Jeshi la polisi kutoa zawadi ya milioni 20

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
374,261
Reaction score
866,598
Akitangaza uamuzi huo kwa niaba ya IGP msemaji wa jeshi la polisi mwanamama Advera amesema yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa majambazi waliovamia kuua askari wawili na kupora silaha huko mkuranga atapata kitita hicho cha milioni 20 za kitanzania

RAI YANGU: Jeshi lijifunze kutimiza ahadi zake na kuacha longolongo nyingi na kupunja ilichokiahidi, la sivyo itakuwa ni ndoto kupata ushirikiano wautakao

Enzi za Mrema alifanikiwa kwakuwa alikuwa mkweli na muwazi na alitimiza ahadi zake na hakupunja yeyote

Kuna matukio mengi watu waliingizwa mkenge na jeshi la polisi, badala ya kupata zawadi aidha waliishia kuwekwa lupango, kuwa mashahidi kudhulumiwa au kupunjwa na kuzunguushwa mno kupata zawadi zao

Jamaa mmoja yeye aliishia kutishiwa kama angeendelea kudai zawadi angefunguliwa kesi ya mauaji, jeshi la polisi haliaminiki tena lijirekebishe, wananchi wana taarifa nyingi sana lakini wanaogopa kuzipeleka polisi
 
Duuuh!! Kumbe ndo hua iko hivo!?
Sasa si wanapoteza imani kwa wananchi wasamaria sasa!!?
 
Hata nikiona mualifu sisemi chochote nchi yenyewe hii wakanibabue na maji ya moto haina shukran ukisema kwel unaishia kubaya ukisema uwongo ndo penyeewe
 
Akitangaza uamuzi huo kwa niaba ya IGP msemaji wa jeshi la polisi mwanamama Advera amesema yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa majambazi waliovamia kuua askari wawili na kupora silaha huko mkuranga atapata kitita hicho cha milioni 20 za kitanzania

RAI YANGU: Jeshi lijifunze kutimiza ahadi zake na kuacha longolongo nyingi na kupunja ilichokiahidi, la sivyo itakuwa ni ndoto kupata ushirikiano wautakao

Enzi za Mrema alifanikiwa kwakuwa alikuwa mkweli na muwazi na alitimiza ahadi zake na hakupunja yeyote

Kuna matukio mengi watu waliingizwa mkenge na jeshi la polisi, badala ya kupata zawadi aidha waliishia kuwekwa lupango, kuwa mashahidi kudhulumiwa au kupunjwa na kuzunguushwa mno kupata zawadi zao

Jamaa mmoja yeye aliishia kutishiwa kama angeendelea kudai zawadi angefunguliwa kesi ya mauaji, jeshi la polisi haliaminiki tena lijirekebishe, wananchi wana taarifa nyingi sana lakini wanaogopa kuzipeleka polisi

AAAAAAAAAAh Mrema sasa hivi kachoka hana hata hamu ya maisha, ukawa wanampelekesha puta tu
 
Hivi dau gani limaahidiwa kwa atakayefanikisha kumpata yule mtoto albino wa Mwanza? Mimi namjua aliyemchukua...!
 
Wameshikwa pabaya raundi hii. Hii ndo faida ya kuwa na polisi vitambi, wamekariri utendaji kazi. Wajifunze kutokana na hili kuwa stand by 24/7 na kuwa na mbinu mbadala! Sio kukariri kuwa kituo cha polisi kinaogopwa!
 
Akitangaza uamuzi huo kwa niaba ya IGP msemaji wa jeshi la polisi mwanamama Advera amesema yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa majambazi waliovamia kuua askari wawili na kupora silaha huko mkuranga atapata kitita hicho cha milioni 20 za kitanzania

RAI YANGU: Jeshi lijifunze kutimiza ahadi zake na kuacha longolongo nyingi na kupunja ilichokiahidi, la sivyo itakuwa ni ndoto kupata ushirikiano wautakao

Enzi za Mrema alifanikiwa kwakuwa alikuwa mkweli na muwazi na alitimiza ahadi zake na hakupunja yeyote

Kuna matukio mengi watu waliingizwa mkenge na jeshi la polisi, badala ya kupata zawadi aidha waliishia kuwekwa lupango, kuwa mashahidi kudhulumiwa au kupunjwa na kuzunguushwa mno kupata zawadi zao

Jamaa mmoja yeye aliishia kutishiwa kama angeendelea kudai zawadi angefunguliwa kesi ya mauaji, jeshi la polisi haliaminiki tena lijirekebishe, wananchi wana taarifa nyingi sana lakini wanaogopa kuzipeleka polisi

Me nadhani inabidi polisi hasa wapelelezi wawe kwenye control rooms za mitandao ya simu pia kama zipo au tcra kwa namna hii wanaweza kutrack movement za mawasiliano hususan kwa kutumia network ya sehemu uhalifu ulikotokea.
 
