Recent content by Nduguyangu

  1. N

    wapi nawezapata sponsor anisomeshe please???? nisaidieni!!!!!

    Inakera kiasi inatisha, Afadhali ungalisema umjukuu wa Matonya nisingali shangaa kivile, Wee unasoma Open Halafu hujui namna ya kumpata Mbunge wako hadi refaree. Watakaokupima kwa veti vya mikaratasi badala ya limu na ujuzi watakuwa wamnajidanganya..
  2. N

    Lipumba: Waislam Tanzania piganieni haki zenu na msirudi nyuma

    Mbona hata dr Siraha katuambia kivitendo mtazamo kama huo, ni yeye Lipumba anaishia kusema tu. Siraha kasema hadharani alipokuwa akijibu tuhuma za kina Napeta na yule kuwa chademadema kinapokea mshiko kutoka nje ya nchi ili kufanya ufedhuli nchini. Alisema kuwa chademadema hakipokei pesa kutoka...
  3. N

    Mwili wa mtoto mkiristo wafukuliwa

    Mtu akikunyang'anya kaburi mpe na waliyo hai awzike itakuwa umemkomoa
  4. N

    Mwili wa mtoto mkiristo wafukuliwa

    Tatizo la wakristo wa bongo ndiyo hilo, hadi leo hawajui kuwa waisilamu hawajaribiwi. oneni sasa baada ya uchche wa busara munazika Bagamoyo na dar maiti moja. si mtu akikunyang'anya kaburi la kichanga unampa na kaburi la babu yake alibomoe vile vile tatizoliko wapi?
  5. N

    Upi ni msemo sahihi wa kiswahili kati ya hii?

    Kila penye red ndiyo majibu sahihi.
  6. N

    Nitakavyomkumbuka JK

    Ni rais aliyejenga shule za sekondari nyingi hadi katika miji ya Waisilamu kuliko maraisi wote waliyomtangulia.
  7. N

    Wachina Bana, Nouumaa

    Ubunifu mama tibaijuka anaijuahii?
  8. N

    Astronaut Neil Armstrong Dead at 82 mtu wa kwanza kukanyaga Mwezi

    Namimi nakubaliana na huo wasi wasi wa kisayansi unaoneshwa katika picha zinazodaiwa kufotolewa mwezini, Kuna bendera ya amerika inaonesha kupepea. Je mwezini kuna upepo sawiya na wa huku duniani? pia kuna picha inaonesha kivuli cha mwana anga. Je setup ya Mwezi ni kama ya dunia ilivyokaa hata...
  9. N

    Balali yuko HAI - He is not dead

    Wakati wanaojidai wapiganaji wanaongea siasa, si wapiganaji mama yangu ni wapigamaji
  10. N

    Profesa mwandosya akana kufa....

    Jamani hebu ni, waktukumbushane, muda wa kuelekea uchaguzi mkuu uliyopita hapa nchinikwetu. kuna viongozi wawili wa kisiasa walianguka nyakati tofauti. mmoja nasikia papo kwa papo na akapata nafuu akaendelea shughuli, na wa pili alianguka akaumia mkono, hali ambayo ilimlazimu autengenezee...
  11. N

    Natangaza nia ya kugombea ubunge Igunga

    Kwani Chadema munailitaka jimbo la Igunga? Munataka kuwemo Bungeni chini ya mfumo huu wa siasa uchwala? si mngesusa tu kama mlivyosusa kusikiliza hotuba ya Raisi bungeni. kama mulivyo susa kumtambua meya wa Arusha n k. Acheni kugombea makombo ya ccm ninyi ngojeni katiba mpya ikundwa mutakuwa na...
  12. N

    Kinyesi kutoa harufu kali

    Sijaelewa kwani kinyesi huwa kinanukiaga? Hiyo harufu kali ni kwa kipimo cha maabara? isije ikawa munampa ukoko na miba ya samaki na mikachumbali iliyo chacha. Tena mukionesha kuchoshwa na yeye kwa hilo mbele yake anaweza akachukua aftershave na manukato yenu anywe kwa siri, chukueni tahadhari...
  13. N

    Efraim Kibonde amsafisha Rostam

    Huko si kumpuuza Kibonde ni kumtukuza. Haya Rostam Keshatoa mwelekeo kuwa ana achana siasa uchwara kwa kila mwana sihasa 'siasa' anayekubaliana na hilo na yeye aachie nyadhifa. Naamini wanasiasa wengi wangependa tukubali kuwa siasa za Tanzania ni siasa uchwara lakini hawaachii ngazi kama Rostam...
  14. N

    Nderemo na vifijo vya mashoga London leo...........

    haswa wale wanaojitia waalim wa madrasa ili wawalawiti watoto wa shule na mlaaniwe kabisaaa Haswa zaidi wale Maaskofu wanaowalea vijana wa kiume kisha wakawafanyia mabaya kama yanayori potiwa. Wengine wanalazimisha hata dini ziwahalaishie na wao wanakuwa wa mwanzo katika kuoana watu wa jinsia moja
  15. N

    Basi la SUMRY lachinja tena, KASULU

    Kama itakubalika kuwa sumry ana mabasi mengi sana basi watu wa takwimu wanaweza wakakusaidieni ninyi watu wa kuhesabu ajali mbili kwa wiki ndani ya kampuni moja. Kwamba kitakwimu inaweza ikawa mwenye mabasi 8 na akawa anapata ajali moja kila baada ya miezi sita ni hatarishi zaidi kuliko huyo...
Back
Top Bottom