Efraim Kibonde amsafisha Rostam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Efraim Kibonde amsafisha Rostam

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Shark, Jul 13, 2011.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Mtangazaji wa Kituo Cha Redio cha CLOUDS FM, Bw. Efraim Kibonde ametoa ''kali ya mwaka'' pale alipojitosa mzima mzima kumsafisha Rostam Azizi kupitia kipindi chake cha Jahazi.

  Bw. Kibonde alidai kua watu wanaacha kujadili maadui wa3 wanaojulikana ambao ni Ujinga, maradhi na umasikini wao wanabaki kujadili watu.

  Kwa mujibu wa Bw. Kibonde, ni vyema kama kuna mtu anaehisi fulani ni mwizi basi akampeleka mahakamani kuliko kubaki kulalamika pembeni.

  My Take;
  1>Kibonde apuuzwe tu, kwani anafahamika ni puppet wa mafisadi akitumika kuwasafisha kupitia vipindi vyake Redioni.
  2>Kibonde anathibitisha ukilaza wake kwa kuamini kua popote pale, katika mazingira yoyote yale na kwa wakati wowote ule, maadui ni hao watatu tu.
  3>Kibode anatumia utetezi wa A-Ch kwamba mwenye ushahidi apeleke mahakamani au TAKUKURU huku akijua fika huko ndiko Rushwa imebobea
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hiyo take yako namba 1 ni UNAFIKI, wewe mrundika sredi ungekuwa unampuuza usingeleta hili bandiko!
   
 3. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni huyu Kibonde mwenye skendo ya THT au? Yeye nani kampeleka mahakama? Haaahaa kibonde bwana tatizo analewa mno..then pia mshkaj wa baba riz.,'
   
 4. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kibonde ni kilaza tu anashindwa kuelewa kwamba hao maadui watatu wanasababishwa kwa kiasi kikubwa na ufisadi!!!!!
   
 5. N

  Nduguyangu Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Huko si kumpuuza Kibonde ni kumtukuza. Haya Rostam Keshatoa mwelekeo kuwa ana achana siasa uchwara kwa kila mwana sihasa 'siasa' anayekubaliana na hilo na yeye aachie nyadhifa. Naamini wanasiasa wengi wangependa tukubali kuwa siasa za Tanzania ni siasa uchwara lakini hawaachii ngazi kama Rostam ili wasiwemo katika kundi baya.
   
 6. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haahaaa bwana gurta umenifurahisha ila kibonde mzushi sana...
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kila mara ninamshauri Joseph Kusaga hapa jamini awe makini na Redio yake hii

  redio hii kama haitakuwa na wataalam mahiri wa media broadcasting na si hawa wa kuokoteza kama Kibonde basi redio hii itakufa kifo cha kawaida

  kwa redio kama clouds haihitaji kuangukia upande wowote ule kwani mwisho wake hata wanaopeleka matangazo hawatapeleka kwa sababu ya kuegemea upande fulani

  hebu angalia redio free africa , hii redio ina future nzuri sana
   
 8. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Joseph kusanga! Hii radio itakufa kifo cha ajabu sana, usiombe yakatokea machafuko yeyote nchi, watu wataanza na radio yako kama hujui ubaya wa siasa, jitahidi uwe neutral, hera za ccm zitakutokea puani
   
 9. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa n chi itayumba
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  na bado kina ac na el..
   
 11. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Nawe post yako nayo ni ya KINAFIKI.Ungekua umeyaona hayo ungepuuza tu.Katika hizo tatu umeona moja ina makosa ukakosoa, mbona hukusifia mbili zilizobaki?Kama anakuhusu kampikie chai unywe nae!
   
 12. J

  JUNGU MTU Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo huwa ni futa thatzwhy mr 2 a. K. A sugu aliwapa kubwa kuliko katika antvirus
  sio hivyo tuuuuuuuuuuuuuu ila ameanza kujisogeza kwa huyo papa ili kama akichukua uongozi tena ampe shavuuuuuuuuuuuu:a s 103:
   
 13. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Philosophically I dont see any difference between these two media
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hivi kumbe bado mnamsikilizaga huyu jamaa? Kibonde ni mnafiki sana
   
 15. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kibonde ndo anamopatia kula humo...! shame on u!
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  yaani kwa bahati mbaya kumsikia akianza kuongea,unajikuta unabisha na radio yako! haina tofauti na ukimuona jk kwenye tv yako, u just cant help watching what crap he still has to say to the public!
   
 17. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kibonde hakuna kitu jamani ni kilaza tu hajui kitu yule
   
 18. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inasemekana Kibonde ana division zero 'O' wale wanaomfahamu au waliosoma naye watudhibitishie. ukimsikiliza hoja zake za kipuuzi unaweza kuaminishwa kuwa kweli ni zero huyo
   
 19. o

  ocampo seven Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kilaza tuu ni mbumbumbu kwa akili yake anafikiri atapigiwa pande ili apewe udc,wakati ni failure kichwani...........................pili kaka shark futa kauli yako kua takukuru imebobea kwa rushwa
   
 20. S

  Sumuni Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikuwa msikilizaji sana wa Clouds. Yapata kama mwaka na kidogo hivi nikashawishika kuisikiliza hasa vipindi vya asubuhi kabla sijaingia mzigoni. Kwa kiasi nilianza kupenda pale walipokuwa "Critique" kwa watumishi wa uma au watu walioshika dhamana. Ukosoaji wao ulinishawishi kuamini kuwa ni sauti au radio ya watu. Nika-extend my hearing mpaka vipindi vya jioni. Huko nikakutana na kibonde. Haikunichukua muda mrefu kuwa fade-up na radio hiyo na kuacha kabisa kuisikiliza. Ilikuwa ni Kibonde, kama ambavyo nimesoma baadhi ya maoni hapo juu, ilikuwa dhahiri huyu mtu ameingia kwenye pay roll ya Mafisadi. Bila aibu wala haya, utamsikia akisifa vilivyooza na kunuka, na kuponda vinavyong'ara. Haihitaji akili nyingi kuacha kumsikiliza. Ndio maana huo utumbo ambao ameufanya leo nimeusoma humu jamvini. Siwezi kumpa hata sekunde yangu moja kumsikiliza. Hata pale anapojipendekeza kuwa MC kwenye matukio fulanifulani. Sio tu KUMPUUZA, bali KUTOKUMSIKILIZA kabisa. HANA ANCHOWEZA kukuelimisha.
   
Loading...