Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,369
- 10,415
Nakuona unasubiri kwa hamu Mbappé afunge ila ndo haitokeiHii mechi ina matukio mawili tu ambayo ni muhimu.
Kwenye hayo mawili ushindi wa upande wowote sio sehemu yake.
Kane afunge au Mbappe afunge. Haya ndio matukio ambayo ni muhimu yanayotarajiwa na wengi kwenye hii mechi.
View attachment 3632311
Nashangaa baadhi ya wavimba macho humu View attachment 3632313
Eti yanafurahi kuona France anavyofungwa wanahisi hiyo inatuumiza sisi mashabiki wa France.
Wakati hata England kwetu ni mwanetu pia.