Natangaza nia ya kugombea ubunge Igunga

Hakika sa hivi utafanyika uchaguzi mdogo,thus cdm nguvu zetu tuzihamishie iginga mpaka kieleweke,najua kwa mataju huu wengine nao wataachia ngazi tu
 
kufuatia bwana rostam kujiuzulu ubunge, natangaza kugombea ubunge jimbo la igunga, naondoka houston next week kurejea tanzania
Una taarifa kuwa Tanganyika tunamgao wa saa 18 bila umeme na saa 6 mnapata umeme ukiwa hauna guvu...je unayajua matatizo ya wana Igunga...wana Igunga kuweni makini safari hii mmepata nafasi ya mtende, itendeeni haki maana nasikia hata Ki kwte yuko mbio kung'atuka si mafisadi wote hawatakiwi CCM kwanini yeye baki...ndiyo lazima kikwete, Lowasa, Chenge wang'oke...
 
Tutakutana ktk kampeni lazima Jimbo la IGUNGA lirudi CCM
kufuatia bwana rostam kujiuzulu ubunge, natangaza kugombea ubunge jimbo la igunga, naondoka houston next week kurejea tanzania
 
Nauliza ili nifahamu kwa sbabu hii ni blog ya great thinkers. Mgombea Ubunge ni lazima awe mzaliwa wa Igunga?
 
Hivi mtu kwa mfano kama ashawahi kongoza jimbo kama la Karatu kwa mafanikio makubwa tu,
si ataweza pia kuiongoza Igunga?
Huu ni mfano tu nimetoa
 
huu mfano wako unaweza kuleta vurugumechi! ngoja wataalamu wakujibu,ila naunga mkono hoja!
Hivi mtu kwa mfano kama ashawahi kongoza jimbo kama la Karatu kwa mafanikio makubwa tu,si ataweza pia kuiongoza Igunga?Huu ni mfano tu nimetoa
 
Kwani Chadema munailitaka jimbo la Igunga? Munataka kuwemo Bungeni chini ya mfumo huu wa siasa uchwala? si mngesusa tu kama mlivyosusa kusikiliza hotuba ya Raisi bungeni. kama mulivyo susa kumtambua meya wa Arusha n k. Acheni kugombea makombo ya ccm ninyi ngojeni katiba mpya ikundwa mutakuwa na uhakika wa kuingia madarakani. au hako kajimbo kamoja nako kanongeza kiasi cha ru... ya chama?
 
Issue si kulitaka wala kugombea jimbo,na kama ni makombo basi hata ccm wengi tu wanakaa kwenye makombo maana majimbo mengi wameyakuta.Suala ni kuwapatia wana-Igunga uwakilishi ulio na maslahi kwao tofauti uliopita
 
Back
Top Bottom