Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,938
Na wew kajenge yako
poleni sana mkuundiyo baba hatuna jinsi
Kwahiyo kama baba yako hajasoma unategemea anaweza kukuogopa?nashukulu mkuu kumbe yeye.ndiyo mpumbavu haelewi anakulupuka[emoji12] [emoji12]
Duuuuuuuuu hatariiiMwenzio anazungumzia baba wa makinikia sio baba yake mzazi....
Hii sio ramli ni fasihi chokonozi.Hii ni ramli punguza ramli mkuu
Atakuwa baba bora endapo ataruhusu pia kupokea ushauriMtoa mada ni mjinga sana, anyway ni mtoto. Kwanza ukae ukijua baba yako ni baba yako tuu hawezi kubadilika awe hajasoma awe amesoma awe mzima awe mlemavu awe kichaa ni baba yako tuu huwezi kumkosoa vinginevyo unatakiwa utumie akili nyingi snaa kumshauri asijue unamshauri. Waheshimu baba yako na mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi. Baba yako akikera katu usimwambie mtu yeyote nenda chumbani jifunge then kasirika vya kutosha then relax tuliza akili endelea na majukumu anayokupangia
Hahahaha ngastuka machale kundesaUnajua kuongoza familia ni kazi kubwa saana hasa familia ambayo watoto wamesoma kukushinda mzazi.
Baba tulie nae sisi ni kama alitamani kuwa baba wa familia matokeo yake baada ya kuwa baba amekuta hali ngumu anabaki anatapatapa.
Baba yetu sasa hivi anatumia nguvu kuongoza familia amesahau mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Mara watoto hawafagii uwanja mara watoto wanakula sana mara watoto wanakula bila kufanya kazi matokeo yake deni duka la jirani linazidi kukua.
Mbaya zaidi leo anasema mpangaji huyu mimi simfahamu na anamtaka dalali ampe maelezo wakati kodi yake ya nyumba miaka kadhaa umepokea.
Baba ushauri wangu mchane tuu mpangaji mwambie pango unalolipa dogo niongezee kuliko kufedheheshana haipendezi. Hata sisi watoto tunajua pango dogo ila aliyemkabidhi funguo nani?[emoji598] [emoji598] [emoji598] [emoji12] [emoji12] [emoji40] [emoji40]
Tatizo kaanza kuvaa headphones ukubwani what do you expect!!!Baba kaishiwa pumzi
kazi gani wakati hajatajwa mtuKijana Avator yako itawasaidia watu kwa kazi maalum.
wamesha.achwaLugha za picha zitawaacha wengi polini.