lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Naweza kusema haya ni mapinduzi ya kweli katika bongo fleva big up KIBA. kwa hili la kupi show pale DAR LIVE kwa LIVE BAND kweli umetisha kaka huu ni mfuniko kwa wasanii wote tunaowajua akiwemo DIAMOND. endelea kuwafundisha hawa madogo zako mpaka. tuelewane tu.