Wanawake hizo hela mnapeleka wapi....

Wanawake hizo hela mnapeleka wapi....

Huyu ni mstaarabu mwenye mshahara wa laki 3 hivi

1. Nyele 50000
2. USO 20000
4. Lips 10000
5. Masikio 20000
6. Kope 10000
7. Kucha 20000
8. Miguu 50000
9. Mikononi 10000
10. Kiunoni 10000
11. Kwapani 50000
12. Ukeni 30000
13. Chips 120000
14. Pochi 60000
15.
16.
17.
18.
19.
20.
Jumla 1000000
aisee. ndio maana kipaumbele cha wanawake kwanza ni pesa kipaumbele cha pili ni pesa na kipaumbele cha tatu ni pesa
 
Sio kwa wanawake wa siku hizi. Siku hizi wanazaa watoto halafu wanawaacha walelewe na wazazi wao. Wakwe zake ni maadui wakubwa na kuwaita wachawi. Yupo radhi kusuka nywele za laki 3 kuliko kumsaidia baba yake mzee pesa ya matumizi. Dunia ya leo sio ya jana ya kuthamini wazee wetu.

Hii ishakuwa kila mwamba ngozi huvuta............ Malizia. mwanaume wa Leo naye je? Anakumbuka wazee wake aache kula starehe binafsi?
 
Mleta uzi wewe Ni mwanaume sina shaka kabisa na hili. Jibu maswali haya

1. Ni lini umemnunulia taulo (towel) baba yako ?
2. Ni lini umenunulia sofa set baba yako
3. Ni lini umemnunulia boxers au nguo za ndani baba yako?
4. Ni lini umenunulia sandals baba yako?
5. Ni lini umemnulia vest baba yako?
6. Ni lini umenunua mapazia Kwa ajili ya madirisha na milango kule nyumbani kwenu?
7. Ni lini umeenda kwenu likizo ukakaa angalau siku 7 na kutoa matumizi kila asubuhi au kufanya shopping ya nguvu Kama hakuna msiba wala ugonjwa Ni likizo tu?
8. Ni lini umeingia dukani kununua vyombo Kwa ajili ya kupeleka nyumbani kwenu?
9. Ni lini umewahi kuwahudumia wazazi wako Kwa miezi miwili mfululizo?
10. Ni lini umewahi kuwabadilishia Kitanda na godoro wazazi wako?

Kama wazazi wako wapo hai hayo kumi tu kati ya mengi ambayo mwanamke anayafanya. Kwa taarifa yako mwanamke ana majukumu hadi Kwa mama mkwe wake yaani mama yako wewe sasa wewe endelea kujiuliza pesa za mwanamke zinapoenda wakati wewe pesa zako zinatoka bank zinaelekea Kwenye matumizi yako binafsi zaidi.

Wanaume nyie hayo hamuyafanyi na uwezo mnao kabisa sijui pesa zenu zinaishia wapi na nyie?
Hapo bado repair za nyumba kupaka rangi...kunyanyua ukuta uliobomoka...kutoa kwa wagonjwa nk
 
Hii ishakuwa kila mwamba ngozi huvuta............ Malizia. mwanaume wa Leo naye je? Anakumbuka wazee wake aache kula starehe binafsi?
Sie ndo hatifai hata chembe. Hiyo kupiga simu majanga bora hata ya hao kina mama. Tuko radhi tujenge heshima bar na kwa michepuko.
 
Mleta uzi wewe Ni mwanaume sina shaka kabisa na hili. Jibu maswali haya

1. Ni lini umemnunulia taulo (towel) baba yako ?
2. Ni lini umenunulia sofa set baba yako
3. Ni lini umemnunulia boxers au nguo za ndani baba yako?
4. Ni lini umenunulia sandals baba yako?
5. Ni lini umemnulia vest baba yako?
6. Ni lini umenunua mapazia Kwa ajili ya madirisha na milango kule nyumbani kwenu?
7. Ni lini umeenda kwenu likizo ukakaa angalau siku 7 na kutoa matumizi kila asubuhi au kufanya shopping ya nguvu Kama hakuna msiba wala ugonjwa Ni likizo tu?
8. Ni lini umeingia dukani kununua vyombo Kwa ajili ya kupeleka nyumbani kwenu?
9. Ni lini umewahi kuwahudumia wazazi wako Kwa miezi miwili mfululizo?
10. Ni lini umewahi kuwabadilishia Kitanda na godoro wazazi wako?

