Wanawake acheni tabia hii, ina gharama kubwa sana!

Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,461
2,000
Hii tabia ya wanawake ya kuzaa na mtu halafu kukataa kumpa mtu huyo mtoto wake, na badala yake kumchukua mtoto huyo na kumpa jina la ukoo wa mwanamke huyo ni ya hatari sana. Mtoto anapokuwa mkubwa anajikuta kwenye mtatiziko wa kisaikolojia kuelewa hasa kimetokea nini yeye kufanana jina la ukoo na wajomba na mama zake. Jee mama yake alizaa na ndugu yake?

Kama umezaa na mtu mwache mtoto kama anataka kufuata jina ama imani ya baba yake afuate na siyo kusema eti hana baba ama baba yake hafai kuitwa baba. Mtu kazaa na Muislamu lakini analazimisha mtoto wake awe mkristo ama mkristo awe muislamu.
 
Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
16,674

Hasa wachaga,
 
Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,035
2,000
sasa hivi tunabeba mimba kimya kimya rafiki yangu juzi kakataliwa clinic hadi aende na mwenye mimba. amemuomba tu jamaa mtaani wakaenda nae .mwenye mimba yupo wala hajui kama kuna mtu mwenye mimba yake wala hakuna mwenye habari nae.dunia hii vituko sana
 
mijikamimi

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
1,012
1,500
sasa hivi tunabeba mimba kimya kimya rafiki yangu juzi kakataliwa clinic hadi aende na mwenye mimba. amemuomba tu jamaa mtaani wakaenda nae .mwenye mimba yupo wala hajui kama kuna mtu mwenye mimba yake wala hakuna mwenye habari nae.dunia hii vituko sana
Ninamna yakuonyesha kuwa uyomtu nihatari zaidi ya nyoka..
 
Ulweso

JF-Expert Member
May 24, 2016
14,812
2,000
Hii tabia ya wanawake ya kuzaa na mtu halafu kukataa kumpa mtu huyo mtoto wake, na badala yake kumchukua mtoto huyo na kumpa jina la ukoo wa mwanamke huyo ni ya hatari sana. Mtoto anapokuwa mkubwa anajikuta kwenye mtatiziko wa kisaikolojia kuelewa hasa kimetokea nini yeye kufanana jina la ukoo na wajomba na mama zake. Jee mama yake alizaa na ndugu yake?

Kama umezaa na mtu mwache mtoto kama anataka kufuata jina ama imani ya baba yake afuate na siyo kusema eti hana baba ama baba yake hafai kuitwa baba. Mtu kazaa na Muislamu lakini analazimisha mtoto wake awe mkristo ama mkristo awe muislamu.
Mwingine anakataa hiyo mimba utafanya nini utamlazimishaz?
 
LUCKDUBE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,775
2,000
Hiyo ni effect of matrinial society mkuu,
Form one C,
Makonde, mwera etc.
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Hii tabia ya wanawake ya kuzaa na mtu halafu kukataa kumpa mtu huyo mtoto wake, na badala yake kumchukua mtoto huyo na kumpa jina la ukoo wa mwanamke huyo ni ya hatari sana. Mtoto anapokuwa mkubwa anajikuta kwenye mtatiziko wa kisaikolojia kuelewa hasa kimetokea nini yeye kufanana jina la ukoo na wajomba na mama zake. Jee mama yake alizaa na ndugu yake?

Kama umezaa na mtu mwache mtoto kama anataka kufuata jina ama imani ya baba yake afuate na siyo kusema eti hana baba ama baba yake hafai kuitwa baba. Mtu kazaa na Muislamu lakini analazimisha mtoto wake awe mkristo ama mkristo awe muislamu.

Kuna Mdada kazaa na Msukuma Yaani Kamdadirisha Jina Huwa namwangalia Mpaka Nachoka. Na huwa anasema hana ubia na huyo mtoto kwa hiyo anamtunza atakavyo...

Huyo Jamaa wa Kisukuma yupoyupo kama zombiii;.
 
ndisi-jujo

Member
May 7, 2017
40
125
Mnasubir wakue ndo wanakuwa watoto wenu
...wanaume jirekebisheni LA sivyo tutaendelea kuwapa imani za dini zetu achilia mbali kina naweza kumwandika endapo baba atakubali kuwa mimba take

Lakn akikataa naanzaje kumwandika kwa mfano
....diamond nampendaga kwa msimamo wake wakuwa Benet na mamaake..............
Kokote uliko Mond kula tano babaake
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,461
2,000
ndisi-jujo wengine hawakatai bali mtu anauliza swali la msingi tu, "una hakika mimba ni ya kwangu" wewe unakurupuka kudai kama hataki kutunza utatunza mwenyewe. Tatizo kwanza kabla ya mimba kutunga mtu anajua ana washirika wenzie kama watatu na akicheza mama anaweza kuwa na kadi hata tatu za kliniki. Utampaje mtoto wa watu jina la ukoo wenu. kwanza huoni kama unajidhalilisha?
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,461
2,000
Mkiacha uzinzi hayo yote hayatakuwepo
Watu washanyang'anywa watoto baada ya ndoa kuvunjwa na mwanamke. Mta kaishi na mkewa ndoa inavunjika anaambiwa watoto anaondoka nao mwanamke. Hata hivyo si haki kumteka mtoto wa mtu kwa kisingizio cha kwamba mlikuwa mnazini.
 
Ishoo

Senior Member
May 18, 2017
110
225
Hii tabia ya wanawake ya kuzaa na mtu halafu kukataa kumpa mtu huyo mtoto wake, na badala yake kumchukua mtoto huyo na kumpa jina la ukoo wa mwanamke huyo ni ya hatari sana. Mtoto anapokuwa mkubwa anajikuta kwenye mtatiziko wa kisaikolojia kuelewa hasa kimetokea nini yeye kufanana jina la ukoo na wajomba na mama zake. Jee mama yake alizaa na ndugu yake?

Kama umezaa na mtu mwache mtoto kama anataka kufuata jina ama imani ya baba yake afuate na siyo kusema eti hana baba ama baba yake hafai kuitwa baba. Mtu kazaa na Muislamu lakini analazimisha mtoto wake awe mkristo ama mkristo awe muislamu.
Kuna sababu nyingi zinazopelekea hayo!!!mojawapo ni kukataliwa kwa mwanamke akiwa mjamzito,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom