What quote changed your approach to life or opened your mind?

What quote changed your approach to life or opened your mind?

Endesha meli.. Ndege.. Weee utaweza lakini mwisho wa siku tutakubeba kwenye jeneza!! --- Madeee aka raisi wa manzese
 
3ecf5ed1415d39417031d0e398c94a8e.jpg

0bbc03936c4290a046d6fab2a9195b84.jpg

My favorite quotes
 
maana yake kuwa kila mtu kuna kitu fulani anakiweza
Yeah usikutane na mtu ukamdharau labda kwasababu ya muonekano wake au kwasababu ya kimo nakadhalika kuna wakati watu hawa wanaweza kuwa na vitu vya kukushangaza ingawa si watu wa mbwembwe na kujionyesha mbele za watu
Pia mawazo ya mtu dhidi ya mtu mwingine hayaonekani kwahiyo tahadhari ni muhimu
 
Back
Top Bottom