Recent content by ndisi-jujo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sio kila mwanaume anaweza kuwa baba

    Duuuuuuuuu hatariii [emoji113]
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sio kila mwanaume anaweza kuwa baba

    Yaaan wengine ni parent stock Vitoto vikizaliwa basi wengine waendelee kulea
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

    Geo naomba nisaidie kupata soko kama kutakuwa na uhitaji ,nipo Moro
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni tabia hii, ina gharama kubwa sana!

    Nawewe kama unajua mko wengi unachezaje Vila ndom!!!!!!! Yaan unampenda mwanamke kuliko kujipenda mwenyewee Haya basi akizaliwa tuma watu wazima wakachungulie kama ni wa kwako Ukiona ni wako basi jibebishe pelekeza vitu vya muhim mtaelewana tuuu Sio mnasubir mtoto et akueeeeeee halafu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni tabia hii, ina gharama kubwa sana!

    Mnasubir wakue ndo wanakuwa watoto wenu ...wanaume jirekebisheni LA sivyo tutaendelea kuwapa imani za dini zetu achilia mbali kina naweza kumwandika endapo baba atakubali kuwa mimba take Lakn akikataa naanzaje kumwandika kwa mfano ....diamond nampendaga kwa msimamo wake wakuwa Benet na...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuvaa chupi nyeusi mnakera

    We mnunulie rangi unazozipenda uone kama hatavaaa!!!!!! Mnajipa tu stress za kufikir kupoteza mb zako wakat mtuhumiwa Yuko kwenye 18 zako!!!!!!!!!
  7. N

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    Umenena vyema Pia wanasema
  8. N

    JamiiForums Tanzania George Marato awekwa chini ya ulinzi

    Mbona wanawake wanavumilia sana MNA michepuko wazi wazi kila SK kurud home Usk mwingi nk nk Sasa we mwanaume huna hata uhakika unaenda kugombana kisa dreva tax Haaaaaaa wanunulieni magari wake zenu Mtasababisha mauaji kama yaleeeeeee ya WK iliopita cjui mwanza wapi wapi .....wanaume...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kufukua kaburi la IVAN ni upuuzi umaskini na wizi

    Ingekuwa mambo ya mila wangefanya lakn sio kuzitupia hela HVO hadharani Si dhan kama ni wa kwanza kuzikwa na hela Mi nadhani wakati wanamweka kwenye jeneza wangemwekea huko Au wakati wanajenga wangeweka huko nani angeona!!!!!!!!!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi 3.5 hanyonyi

    May be mama alitumia madawa makali yakapelekea maziwa kuwa na harufu Au hashibi basi anaona bora asinyonye
  11. N

    JamiiForums Tanzania Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

    Maumivu bado saiv ni mapema sana wanadhan labda atarudi au maisha yataendelea vile alivokuwepo dady wao Kumbeeeeeee tofaut kabisaa Acha wakue wakianza kufil gap ndo machungu watayaona
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Yusuph: Walio na nyimbo zangu kwenye simu zao wafute

    Vitu vyote alivonunua kwa hela ya music avichome moto Na kama alijipatia mtaji kutokana na music wake basis hzo hela azitupe..... LA sivyo aamini kuwa ukitubu bas dhambi zooteeee unasamehewa Lakin ukitaka kuhesabu na kutagakari dhambi ulizowahi fanya lazima ushindwe...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mchoraji wa nembo ya Taifa ahamishiwa Hospitali ya Muhimbili

    Mwenyez Mungu amponye huyu babu jamani ......akipona aulizwe kwa mini mwanaume kavalishwa gauni kwenye hiyo nembo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni unafiki, ina maana kifo cha Ivan kimewauma kuliko Dogo Mfaume?

    Kama ukimwona MTU Mara nyingi mtandaon or wherever unaumia saanaaa tu hata kama hujawahi kumwona live Kuna watu tuko nao kwenye magrup mbalimbali hujawahi muona hata SK moja Lakin akipata tatizo unamhurumia saanaa Mie niliumiaga sana kifo cha amina chifupa yaan SK hiyo ucngz ulipaaa kabisa...
Back
Top Bottom