George Marato awekwa chini ya ulinzi

George Marato awekwa chini ya ulinzi

nikireport kutoka kwenye taxiiii ni george maratuuu wa itttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttv
mmmmmh..
 
Hahahaha pole for your Info nilivaa shélastique mwaka 2006 na mpaka leo mapenzi moto moto.
Mh, basi nadhani your mate is very unfortunate au umemuweka kibindoni/limbwata limekuwa zezeta maana nakuhisi, making a picture of you, siyo mke mwema! Comment zako zilinitisha! Enjoy your evening!
 
Taarifa ambazo sijathibitisha zinasema kuwa mwandishi na ripota maarufu toka kanda ya Ziwa George Maratu amewekwa lockup baada ya kumkata kwa panga dereva taxi mmoja ambaye alimtuhumu kutembea na mkewe. Inasemekana pia ameichakaza taxi aliyokuja nayo dereva huyo kwa mapanga kiasi cha kuiharibu vibaya! Taarifa zaidi zinatonya kuwa kumekuwa na ugomvi kati yake na mkewe huyo kiasi kwamba leo mwanamke alimpigia simu dereva taxi anayetuhumiwa aje kumchukua na kumrudisha kwa wazazi wake ndipo yalipotokea masahibu hayo baada tu ya dereva taxi kufika kwa lengo la kumchukua mwanamke ambaye alisha-pack vyake!
Japo kuchapiwa inauma ila sio kiasi cha mpaka kumpiga mgoni wako au mkeo,hapo ndipo kwenye tofauti kati ya mwanaume na wakiume,mwanaume lazna awe na kifua au koromeo la kuhifadhi hasira au siri.
 
Afungwe maisha yake yote au anyongwe kabisa na uwe mfano kwa wanaume wengine wanaopenda kuchukua hatua za kipumbavu ila ya kuwa na subira.
Hata sheria inatambua uchungu wa mwenza, hivyo kumpunguzia adhabu mtenda kwa wivu. Click "Fragrento delicto". Spellings zimenipotea kidogo.
 
Simaanishi Marato hana kosa, la hasha. Ila kama Marato umemuita dhaifu kwa kitendo chake basi naomba jina la dereva tax aliyejipeleka mwenyewe akijua ni mtuhumiwa mkuu.
Binadamu hajakamilika, udhaifu ni kitu cha kawaida. Cha msingi ni kujitambua na kuufanyia kazi. Napenda tuepuke mentality kwamba kumpiga mgoni wako ndiyo ujanja.
Mambo ya mapenzi ni magumu sana. Watu wanacheat kwa sababu fulani fulani na wakati mwingine bila sababu ya msingi. Hatupaswi kujihukumu wala kuwahukumu wengine. Cha msingi maisha yanaendelea. Bongo kuna K nyingi sana utafikiri matone ya mvua, kwanini umuumize mtu sababu ya K?
 
Ntakufuta wifi yako akinzingua tufanye yetu...

Umenifurahisha sana.. K ni K tuuu
 
Binadamu hajakamilika, udhaifu ni kitu cha kawaida. Cha msingi ni kujitambua na kuufanyia kazi. Napenda tuepuke mentality kwamba kumpiga mgoni wako ndiyo ujanja.
Mambo ya mapenzi ni magumu sana. Watu wanacheat kwa sababu fulani fulani na wakati mwingine bila sababu ya msingi. Hatupaswi kujihukumu wala kuwahukumu wengine. Cha msingi maisha yanaendelea. Bongo kuna K nyingi sana utafikiri matone ya mvua, kwanini umuumize mtu sababu ya K?
Maneno yako yako busara Fulani, lakini wewe nadhani huwajui wanawake wenzio walivyo na dharau wanapohitimisha mapenzi. Atafanya vituko mpaka mwanaume utaprovoke. Kwa busara yako unaweza kumwita hawala yako aje akuchukue kwa mumeo?
 
Mapenzi hayana busara. Kama mwanaume ameamua kumfukuza mke wake, kwanini aumie anapokuja kuchukuliwa na mwanaume mwingine? Huo unapaswa kuwa ushahidi kuwa penzi lenu limekufa.
 
Mume kuwa makini na mke, akisala kaa mbali nae. Your wife is your best friend, but she can turn into a knife to shorten your life.
 
Hayanaga ujuzi haya kila mtu analia kivyake!
 
Siwezi kumlaumu George Marato.Na Hata kuuwa angeweza kuuwa kabisa.

Issue ya mahusiano ni ngumu si rahisi kama unavyoichukuliwa.

Tofauti ya mahusiano kati ya MTU na MTU ni jinsi ubongo wako ilivyoyapa uzito na kuyathamini.
Serious? Si unaachana naye itoshe? Kuumiza au kuua kunasaidia nini?
 
nikireport kutoka kwenye taxiiii ni george maratuuu wa itttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttv

Umenikumbusha

Nswima Errrrrrnest - Sumbawanga
 
Ila Mama nae alichemka... Kumuita mchepuko aje ambebe,,,....!!!
 
Mbona wanawake wanavumilia sana
MNA michepuko wazi wazi kila SK kurud home Usk mwingi nk nk

Sasa we mwanaume huna hata uhakika unaenda kugombana kisa dreva tax

Haaaaaaa wanunulieni magari wake zenu

Mtasababisha mauaji kama yaleeeeeee ya WK iliopita cjui mwanza wapi wapi

.....wanaume uvumulivu zero kwa Lila kitu.....
 
Back
Top Bottom