Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

Status
Not open for further replies.
Hivi Tanzania kuna vyuo vingapi??
Tunaomba ututajie viongozi wa vyuo vyote ili tuweze kuona
kama unachokizungumza kina mashiko
 
VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU;
UDOM ELISANTE MUSHI,

MWENGE JAMES KIMARO,

SUA JOHN KIMARIO

,DUCE ELIBARIKI MUSHI,

MZUMBE FRANCIS TAIRO,

DIT ABSOLOM TEMBA,

ST JOSEPH JAMES URIO,

JURDAN UNIVERSITY ESTER MASAWE,

ST JOHN GEORGE KIMAMBO
peoplessssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrr, wasomi wote chadema.
 
Kumbe mmepewa ili msambaze hivyo bila kuwa na uhakika na ndo mana mwenzio (Tandaleone) ka-post muda mrefu na wewe bila kujua umepost tena... Mwambieni aliewatuma kuwa SASA HIVI HATUDANGANYIKI TENA...!!
 
kama ni kweli haya uyasemayo
hoja yenye mashiko ipo hapa..!
I am so mcuh pissd off,,,
ukabila sio miongoni mwa mila zetu watz..
 
Tunaomba na safu kutoka UDSM,TUMAIN,SAUT,BUGANDO,IFM,TIA,DIT n.k ili hoja yako ichambuliwe kifikra moto siyo baridi.
 
kama wanafaa waache tu, ukiangalia kabila lazima ujue unamatatizo, sasa ungependa tumtoe nani? kama wamependelewa hapo ndiyo kuna weza kuwa tatizo, na unapoteza muda kuandika huu upuuzi, mimi sijui kabila langu lakini kinacho nivutia chadema ni ukabila. mwaka huu semeni kila upuuzi lakini magamba yanakufa... hiyo haina mjadala
 
ACHA UONGO,KAMANDA ANAYEONGOZA CHADEMA MWENGE NI LAYZER SIMON,SIJUI HUKO KWINGINE.KADHALIKA UONGOZI WA MATAWI YA CHADEMA HUPATIKANA KILA MWAKA NA SI MIAKA MITANO.YOU ARE A LAYER

CORRECTION: hapa kwenye red ni LIAR
 
kwanza nina uhakika watu hao hawapo. total mockery!!!
Jamaa ameamua kuwa mchekeshaji, nenda ze komedy.
 
hapa kuna kitu kimejificha ni vyema kikafanyiwa utafiti kwa makini na kwa sasa si vyema kusema chochote
 
Kumbe mmepewa ili msambaze hivyo bila kuwa na uhakika na ndo mana mwenzio (Tandaleone) ka-post muda mrefu na wewe bila kujua umepost tena... Mwambieni aliewatuma kuwa SASA HIVI HATUDANGANYIKI TENA...!!

mkuu mi nimeikuta facebook nia yangu ni kuwahabarisha wenzangu sijapewa na mtu.acha kukurupuka
 
Hamis Zikatimu
VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA MATAWI MAALUM YA VYUO VIKUU,UDOM ELISANTE MUSHI,MWENGE JAMES KIMARO,SUA JOHN KIMARIO,DUCE ELIBARIKI MUSHI,MZUMBE FRANCIS TAIRO,DIT ABSOLOM TEMBA, ST JOSEPH JAMES URIO,JURDAN UNIVERSITY ESTER MASAWE,ST JOHN GEORGE KIMAMBO,JE CHAMA CHA WATU WA WAPI HAO,TAFAKARI CHUKUA HATUA

tembelea hilo jina hapo juu mkuu utaona ukweli dont jump and condemn
 
mkuu mi nimeikuta facebook nia yangu ni kuwahabarisha wenzangu sijapewa na mtu.acha kukurupuka

Kwa hiyo baada ya kuyakuta facebook kwa vilaza kama wewe ukaona uwaletee wanaume??
Sina hakika kama wewe ni mwanaume, make mwanaume wa kweli hawezi let's mambo ya like humu kwa great thinker
 
Kwa nini isitolewe taarifa rasmi kutoka kwenye chama. Unaweza kutupatia source ya maelezo yako? Mnyika tafadhali tupe uhakika wa hili.
 
hivi matokeo ya wikiend iliyopita yalikuwaje?
-ila nilifurahishwa sana na kufungwa kwa man u..
arifu niwekee yutyubu aisee nione.....

Ulisikia ile nyumba pale kijitonyama imebomolewa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom