Wanawake acheni tabia hii, ina gharama kubwa sana!

ndisi-jujo wengine hawakatai bali mtu anauliza swali la msingi tu, "una hakika mimba ni ya kwangu" wewe unakurupuka kudai kama hataki kutunza utatunza mwenyewe. Tatizo kwanza kabla ya mimba kutunga mtu anajua ana washirika wenzie kama watatu na akicheza mama anaweza kuwa na kadi hata tatu za kliniki. Utampaje mtoto wa watu jina la ukoo wenu. kwanza huoni kama unajidhalilisha?
Nawewe kama unajua mko wengi unachezaje Vila ndom!!!!!!!
Yaan unampenda mwanamke kuliko kujipenda mwenyewee

Haya basi akizaliwa tuma watu wazima wakachungulie kama ni wa kwako
Ukiona ni wako basi jibebishe pelekeza vitu vya muhim mtaelewana tuuu

Sio mnasubir mtoto et akueeeeeee halafu unajipitisha et Mimi ndo babaako

Mnakeraa mnoooo
Halafu mitoto nayo mingine mijinga inakubali tuuu hadi inajipeleka ......bora hata iwe mazingira ndo yalikuwa tatizo
May be mlipotezana etc
 
Tatizo wanaume wengine wanakimbia majukumu yao wakati mtu akiwa na mimba hamjali kabisa I have a friend of mine ana mtoto alipewa mimba wakati tupo chuo huwezi amini huyo kaka hamjali kabisa mtoto wake.........mpaka leo rafiki yangu hajawahi kuomba hata mia ya mtoto......unategemea hapo atampa jina huyo mtoto la baba ake........nawapa hongera sana wasichana kama hao
 
Nawewe kama unajua mko wengi unachezaje Vila ndom!!!!!!!
Kondomu ili kuzuia mimba. Wengi huwa wanakataa kwamba wana wanaume wengi ingawa mwanaume husika huhisi kuwa kuna wenzake wanaosadiana kwenye mahusiano na mwanamke husika.
Baba wengine wazembe sana wanajua kutia mimba tu na sio kulea.
Lakini haihalalishi kumpa jina mtoto ambalo si la asili ya baba yake isipokuwa kama ni mila ya kabila husika.
 
Kondomu ili kuzuia mimba. Wengi huwa wanakataa kwamba wana wanaume wengi ingawa mwanaume husika huhisi kuwa kuna wenzake wanaosadiana kwenye mahusiano na mwanamke husika.

Lakini haihalalishi kumpa jina mtoto ambalo si la asili ya baba yake isipokuwa kama ni mila ya kabila husika.
Kama hujalea mwanao hana sababu ya kutumia jina lako kama Baba
 
Mwanamke hawez kukataa kumpa mwanaume mtoto wake, yote haya chanzo wanaume humjali mtoto kwa lolotee unataka ulelewe, kuitwa baba nayo ajira hivoooo
 
mara nyingi wanaofanyiwa hivyo ni wale wanaokataa mimba

unambebesha dada wa watu mimba halafu unamkimbia....baada ya mtoto kuzaliwa ndio ulete miguu??

hata mm ningekunyima.....na akikua nitamwambia baba ako aliuguaga kichaa akatoroka hatujui alipo
 
Duh! Kazi kwelikweli! Ila naimani atakuja tu kumbukeni damu nzito kuliko maji. Ndg na jamaa watamwambiaga tu chali kuwa mshua yupo kwani mifano iko mingi tunaiona mitaani. Hivyo ficheni muwezavyo but one day yas child to his father wa ukweli
 
Mnasubir wakue ndo wanakuwa watoto wenu
...wanaume jirekebisheni LA sivyo tutaendelea kuwapa imani za dini zetu achilia mbali kina naweza kumwandika endapo baba atakubali kuwa mimba take

Lakn akikataa naanzaje kumwandika kwa mfano
....diamond nampendaga kwa msimamo wake wakuwa Benet na mamaake..............
Kokote uliko Mond kula tano babaake
Na nyie mmezidi kusingizia watu mimba.
Kwa io unataka mi nikubali tuu na mi najua kabisa huo mzigo wako mwenyewe
 
Aiseeeeeh,

Pole Sana wadada na Wanawake kwa masahibu mazito hayo.

Yote ni mapito tu, yatakwisha.
 
Back
Top Bottom