????? na mahali tulipofikia ni jambo jema ku-opt vinginevyo????

Nimekubaliana na ushauri wako N0.6, laikini mengine ni attacks ambazo umezifanya kwa nia ya kunishauri lakini umekosa details. Nipo tayari nikueleze ninapopatikana ili ulijue kwa undani then utoe position yako, je uko tayari??. Sikuleta mada hii kujifurahisha bali nipate mawazo mapana baada ya juhudi za kwanza kushindikana. Otherwise nakushukuru sana kwa ushauri wako
 
Kawaelezea ndugu zako 'jinsi unavyomnyanyasa'; na hao ndugu wakakubali kama jinsi wanaMMU wanavyokubali your side of story.

Bila kuwa biased (ukiweza lkn), au utupe mtazamo wa mkeo kuhusu huko kunyanyaswa na wewe. Jaribu kumuuliza yeye mwenyewe au hao ndugu wakufafanulie huko 'kunyanyaswa' anakokusema. Halafu kwa hao hao ndugu waambie jinsi gani njia anazotumia mkeo "kutatua matatizo" zilivyo ni matatizo ili wote muwe kwenye kurasa moja.

Namaanisha wewe uwe aware na matendo, Maneno, au kutofanya kitu fulani kuwa mwenzako anachukulia ni manyanyaso na mwisho naye ajue reaction yake jinsi gani inabomoa kuliko kujenga.

T.B Joshua anasema shida kubwa husababishwa na JINSI tunavyotatua matatizo kuliko matatizo yenyewe!

Kaunga,
Mimi napenda sana kumsikiliza T.B Joshua. Kuna mafunzo mengi ambayo ni too practical lakini inahitaji redness ya ninyi wote, kama mwenzako hana utayari basi dhana ya T.BJoshua ni functionless.

Nakushukuru kwa ushauri wako
 
Mkuu wewe ndio unaharibu hiyo ndoa yako, tatizo ni wewe huthamini mchango wa mkeo..

1. Ina maana katika hiyo miaka 21 ya ndoa mkeo hana mchango wa familia au wewe unaona mchango ni kuchangia pesa tu? je hu-do nae? je anakuadai pesa ukim-do?

2. Unamuona yeye kama mpira tu au bakuli la kutumia tu si ndio? kwanini hukulalamika hiyo miaka 15 ya ndoa yenu....endapo kama kweli tatizo toka lianze ni five years ago now?

NB: wewe umekuja hapa kulalamika ili upate justification ya kuwa na nyumba ndogo.....USHINDWE NA ULEGEEE KABISA....!

.....Unavyolalamika hasimamii miradi na mafundi hadi wanachakachua...ana-angalia tu...je huoni kama huo nao ni mchango wake au? Acha kuwa self-fish wewe kijana....TAMAA MBAYAAA by 20%.

Back
Top Bottom