Udhalilishaji vyuo vikuu

Udhalilishaji vyuo vikuu

dah umeongea kitu kizito sana mkuu yani umenifanya nitoe machozi
Nimekuwa muhanga wa hilo jambo kama ilo nilipishana na lecturer kauli wakati nadai haki yangu badala yake alinifanyia visa mpaka akanidisco kwa ajili ya somo lake tu na maisha yangu yote ya chuo sikuwahi pata sup zaidi ya iyo moja ya huyo jamaa ambayo mwisho wake ilinifanya nidisco
Huwa naumia sana nikimkumbuka jamaa ila ninachomshukuru mungu sikukataa tamaa na sasa ninasonga mbele
Mi niliamua kuachana nae tu kwa sababu nilikuwa siwezi kabisa eleza popote nilijawa na hisira nilikua najikuta nalia tu badala ya kueleza shida yangu kwenye mamlaka husikaa kwa kwel iliniumiza sana mwishowe nikaamua ondoka tu na kuachana kabisa na ilo jambo mana nilihisi kabisa naweza kufa mana hayo ndo mawazo pekee yaliyoutawala moyo wangu kwa kipindi kile, na hapo kumbuka nilikuwa nimeshamaliza semister yangu ya mwisho ya mwaka wa tatu.
Ila kiukwel nashindwa kabisa msamehe mshikaji moyo wangu umejawa na kisasi juu yake huwa naomba mungu anisaidie niweze msamehe lakin kibinadamu siwezi kabisaa

Pole sana mkuu ila binafsi ninaamini maisha siyo elimu tu. You can make life better even if you don't have the papers.

Ushauri wangu kwako ni umsamehe na umwachie kwani moyo utakuwa na amani zaidi ya unavyodhani
 
okyo ni bora ushuhuda wako utawaamsha waliolala kifikra na kudhan kila jambo ni la kuzusha,c ww tu wengi wameonewa sana.
 
Pole sana mkuu ila binafsi ninaamini maisha siyo elimu tu. You can make life better even if you don't have the papers.

Ushauri wangu kwako ni umsamehe na umwachie kwani moyo utakuwa na amani zaidi ya unavyodhani

asante mkuu na nazidi omba mungu anipe ujasiri zaidi ile niweze ishinda hii roho ya kisasi
 
Mtoa mada umenena mambo hayo hutokea ktk vyuo vingi hapa nchini rushwa ya ngono imetawala sana kwa malecturers na dada zetu ndio wamekua wahanga wakubwa sana ktk janga hili na cyo mavyuoni hata ktk sehemu za maofisini kuna udhalilishaji mkubwa sana
 
Nakubaliana na mtoa mada kwa upande fulani, lakini napinga kwa upande mwingine, kwani watoto wa kike wengi vyuoni huko wamekuwa hamnazo. Kuna wasichana wakifika chuo fulani kwa mfano wao huwa wanatembea na kila mtu kuanzia walimu hadi walinzi, lakini inapotokea kesi yoyote msichana ni rahisi kujitetea hii ni kwa sababu tu sheria imekuwa biased na kuonekana mwanamke anadhalilishwa ila si kweli, angalau wapo walimu wenye tabia ya ufuska. Ushauri wangu watoto wa kike ebu tulieni kidogo, mjiheshimu na ikiwezekana muwe mnavaa nguo zitakazowatofautisha nyinyi na wale madada poa wa Corner Bar.
 
Katika hali isiyo ya kawaida imegundulika uwepo wa udhalilishaji mkubwa kwa wanawake wanaosoma katika vyuo mbalimbali nchini, data zinaeleza kuwa vyuo vingi vimekuwa na lecturer ambao hutumia nafasi hyo kuwataka kimapenzi wanafunzi na pindi mwanafunzi huyo akikataa basi matarajio yake katika masomo huwa yanapotea, wakati hilo likifanyika mkuu wa chuo pamoja na idara zake wanalijua hili lakini hakuna hatua zinazochukuliwa, kwa kuumizwa na suala hili nimeona nilete kwa wanajamvi ili ujumbe ufike kwa haraka wanawake wanateseka sana vyuoni mfano ni chuo kikuu kilichopo Tanga, DUCE na kile chenye idad kubwa ya wanafunzi Dodoma

Serikal kupitia vyombo husika chunguzeni haraka sana hali za wamama wetu vyuoni zinatisha

Hivi mkuu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanachuo ni bahati mbaya au naye anakubali kwa akili na hekima zake? kumbuka mtu aliyepo chuo ni "mature enough (+18) having clear concise" kwahiyo kila anacho kifanya anajua kwanini ana kifanya , ila tatizo kubwa la mademu ni kuwa hawataki kujishughulisha kwa kubukua kitabu, mfano mdogo wafanyie tahmini hat akwenye "group discussion" kuna kitu utagundua dhidi ya huo udhaifu wao.
 
dah umeongea kitu kizito sana mkuu yani umenifanya nitoe machozi
Nimekuwa muhanga wa hilo jambo kama ilo nilipishana na lecturer kauli wakati nadai haki yangu badala yake alinifanyia visa mpaka akanidisco kwa ajili ya somo lake tu na maisha yangu yote ya chuo sikuwahi pata sup zaidi ya iyo moja ya huyo jamaa ambayo mwisho wake ilinifanya nidisco
Huwa naumia sana nikimkumbuka jamaa ila ninachomshukuru mungu sikukataa tamaa na sasa ninasonga mbele
Mi niliamua kuachana nae tu kwa sababu nilikuwa siwezi kabisa eleza popote nilijawa na hisira nilikua najikuta nalia tu badala ya kueleza shida yangu kwenye mamlaka husikaa kwa kwel iliniumiza sana mwishowe nikaamua ondoka tu na kuachana kabisa na ilo jambo mana nilihisi kabisa naweza kufa mana hayo ndo mawazo pekee yaliyoutawala moyo wangu kwa kipindi kile, na hapo kumbuka nilikuwa nimeshamaliza semister yangu ya mwisho ya mwaka wa tatu.
Ila kiukwel nashindwa kabisa msamehe mshikaji moyo wangu umejawa na kisasi juu yake huwa naomba mungu anisaidie niweze msamehe lakin kibinadamu siwezi kabisaa

Chuo hakina externals????!!
Matokeo hayapiti vikao vya college, school levels???!!
Awkward case haijadiliwi! !!

Yaani chuo kiwe baina ya mwalimu na mwanafunzi tu???!!
Hutaji chuo wala idara, wala jina wala somo husika japo codes tu???!!!
 
Katika hali isiyo ya kawaida imegundulika uwepo wa udhalilishaji mkubwa kwa wanawake wanaosoma katika vyuo mbalimbali nchini, data zinaeleza kuwa vyuo vingi vimekuwa na lecturer ambao hutumia nafasi hyo kuwataka kimapenzi wanafunzi na pindi mwanafunzi huyo akikataa basi matarajio yake katika masomo huwa yanapotea, wakati hilo likifanyika mkuu wa chuo pamoja na idara zake wanalijua hili lakini hakuna hatua zinazochukuliwa, kwa kuumizwa na suala hili nimeona nilete kwa wanajamvi ili ujumbe ufike kwa haraka wanawake wanateseka sana vyuoni mfano ni chuo kikuu kilichopo Tanga, DUCE na kile chenye idad kubwa ya wanafunzi Dodoma

Serikal kupitia vyombo husika chunguzeni haraka sana hali za wamama wetu vyuoni zinatisha

Ili argument yako i hold water basi weka analysis na data hapa. barikiwa. ndo yale yale lecturer alitembea na 50% ya wasicha wote, kumbe ni walikwa wawili na na sasa katembew ana mmoja tu .
 
Chuo hakina externals????!!
Matokeo hayapiti vikao vya college, school levels???!!
Awkward case haijadiliwi! !!

Yaani chuo kiwe baina ya mwalimu na mwanafunzi tu???!!
Hutaji chuo wala idara, wala jina wala somo husika japo codes tu???!!!

mkuu hili swala la external kwa sasa mi naliona kama ni myth tu sidhani kama kweli lina uhai kwa sasa mana kama kweli wapo haya yanayotokea sidhan kama yangekuwa yanatokea

na ni rahisi sana sema ni awkward case kwasababu hayajakukuta na wala hayajawaji kukumkuta mdogo wako au mtoto wako ila omba sana mungu dunia tunayoishi sasa ni tofauti sana na ile ya zamani watu walikuwa wanafanya kazi kwa waledi ila sasa hivi hakuna kitu kama icho ni bora yaende tu
 
ni ukweli usiopingika lecturer wengi hutumia nafasi hyo kudhalilisha wadada,serikal wasaidieni hawa wadada kwa sababu hata kesi wanazozianzisha dhidi ya wapenda ngono zinazimwa na mwisho wa siku matokeo ndo huwa mabaya kwa mhusika
 
Hivi mkuu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanachuo ni bahati mbaya au naye anakubali kwa akili na hekima zake? kumbuka mtu aliyepo chuo ni "mature enough (+18) having clear concise" kwahiyo kila anacho kifanya anajua kwanini ana kifanya , ila tatizo kubwa la mademu ni kuwa hawataki kujishughulisha kwa kubukua kitabu, mfano mdogo wafanyie tahmini hat akwenye "group discussion" kuna kitu utagundua dhidi ya huo udhaifu wao.

