Azania college of management.

Nov 14, 2011
36
1
Jaman kwa anayefahamu kilipo chuo hichi hapa DSM naomba anielekeze sababu nina shida ya kutaka kufka hapo nkachukue admission letter plz plz naombeni msaada kwa hlo...
 
Ipo Upanga near richmond tower !!! Unaeza fika maeneo ya muhimbili ukaulizia mana si mbali na hapo!!
 
jamani nataka kujua wanatoa course ngapi chuo hich cha azania na ada yake mana mm nataka kujiunga na stashahada ya sheria
 
wanatoa certificate na diploma ya law,certificate na diploma ya usimamizi wa biashara na certificate na diploma ya uhasibu...pia kuna masomo ya jioni@nderima
 
Back
Top Bottom