kaka inaonekanika HG KAKUFANYIA MAMBO KAKA TAYARII MANA SI NDIO ANAKUANDALIA KILA KITU HUYO NA SIYO AJABU KAKA UMESHAMPITIA SS UANATAKA KUHALALISHA KAKA.
HUYO NIPE MIYE KAIKA NIKUSAIDIYE MAJUKUMU KAKA MANA KUWA NA WAKE WAWILI NDANI YA NYUMBA MOJA KAKA NA WAKIJUANA KAKA NOMAAAAA KAKA
Inatia huruma kwa kweli kuona tunaingia kwenye umwagaji wa damu pasipokuwa na kiongozi mwenye msimamo na taifa letu.
Maisha haya tuataamkumbuka sana BWM kwa kuongoza taifa hili kwa haki na usaawa na kuwa na msimamo wa dhati na taifa hili bali mafisadi hawapendi wajilimbikizia mali na kila uchao...
mmmmmmm hapo sina neno ila unaambiwa mwenye macho haambiwi tazama.
na kwa lugha nyingine wanakuambia kusoma hujui hata picha kutazama hujui pia?
hiyo ndio tz zaidi uijuavyo.
mwana mpotevu hiyo ni haki ya kila mtu na usipokuwa na imani na jaji kwa nn huishi kwa mashska hyo ni haki ya kila mtu kikatiba na kama kweli jaji hana vigezo ya nini kuendelea kusikiliza kesi?
hapo ni haki yake kukataa rufaa hata akishindwa arusha ss hatuna tatizo na hilo mbona hata jiwe...
kikubwa ni kukazana mana unapokose marqa moja hutakiwi kukosea tena.jimo hilo ni kweli wana lilia sna wadau wa magamba ila kikubwa tunalifanyia kazi asante kwa taarifa
hilo lijnawezekanika kwa kila jambo na ni kweli mkakati huo upo na hujaanza leo wadau kikubwa ni kukaza na kuondokana na ufisadi wa hao magammba.ila ni kweli napo chama kinatakiwa kuwa makini mana mh jafary naye ni mgumu sna kuelewa mambo hvyo kikubwa ni kuwa makinii
hakika hakia ya mtu huwa hainyimwi ila inacheleweshwa tu kila lakheri cdm katika mipango yenu ila kumbukeni napo kwenye msafara wa mamba kenge wamo!!!!!!!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.