ni kweli mkuu unachonena wapo dada zetu wenye hizo tabia lakn kama ukiamua kufuatilia utaumia sana mkuu wengi wao wanakosa namna hasa pale wanapoona dalili mbaya kwao,kama tujuavyo ndugu zetu ni dhaifu sana
 
mkuu hili swala la external kwa sasa mi naliona kama ni myth tu sidhani kama kweli lina uhai kwa sasa mana kama kweli wapo haya yanayotokea sidhan kama yangekuwa yanatokea

na ni rahisi sana sema ni awkward case kwasababu hayajakukuta na wala hayajawaji kukumkuta mdogo wako au mtoto wako ila omba sana mungu dunia tunayoishi sasa ni tofauti sana na ile ya zamani watu walikuwa wanafanya kazi kwa waledi ila sasa hivi hakuna kitu kama icho ni bora yaende tu

Najua ninachokisema!!!
Weak students wanaonekana kwenye pattern ya mkeka!!!
Dean ana nguvu ya kuitisha mpaka script ya somo lenye shida!!!
Weka matokeo ya masomo mengine hapa, hilo moja uliloonewa lingeshout tu!!
 
mkuu ngoja nifanye utaratibu wa kuscreen shot ayo matokeo then ntakutumia pm,

na kwa kifupi tu hata iyo management naweza ilaumu kwa namna moja au nyingine kwa sababu sio wafuatiliaji kabisa iyo shida mi niliipata nikiwa first yr na huyo jamaa nikapiga sup akanirudisha tena nikacarry akanishika tena nikafanya sup hapo hakuweka matokeo yangu nimefuatilia mpaka nimechoka nimemaliza mwaka wa tatu nimefuatilia akanidanganya kwa kuniambia hakuna shida atayaweka soon ikafika mahali nikawa sina tena pesa ya kuishi pale ikabid niondoke nimefika home ndo ameweka tokea sasa je huyu mtu unaweza muweka kwenye kundi gani.? alijua wazi nikiondoka nguvu ya kufuatilia itapungua na ndo mana alifanya ivyo ki ukwel nikata kabisaa tamaa na kama ni kwel kwann asingeyaweka kipindi bado nipo chuoni akayaweka kipindi ambacho sipo embu niambie kwa case kama:
1)iyo unaweza niambia mamlaka zinawajibika?
2)mwaka mzima umepita mi sina matokeo ya somo la mwaka ulioisha kama hawa jamaa ni wanaoitwa maexternal na body ya kupitisha matokeo ipo ilipitishaje jina ambalo halikuwa na matokeo yaliyokamilika?
 
chuo kikuu tunatarajia watu walio pevuka,kimwili na kiakili.pia wanajua haki na wajibu wao..mi ni mmoja wawakosoaji wa hi serikali lakin kwa hili naona mnapotezana.nmekua chuo pia tena apo Udsm wadada wenyewe ni malaya wanajilengesha kwa semina leaders,tuitors na hata lecturers.acha watiwe tu.....kibaya tu ni pale wanapopewa marks za bure ila sio uhusiano wao
 
of course kama mi nilikuwa mhanga kwa kuwa tu sikujua haki zangu za msingi ila kupitia hili nimejifunza mengi hayupo wakinitingisha kwa sasa
 
Nimesikitishwa saana,.
Nimehuzunishwa sana na michango ya wengi jinsi mnavotoa shutuma nyingi kwetu sisi wakufunzi wa hivi vyuo vikuu.
Nilijiunga na chuo kimoja mjini morogoro lakini wadada walikua wanahangaika sana kuja kujilengesha kwa kua nilikua nafata haki na misingi ya ufundishaji,.. ulichokiandika ndicho kitakupa marks. Lakini walikua wanahangaika kunitega na hata kutumia marafiki zangu ili tu niwzpe free marks lakini sikujali hilo kwani najiheshimu japo bado sijaoa.
My take;
Wadada mkishajitambua thamani na utu wenu, na kuacha kujirahisisha hapo ndipo huo mnaouita udhalilishaji utafikia kikomo.
ASANTENI
 
of course kama mi nilikuwa mhanga kwa kuwa tu sikujua haki zangu za msingi ila kupitia hili nimejifunza mengi hayupo wakinitingisha kwa sasa

good,hongera kwa kua jasir jarbu kutoa elimu kwa wengine ili hali hii iishe
 
Back
Top Bottom