Recent content by Neeby

  1. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza mafuta ya kula

    Kama upo kwenye mawese kuna kitu kinaitwa kambili/ kandili kama sijakosea Wanachemshaa mawese hadi yanabaki mafutaa meupee. Nasikia ukichemsha 5ltr ya wese unapata 4ltr ya hayo mafuta meupe na saafi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mhenga nimehitimu PhD in Media Studies, mwenye connection ya ajira tafadhali

    Tunategemea mmiliki wa Phd uwe umefanya tafiti nyingi zinazoweza kusaidia jamii, sasa kama wewe huwezi kujikwamua ni bora tu ukae kimya inasikitisha.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini upatu unavamia nchi yetu kila siku, tatizo ni nini?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. N

    JamiiForums Tanzania Serikali, waelekezeni wanaotafuta elimu ya India na China kwa watoto wasio na sifa

    Sasa hao wa three na four waendee waapi jamanii. Hakuna shida kama wanaenda vyuo vya uhakika. Lakini pia wizara ingetoa mbadala ambaye hana D mbili na point 4 afanye niniii. Waandae tuu policy nzuri kusaidiaa elimu yetuu.
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unaamini kuna wapendanao/wanandoa wanaofanana sura

    Inasemekana wanaume huchagua wanawake wanaofanana na mama zao kwa sura au tabia. Na wanandoa nyingi ambao hawajafanana ndoa zao huwa hazidumu ila wale wanaofananaa hudumuu hadi kifoo watapata misukosukoo ila mwisho wa siku watakuwa pamoja.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Treni ya kisasa toka Afrika Kusini yatua Dar ikiwa na watalii

    Ni treni ya kitalii fulani hivi huja kila mwaka
  7. N

    JamiiForums Tanzania Heko TRL kwa usafiri Pugu-Stesheni

    Mabehewa hayo hayatoshii ile njia ina watu wengi jamani waongeze ziwe behewa 20+ abiria wa ubungo pia watapanda hiyo treni ili washuke k.koo wapande magari ya mwendo kasi. Na ile njia ya tazara pia waongeze mabehewa maaana kuna abiria wengi njia ile.
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hizo hela mnapeleka wapi....

    Hahaaaaaa umesahau hii Ni marufuku mwanaume kusema sina hela.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini walinzi wa getini wakijua unaenda kuomba kazi wanakuwa wakali sana?

    Customer service si nzuri kwa asilimia kubwa katika nchi yetu kwa kiwango kikubwa kila mtu anajifanya mbabe katika kitengo alichokamatia.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Lake Oil ageuza karakana kuu ya TAZARA kuwa bandari kavu (ICD) ya kuhifadhia makontena

    hipo BUGURUNI- PUGU ; NDO INAKOISHIA , ENEO LA MBELE YA TAZARA ILE FACE IMEJAA NYASI; TUTAUMWA NA NYOKA Buguruniiiiiiiiii inafanya nini TAZARA Mbona tren ipo jaman express ijumaa inaenda Zambia Jmanne ordinary linapita hapa mwakanga station. Hiyo depot si ni ya empty containers nahisi kama...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

    Aisee nimeiona hii yenye kashfa nzitoo hadi nikawaza wanawake wote waliofika chuo ni Makahaba
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

    Sawa mkuu na watoto wako wasifike chuo watakuwa makahaba. NB ukahaba ni hulka za mtu na tabia zake, bila kusahau ukahaba hafanyi na mbwa bali na binadamu aitwaye mwanaume.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

    Mungu wangu nimecheka hadi machozii. Kama hujabadilika utakuwa na rohoo mbayaa mbayaaa mchoyo mchoyoo hahaaaaaa hizo hasira zako komeshaaa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Brain challenge

    Hizo apple mbili kwanini umeamua kujumlisha na sio kuzidisha.
  15. N

    JamiiForums Tanzania What quote changed your approach to life or opened your mind?

    Ni pale tuu unapojikutaa jioni unawaza saana kuhusu keshoo itakwendaje. Nikikumbuka hako kamsemo napunguza kupanic na maishaa.
Back
Top Bottom