Wanafanyaga hivyo kwenye ishu zenye manufaa kwao! Nenda uwaambie umeibiwa techno yako uone au kuna kitu wanakiita 'pesa mbuzi'
 
Hivi dau gani limaahidiwa kwa atakayefanikisha kumpata yule mtoto albino wa Mwanza? Mimi namjua aliyemchukua...!

Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu!
Wamegongwa nyundo kwenye ppumbu la kushoto, na limewauma sana, sasa wanabwabwaja tu! Hao majambazi "wamechapa" kazi. FUNDISHO.
Ila pole kwa wafiwa, kutoka moyoni.
 
Siamini macho yangu kama Tanzania imefikia hatua hiyo ...vuta hisia kama polisi wamefanywa hivyo walivyo fanywa , je Majambazi wange vamia kilabu cha pombe wangeua wangapi? na kucha vilema kaisi gani....? eeeh MOLA tunaomba neema yako kwani tunako zid elekea siko kwenyewe kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama suluhisho kutangaza dau kubwa hivo nafikiri yapaswa kuimarisha intelejensia ya ndani na nje, kuwawezesha wapelelezi kivifaa na kifedha, kushirikiana kiuthabiti na vyombo vingine vya usalama, kampuni za mawasiliano na mamlaka husika zitoe ushirikiano mzuri na wa kutosha, sisi raia tutoe ushirikiano kwa polisi dhidi viashiria vya uhalifu wowote na askari polisi wabadilike kiutendaji maana watu sasa hawaaminiki tens.
 
Nchi hii inaugua kansa kila kona. Kuanzia Ikulu hadi Mwenyekiti wa kitongoji. Sishangai hayo ya polisi. Ni sehemu ya kansa hiyo.
 
hizo pesa huwa zinatolewa???? mmmhhh polisi hawa hawakawii kukugeuka
 
Hii ni mara ya pili inatokea kwenye hicho kituo wameshikwa pabaya mpaka wanatangaza dau walikuwa wapi kutangaza dau toka tukio la kwanza,Wezi ni wao wenyewe hakuna mtu from no where akajua kituo fulani kuna mali fulani waanze kutafutana wenyewe humo ndani kwenye jeshi lao. Si wanasema serikali ina mkono mrefu haya wadhihirishe huo mkono wao.
 
Tatizo ni location ya hapo mahali unajua everlenk ukitoka mkuranga hakuna kituo kikubwa cha polisi mpaka ufike Kibiti, wakati kilometa 18 kabla hujafika Kibiti kuna mji mdogo unaitwa Bungu ambao ndio njia ya Nyamisati ambako kuna gateaway ya baharini, unakumbuka tukio mwaka juzi yule jamaa alitumia njia hiyohiyo akaibukia Pemba?

Jeshi liko busy kupambana na wanasiasa wa upinzani
 
Last edited by a moderator:
Hivi dau gani limaahidiwa kwa atakayefanikisha kumpata yule mtoto albino wa Mwanza? Mimi namjua aliyemchukua...!
Labda uhai wake hauna thamani. Hawa waliokutwa wakiwa wamelala kazini ndio waliokuwa na thamani.
 
Tatizo ni location ya hapo mahali unajua everlenk ukitoka mkuranga hakuna kituo kikubwa cha polisi mpaka ufike Kibiti, wakati kilometa 18 kabla hujafika Kibiti kuna mji mdogo unaitwa Bungu ambao ndio njia ya Nyamisati ambako kuna gateaway ya baharini, unakumbuka tukio mwaka juzi yule jamaa alitumia njia hiyohiyo akaibukia Pemba?

Jeshi liko busy kupambana na wanasiasa wa upinzani

Unafikiri hawalijui hilo tatizo la location wanalijua sana ila wamefanya kama hawalioni maana kuna wenye maslahi yao na hicho kituo,haya serikali yenye mkono mrefu ionyeshe huo mkono wake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom