Recent content by ndorobo mkuu

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Maana nyingine ya TBT

    Sasa mbona bado ni utata!? Wengine wasema 'THROW', wengine 'TROW', wengine 'THRAW', wengine 'THRUE'!!?? Tushike lipi sasa:confused::confused::confused:
  2. N

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ugaidi sasa sio zile muvi za mapangoni!

    Nashukuru sana msemaji, maana nilikua na wazo kama hili nilitaka kusema ila umepita mulemule.
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bonge la live show: Usikose Dar Live leo jioni

    We unasema atawafundisha madogo kama DOMO live band una uhakika!?? DOMO alipokua na show za burundi na na rwanda alipiga LIVE tena in stadium na show zilifana.. So nani aliemfundisha mwenzie hapo!?:confused:
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vengu wa Original Komedi amefariki dunia nchini India (Si habari ya Kweli)

    Nimepata hizi habari.. Mwenye undani zaidi wa habari hii atujuze tafadhali ============== JamiiForums: Habari hii SI KWELI, Seki kakanusha kupitia Clouds FM.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rav4 huota tege?

    Duuuuuuh
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mahaba ya Refa wa Chelsea Vs PSG

    Sasa mtu unamuona kishalala upande wa kushoto na mpira unaelekea kulia.. Kinachofata ni nini jamani!?? Puliza kabisa ili wakiokota waeke kati tuuu no kupoteza muda:D:D
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mchinjaji wa ISIS, Mohammed Emwazi aliwahi kuja Tanzania na kushtukiwa na Vyombo vya Usalama

    Asante sana. Nimekuelewa sana... Nadhan tofaut ya 'hao' wanaua kwa bunduki, makombora n.k lakini 'wale' wanachinja!! Bt wako in the same truck
  8. N

    JamiiForums Tanzania Onaa maajabu....hebu fuata maagizo uone vituko.

    Ndorobo.com
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kunani kazi za zoomtanzania?

    Duuuuuuh pole sanaa aseee
  10. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

    Sasa mtu mwenye panga na kisu akichukua bunduki, risasi na mabomu kutoka kituoni DOES IT MAKE SENSE eventhough unasema kisu na panga ni silahs!??:confused:
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyimbo ya 'sea' ya papii kocha

    Mi hua naitafuta ile ya 'Fanta' bila mafanikio
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wapenzi wa supu ya pweza

    Mmmmmmmmmmh!!:confused:
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hongera sana JOTI

    Ua very right!!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji vyuo vikuu

    Nimesikitishwa saana,. Nimehuzunishwa sana na michango ya wengi jinsi mnavotoa shutuma nyingi kwetu sisi wakufunzi wa hivi vyuo vikuu. Nilijiunga na chuo kimoja mjini morogoro lakini wadada walikua wanahangaika sana kuja kujilengesha kwa kua nilikua nafata haki na misingi ya ufundishaji...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kutoa zawadi ya milioni 20

    Duuuh!! Kumbe ndo hua iko hivo!? Sasa si wanapoteza imani kwa wananchi wasamaria sasa!!?
Back
Top Bottom