real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,302
tupe jibu basi mkuutumia akili, jaribu tena
tupe jibu basi mkuutumia akili, jaribu tena
labda kama supu ya pweza inasaidia mtu kuona vizuri ningekubaliana na weweAngalia vizuri... ma apple ni mawili kwa hilo fumbo la mwisho...
20 that's the answer. Trick ndogo ipo kwenye vichane vya zabibu, kichane cha juu zipo 12, cha chini zipo 11.
apple ni 7
zabibu ni 12
ndizi tatu ni 6, hivyo ndizi moja ni 2
hapo jibu litakua
7+12+2=21
Hizo apple mbili kwanini umeamua kujumlisha na sio kuzidisha.27, sikuona apples zipo mbili hapo.
KIVIP??Jibu 20.
HAPO NI KUFANYA ASSUMPTION LA SIVYO SWALI LITAKUA HALI SOLVIKIGood observation.
Swali langu ni kwamba umejuaje kama hizo ndizi zinafanana urefu na uzito mpaka zikagawanywa kwa tatu kupata thamani ya ndizi moja.......?
Jibu ni ishirini. Ndizi moja ni sawa na 2(juu zipo tatu zenye thamani ya 6), zabibu moja ni sawa na 1 na hapo chini zipo 11(sio 12 kama juu), na nyanya ni sawa na 7, jumla ni 20
Kweli mkuu, nimerekebisha jibu languangalia vizur nyanya zipo 2 apo chin
HAPO NI KUFANYA ASSUMPTION LA SIVYO SWALI LITAKUA HALI SOLVIKI
Nipe jawabu