Kama wazazi wako wapo hai hayo kumi tu kati ya mengi ambayo mwanamke anayafanya. Kwa taarifa yako mwanamke ana majukumu hadi Kwa mama mkwe wake yaani mama yako wewe sasa wewe endelea kujiuliza pesa za mwanamke zinapoenda wakati wewe pesa zako zinatoka bank zinaelekea Kwenye matumizi yako binafsi zaidi.

Wanaume nyie hayo hamuyafanyi na uwezo mnao kabisa sijui pesa zenu zinaishia wapi na nyie?
Polepole basii kwani umeambiwa ufoke kwa sauti hapa?
 
Asante kwa kunikumbusha mkuu, inabidi mwisho wa mwenzi huu nimnunulie mother dinner set
 
Habari zenu wanajamii forum.Kama mnavyujua miaka ya karibuni wanawake wamekuwa kimaslahi zaidi yaani macho yapo kwenye pesa lakini mimi binafsi najiuliza hizo pesa wanapeleka wapi maana sioni mabadiliko yoyote yale kusema wana nyumba au wamenunua kiwanja au mnapeleka wapi tuambieni maana nyie ni wabahili sana halafu mnapenda sana kuhongwa wengi japo sio wote au huwa zinakwenda wap maana wengi hamna watoto sasa hela zinakwenda wap.Ni mtazamo tu jamani sina ubaya
Kubandika kucha, kope na less wig
 
Hata mm huwa nashangaa hawa viumbe pesa huw wanapeleka wap?
Chukulia wale wanaojiuza usiku 1 50,000 mpaka laki lkn unakuta hana hata kiwanja.
Anafanya umalaya miaka 20 lkn hata kiwanja hana zaid ya kula na kuvaa
Hawa viumbe unaweza kumuoa ana kaz tena anakuzid mshahara lkn ukashangaa hela ya nauli, vyupi, lotion, na salon anakuomba achangii hata shiling nyumban baba ww ndo unakomaa kwa kila kitu. Ndio maana wazee wazaman akioa wa hiv anamuachisha kaz akae tu nyumban sbb hana msaada
 
Habari zenu wanajamii forum.Kama mnavyujua miaka ya karibuni wanawake wamekuwa kimaslahi zaidi yaani macho yapo kwenye pesa lakini mimi binafsi najiuliza hizo pesa wanapeleka wapi maana sioni mabadiliko yoyote yale kusema wana nyumba au wamenunua kiwanja au mnapeleka wapi tuambieni maana nyie ni wabahili sana halafu mnapenda sana kuhongwa wengi japo sio wote au huwa zinakwenda wap maana wengi hamna watoto sasa hela zinakwenda wap.Ni mtazamo tu jamani sina ubaya
Waswahili tunasema "Kila Shetani Na Mbuyu Wake". Kwa hiyo ina maana ikiwa yeye ni shetani na we ukiwa ni mbuyu wake, yeye ni mbuyu wa shetani wake
 
Huyu ni mstaarabu mwenye mshahara wa laki 3 hivi

1. Nywele 50000
2. USO 20000
4. Lips 10000
5. Masikio 20000
6. Kope 10000
7. Kucha 20000
8. Miguu 50000
9. Mikononi 10000
10. Kiunoni 10000
11. Kwapani 50000
12. Ukeni 30000
13. Chips 120000
14. Pochi 60000
15.
16.
17.
18.
19.
20.
Jumla 1000000, jazia hapo juu
 
Back
Top Bottom