Mzee Yusuph: Walio na nyimbo zangu kwenye simu zao wafute

Chanzo cha hayo aliyoeleza ni Mahojiano na Mtu aliekuwa anamhoji hakuitisha press conference na kuanza kufunguka tu!

Kwanini kakubali kwenda kuhojiwa kwenye hicho kipindi?? Tena kipindi chenyewe kinaitwa mitikisiko ya pwani..tena kwenye mwezi huu..huyu hajitambui huyu..
 
facts afanye kimya kimya tu
Dini yake yenyewe ni full show off, kipindi cha mfungo kama hiki ni full kujitangaza kuwa kafunga, sijui subiria mwezi uishe, kusugua paji la uso ili sigda itoke aonekane mcha Mungu.
Hii imani ni ya kujionyesha zaidi kuliko matendo yampendezayi Mungu.
 
Kwani nyimbo alikuwa anatupa bure? Basi aturudishie pesa zetu ili dhambi isiendelee kumtafuna
 
We kaa hapo kumsengenya mwenzio, wakati mwenzako anafanya toba. Mwisho wa siku wewe dhambi zako huzitaji sijui ni mtakatifu mwenzetu.
Anachokiabudu tu chenyewe hakijui leo hii ndo aje mtakatifu huna hata aibu
 
Vitu vyote alivonunua kwa hela ya music avichome moto
Na kama alijipatia mtaji kutokana na music wake basis hzo hela azitupe.....

LA sivyo aamini kuwa ukitubu bas dhambi zooteeee unasamehewa
Lakin ukitaka kuhesabu na kutagakari dhambi ulizowahi fanya lazima ushindwe...
 
Vitu vyote alivonunua kwa hela ya music avichome moto
Na kama alijipatia mtaji kutokana na music wake basis hzo hela azitupe.....

LA sivyo aamini kuwa ukitubu bas dhambi zooteeee unasamehewa
Lakin ukitaka kuhesabu na kutagakari dhambi ulizowahi fanya lazima ushindwe...
una akili sana
 
Auze kila kitu ambacho amekipata kutokana na muziki maana ni laana tupu na dhambi hapo nitaanza kumuelewa na nitamsaidia kuwaambia watu wafute nyimbo zake.
 
Atoe nyumba na gari zote alizozipata kupitia taarabu kwa yatima..nitamuona wa maana...
Mbona jahazi bado iko..si aifunge band
Mkuu umesoma uzi vizuri? mbona katoa ufafanuzi kwanini jahazi ipo hadi leo
 
Asisahau kugawa mali, wake aliowapata kutokana na taarabu awaache maana alitoa mahari ya haramu ya muziki, watoto aliowapata kwa wake hao awauwe au kuwagawa maana wamepatika kwa wanawake aliowaoa kwa fedha haramu.

Akili zangu nazijua mwenyewe
 
Siyo story kuna moto na pepo, Mwenyezi Mungu akujaalie ulione hili kabla hujafikwa na mauti
Habari ya moto ni vitisho ili mpunguze ubazazi hapa Duniani, haupo na hautakuwepo huko ambako napo hapapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom