Mr Rocky your just piece of shit,sheria za ajira na utaratibu wa kiserikali he deserve to be taken care off,kama mtunza ofisi anatibiwa na mwajiri wake seuse waziri!
Hapo unapotoka, unataka mtu akiugua afukuzwe kazi?, asilipwe mshahara?, mbona hata hao ambao hawaumwi hawafanyi kazi wanashinda hewani kama popo na wanalipwa?,
Ku-Stepdown ni sawa kama atashauriwa na madaktari kuwa hawezi kuendelea na majukumu kwa ufanisi, kuna utaratibu wake!,
Tunawajali wagonjwa, ndio maana hata hao wanaoanguka majukwaani bado tunawapa muda wa kutumika! (kwa maslahi ya nani.. usiniulize)
I know kuna standing order na sheria na kanuni zinazotawala utumishi wa ummanchi hii inaendeshwa katika missingi ya utawala bora inayofuata sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma na sio kufuata akili zako wewe ambazo hazikutoshi. nenda kasome standing order utaelewa vizuri. kila mtumishi wa umma ana haki zake, MW Atatakiwa kujiuzulu under medical background pale tu madaktari watakapothibitisha kuwa ugonjwa aliyonao hawezi kupona au hata kama akipona athari za ugonjwa zitamfanya ashindwe kuyamuda majukumu yake!
kwa hiyo wewe unamthamini mtu akiwa mzima,akipata matatizo hususan ya afya ndo hakufai tena??acha izo si vizuri.[/QUOTE
Mkuu tunaangalia sheria zionasemaje na kanuni za utumishi. Wala sio kwamba tunawathamini walio wazima tuu. Hata ofcn kwako kuna muda maalum wa kuumwa. Ukipitiliza hata mwajiri ana ruhusa kusema sasa huyu hapana. Bora aondoke awapishe wenzake wenye nguvu
Nimefuatilia MAHOJIANO LIVE RADIO 1/ITV NA MWANDOSYA mda si mrefu walikuwa wanaongea nae (Profesa Mark Mwandosya) kwa njia ya Simu anasema anaendelea vizuri tofauti na hali aliyokuwa nayo wakati anapelekwa huko India na bado yupo Hospitali....anaamini atarudi nyumbani TZ mda si mrefu...waliozusha leo kuwa amekufa si kweli....baso yupo Hospitali kutokana na ushauri wa Madkari lakini hali yake si mbaya kwa sasa..