Recent content by Nephew

  1. Nephew

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa namba 7 mpya wa timu ya taifa ya Portugal

    Huwezi ukaacha kumpanga mkali Goncalo Ramos pale mbele halafu umuweke Christiano 😂😂
  2. Nephew

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

    Hana threat yoyote kwa sasa, hata ukimuacha na goli anakosa. Astaafu kulinda heshima yake.
  3. Nephew

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

    Achana na huyo jamaa hajielewi, ukiona clip za CR7 kwa sasa utasikitika. Amekuwa comedian badala ya mchezaji. Astaafu ili asiendelee kujidhalilisha
  4. Nephew

    JamiiForums Tanzania Labda nyie mnisaidie kujua, shida kuu iliopo Manchester United ni ipi?

    Walibebwa sana kipindi cha Fergie, sasa ni zamu yao kulia 😀
  5. Nephew

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

    Vp kuhusu kubadili jina la hati ya kiwanja au umiliki wa kiwanja?
  6. Nephew

    JamiiForums Tanzania Baada ya dilema ya muda mrefu sasa yametimia nilichokuwa nakiwaza kimetokea nini kinafuata sijui

    Mkuu sioni haja ya wewe kwenda porini wakati una biashara zinazofanya vizuri hapo mjini. By the way hakuna tajiri ambaye ameajiriwa. Za kuambiwa changanya na zako.
  7. Nephew

    JamiiForums Tanzania CDF Mkunda: JWTZ ni Jeshi lao Wananchi, waendelea kutoa ushirikiano kwa jeshi lao

    Mungu nifundishe kunyamaza
  8. Nephew

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa 18 to 29 hafai kwa ndoa kabisa

    Mtoa mada apuuzwe, au umetumwa 😂
  9. Nephew

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wapya wa VETA hatujapewa Fedha za Kujikimu

    Kama mishahara inalipwa wapotezee tu
  10. Nephew

    JamiiForums Tanzania Simulizi: A spy and assasin in love

    kahawatime
  11. Nephew

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Wakuu hivi hizi sio chai kweli?
  12. Nephew

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    😂 Messi amekamilisha football, hii ilikuwa nyongeza tu. Tuonyeshe Penaldo akibeba kombe la dunia
  13. Nephew

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Game ya leo haitabiriki, ni kama ya jana sikutegemea France kupigwa nyingi vile
  14. Nephew

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Mashabiki wa Christiano mtakapokubaliana na ukweli kuwa Messi ni bora kuliko mchezaji yoyote kwa sasa mtaishi kwa amani sana
  15. Nephew

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Penaldoooo, sorry kumbe hayupo final 😂
Back
Top Bottom