ndorobo mkuu
Member
- Oct 26, 2014
- 89
- 29
upungufu wa vitamid d kwenye mafuta
Duuuuuuh
upungufu wa vitamid d kwenye mafuta
Gari za wastaafu hizi. Sizipendi kinoma
Zinakuwa kama chura wa kiduku
Majibu yenu yanafanana kabisaupungufu wa vitamid d kwenye mafuta
RAV4 huu ndio ugonjwa wake mkubwa!
Yanahitaji kufanyiwa wheel alignment mara kwa mara.
Hii ndio sababu inayonifanya nizichukie Rav4
BMW kama ile ya Diamond.Unapenda gari gani mrembo?
BMW kama ile ya Diamond.
Hata bito pia old model ....sema tege lake tofauti na la Rav 4 lenyewe limegeukia kwa ndaniHata HONDA CRV Nayo iko hivyo hivyo.
HahahaaaJamaa harudi tena
Hii ndio sababu inayonifanya nizichukie Rav4
Hata bito pia old model ....sema tege lake tofauti na la Rav 4 lenyewe limegeukia kwa ndani
![]()
Nimeshasema mbona? Rudi usome vizuri.unazipenda zipi?
Ugonjwa wake mkubwa ni mlio wa mkito kuuuu kwa automatic old model rav4