PICHA: Rais Kikwete katika ziara rasmi Ottawa, Canada

PICHA: Rais Kikwete katika ziara rasmi Ottawa, Canada

MPAKA MWAKA 2015 hapatakuwa na kitu cha kuita cha watanzania!
 
Mjadala wa mitaani leo kuhusiana na picha hii ni kuwa baada ya hawa jamaa (Wazungu) kufyonza madini kwa sana sasa wanataka gesi na mafuta kwa hivyoo wazungu wako tayari hata kumbeba mkulu kama walivyokuwa wanabebwa masultan enzi ya utumwa. Wengi wanasema heri hata chief Mangunga kwani hakuwa na elimu.

Nawasilisha jadili kwa kina.

Ningemuona ana akili kama angekwenda Uswisi kuomba majina ya wale mafisadi waliowekewa mabilioni ya madola katika mabenki ya huko. Hatuna rais kabisa!!!!!!!!!!!!!!!
 
Influence ya Barrick hiyo within the Ottawa govt. Barrick si wanaondoka na kuwaachia Wachina baada ya kuchukua matani ya dhahabu na kutuachia makorongo? Mungu atawalaani!
 
Isit a real picture or a fiction! if your inteligent enough you will not accept this!

hiyo n harisi kutoka Canada alipo....na hilo n gari maalumu ambalo hubeba watu mashuhuri wanaotembelea nchi hiyo.....
 
mmmmmmm hapo sina neno ila unaambiwa mwenye macho haambiwi tazama.
na kwa lugha nyingine wanakuambia kusoma hujui hata picha kutazama hujui pia?
hiyo ndio tz zaidi uijuavyo.

 
Halo kaona kaheshimikaa kumbe wanamseti, wa Tanzania tunakazi kwelikweli
 
Dah! I hate to be in Tanzania not to be a Tanzanian!
 
Influence ya Barrick hiyo within the Ottawa govt. Barrick si wanaondoka na kuwaachia Wachina baada ya kuchukua matani ya dhahabu na kutuachia makorongo? Mungu atawalaani!

mungu hata hawezi kuwalaani na naomba asiwalaani ujinga wetu wenyewe.. Logic ipo wazi magamba na jk ndio wamelata haya yote na still bado tunawachagua nasema tena mungu awalaani wale wote wanaosapoti magamba na waliofanikisha kikwete kurudi madarakani iwe kwa kupiga kura au msaada mwngne wowote.
 
Mjadala wa mitaani leo kuhusiana na picha hii ni kuwa baada ya hawa jamaa (Wazungu) kufyonza madini kwa sana sasa wanataka gesi na mafuta kwa hivyoo wazungu wako tayari hata kumbeba mkulu kama walivyokuwa wanabebwa masultan enzi ya utumwa. Wengi wanasema heri hata chief Mangunga kwani hakuwa na elimu.

Nawasilisha jadili kwa kina.

Sina hakika kama huyu msafiri yupo timamu, ameshindwa hata kuangalizia(Kuiga) wenzake waliomtangulia? au ndo usharobaro wa uzeeni!!

Mi mwenzenu sielewi tatizo hasa ni nini? shule, ulimbukeni au ndo ponda mali kufa kwaja?
 
kUKOSA HEKIMA NA BUSARA NI SAWA NA NG'OMBE ALIYEFUNGWA KWENYE ZIZI AKISUBIRI HURUMA YA MKATA NYASI.

WANANCHI WANATESEKA KWENYE LINDI LA UMASKINI, NJAA. MARADHI NA UKOSEFU WA HUDUMA NYINGINEZO ZA MSINGI KWA JAMII LAKINI RAIS ANACHOTA FEDHA ZA WALIPA KODI WANYONGE KWENDA KUTALII ULAYA NA AMERIKA.
 
JK mwenyewe anaonekana hajafurahia kubebwa kwenye hilo toroli!! Lakini yuko ugenini tafanyeje, na anajua lazima wabongo wamnange!!
 
kilab nikiziangalia hizi picha alafu nikicheki dirishan machalii wanavyoteseka moyo unaniuma kinyama....aya bwana mkubwa yeye...
 
Huyo ni vasco dagama bana!

Alafu alivokaa kwenye farasi anaonekana ni mtu mwenye mawazo sana sijui alikua anafikiria uchaguzi wa nec au labda anamfikiria lowassa au labda anafikiria jinsi ya kuboresha huduma za afya katika hospitali zetu
 
Mungu ameenda likizo?

Mkuu kama we uko dar, utashangaa barabara ya ubungo kimara ilikuwa imara ikabomolewa badala y akupanua na kutengeza nyingine, badala ya kutatua tatizo sa ivi tatizo ni kubwa. Mungu angejua haya si ange wapa akili ya kufanya mazuri badala ya kutaabisha wakazi wanao tumia barabara hiyo? anvoninginia kwenye huo mkokoteni utadhani kaacha nchi salama!
 
Usa mkuu hawajawahi kumfanyia hivi jk hata siku moja zaidi mwalimu nyerere mwaka 1963 ziara yake ya kwanza kama rais john kennedy na yeye walikagua gwaride la usa viwanja vya white house mwalimu akiwa na kambona kipindi hicho mkuu
 
Jamani mwee JK amekuja Canada kwa mwaliko wa mwakilishi wa Utawala wa Malkia (Governor General). Hivyo msichanganye na kuja kiserikali kuonana na PM, labda niseme hivi akienda UK kwa mwaliko wa Malkia atapewa heshima hizi tofauti na akienda kwa mwaliko wa PM Cameron..Msishangae sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom