Kunani kazi za zoomtanzania?

Kunani kazi za zoomtanzania?

Nafikiri kuna baadhi ya ajira huwa zinakuwa za kweli,mfano hivi karibuni Mount Meru University wametoa nafasi za kazi wakazitangaza kwenye website yao ya chuo na ziliwekwa pia zoom. Ktk kuapply sijawa na uhakika na njia ile ya "apply now" kupitia zoom ila nina uhakika ukifanya mawasiliano na taasisi iliyotoa hizo nafasi wataweza kukuweka sawa.

Nashauri mtu ukiona tangazo la ajira hasa kupitia mitandao kama zoom ni vema ukafuatilia kujua kama taasisi inayotangaza ajira hizo ipo ama ni kanyaboya. Jaribu kugoogle jina la taasisi au ulizia wadau unaofahamiana nao ili upate mawasiliano ya moja kwa moja pia ukipata mawasiliano waulize kama waweza kuapply kwao moja kwa moja ama ni lazima kupitisha maombi yako zoom.
I hope maelezo yangu yatakusaidia mleta mada na wengine wenye kutatizwa na mitandao kama zoom.
 
wanaita interview na kuna mmoja kapata access bank kuptia zoom
 
Wale zoom nadhani ni wahuni fulani wanaotumia tatizo la ukosefu wa ajira kuwanasa sanasana hakina dada wasiokuwa na uvumilivu.
 
Zoom.ni wapumbafu kupitita maelezo mbwa wale!!kwenye tovuti yao usiende pale walipokuambia ''appy now'' ww tuma maombi mojaa kwa moja kwenye shirika au kampuni iliotangaza nafasi unapotumia pale ku appy kupitia wao wanapata nafas ya kuona Cv yako ni majizi ya cv maashenzi yalee baada ya apo wanawapatia matapeli wanaokupigia simu wanakudanganya utume ela alfu wakupitishe kweny inter view ni washenzi hawafai kabisaaa!!!ukiona tangazo zoom tafuta mawasiliano ya kampuni au shirika lile waliotoa nafas ile ya ajira omba moja kwa moja USIOMBE KUTUMIA ZOOM utapoteza muda wako washenzi sana wale juzi nusu nitapeliwe aiseee ZOOM NI MTANDAO WA MATAPELI!!
 
Nimefanya online application nyingi sana kupitia ZOOM, hakuna hata moja niliowahi kuitwa hata kwenye Interview, je kuna aliewahi sembuse kuajiriwa kwa kuptia online application za ZOOM?

Je Uli ZOOM Kwanza Hizo CV's Zako Na Hiyo Barua Yako? Jina Lao Tu Lenyewe Linaweza Kukupa Ufahamu Wao Halisi. Pole Sana Mkuu!
 
Mimisiwaamini kabisa hao Zoom,na wenzi wao wote ambao wakitoa tangazo la kazi wanajifanya apply here....cjui CV people,sijui nn siwaamini kabsa,wanatutumia ili wao waonekane wana viewers wengi ili wapate sponsors...wanashiba kupitua migongo yetu..
 
tya02
Mimisiwaamini kabisa hao Zoom,na wenzi wao wote ambao wakitoa tangazo la kazi wanajifanya apply here. cjui CV people,sijui nn siwaamini kabsa, wanatutumia ili wao waonekane wana viewers wengi ili wapate sponsors.

Wanashiba kupitua migongo yetu.

Uko sahihi sana mkuu, yaani they use us for their benefical
 
Mr Adam Gella

Zoom kwenye tovuti yao usiende pale walipokuambia ''appy now'' ww tuma maombi mojaa kwa moja kwenye shirika au kampuni iliotangaza nafasi unapotumia pale ku appy kupitia wao wanapata nafas ya kuona Cv yako ni majizi ya cv maashenzi
yalee

baada ya apo wanawapatia matapeli wanaokupigia simu wanakudanganya utume ela alfu wakupitishe kweny inter view ni washenzi
hawafai kabisaaa!!!ukiona tangazo zoom tafuta mawasiliano ya kampuni au shirika lile waliotoa nafas ile ya ajira omba moja kwa moja

USIOMBE KUTUMIA ZOOM utapoteza muda wako washenzi sana wale juzi nusu nitapeliwe aiseee ZOOM NI MTANDAO WA MATAPELI!!
 
Hivi zoom Tz si ni ubao tu wa matangazo au wanajishughulisha pia na kufanyia watu usahili kwa niaba ya taasisi zitoazo ajira?

Kama wao ni bango tu la matangazo ya ajira basi sioni sababu ya watu kulalama...

Labda jambo ambalo nahisi kuna shida ni kasoro ya uhifadhi wa taarifa za CV's za watu...
 
Hivi zoom Tz si ni ubao tu wa matangazo au wanajishughulisha pia na kufanyia watu usahili kwa niaba ya taasisi zitoazo ajira?

Kama wao ni bango tu la matangazo ya ajira basi sioni sababu ya watu kulalama...

kuna jamaa yangu mmoja anasema alipata baada ya kuapply kwenye account ya zoom na kuitwa kwenye usaili katika kampuni moja ya kichina...

kwa maana hiyo wanahusika pia na udalali au u-agency.
 
Nimefanya online application nyingi sana kupitia ZOOM, hakuna hata moja niliowahi kuitwa hata kwenye Interview, je kuna aliewahi sembuse kuajiriwa kwa kuptia online application za ZOOM?

wengine tulipata kazi kupitia zoom, pole anyways
 
Back
Top Bottom