Mabadiliko ya Katiba: Kikwete aongezewe muda wa miaka mitano

Ni pendekezo tu wakuu....nimekaa nikatafakari mazuri aliofanya raisi wetu KIkwete kweli nimeona ni bora aongezewe kipindi kingine amalizie juhudi zake....

Sasa naangalia barabara lami nzuri maji yanatoka majumbani 24 hrs umeme wa uhakika japo na majungu yenu lakini wananchi tunafaidika bora kidogo kuliko kukosa.....

Angalia shule nyingi sio kama zamani.....watoto wanapata elimu bora ya uhakika angalia wahitimu wa shahada hapa nchini wako very clean and smart shukrani Raisi kikwete kwa chuo kikuu dodoma.....

Huduma za afya ni bora tena hapa anafaa kupongezwa jamani.....zamani enzi ya nyerere hakukuwa hivi....zahanati moja kilomita 50 ndio unaikuta..leo hi hospitali nyingi za kumwaga dawa zipo za kutosha kwa kweli anafaa kuongezewa kiindi kingine.....

Amani kwa kweli tanzania ya kikwete imejaa telee sio kama enzi ya mwalimu...si mnakumbuka tulienda vitani enzi ya mwalimu....mkapa akaua wenzetu mwembechai....sasa jamani tutake nini juu ya huyu baba yetu KIkwete? zaidi ya kumuongezea kipindi kingine amalizie mazuri tunayoyaonaa......

Wote mmeshuhudia barabara za lami alizofungua...angalia nchi yetu tajiri raisi wetu kwa sasa juu ya mafuta nma gesi kaweka mkakati murua kufanikisha tunafaidika na rasilimali zetu.....

Kupitia kwenye mikono yake bora ya utawala wake na uongozi mzuri raisi wetu ametuletea vijana wachapa kazi kama Nape na wasomi vijana kama Adam malima.....angalia safu yake ya uwaziri ilivyosheheni watu makini....wizara ya fedha yupo mtu makini Dkt. William Mgimwa Ph.D msomi,muadirifu mwenye kuchapa kazi....wizarani sasa kunakwenda vizuri....Wizara ya elimu wapo watu makini Mr Mulugo acheni majungu yenu ila ni mtu makini na ataifikisha elimu yetu pazuri.....sidhani kama manjungu na wivu wenu vitatufikisha pazuri....tumpe ushirikiano raisi wetu kwa kweli kama ikwekzekana aongezewe kipindi kingine atuongoze.....

Mungu mbariki raisi wetu Dr Kikwete
Mungu ibariki Tanzania
 
Itakuwa vyema ili TUSIPOTEZE PESA ZA WALIPA KODI KATIKA CHAGUZI ZINAZOLETA WATU MADARAKANI KUJIRIMBIKIZIA MALI!
 
Anahitaji miaka 100(kama anaweza kuishi) na shilingi 90,0000,0000,0000 kutimiza haya aliyoyaahidi

Ifuatayo ni orodha ya ahadi. Mbele ya kila ahadi kuna jina la mahali alipoitolea. Ikumbukwe kuwa ahadi hizi ni nje kabisa ya Ilani ya CCM ya mwaka 2010-2015.

1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam hadi mikoa ya Kanda ya Ziwa - Nzega, Tabora.
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini.
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria – Igunga.
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika Mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) – Shinyanga.
5. Kumaliza migogoro ya ardhi nchini – Dodoma.
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini.
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma.
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi – Kagera.
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi – Kagera.
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini.
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini.
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda – Kagera.
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme – Kagera.
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu – Kagera.
15. Hukumu kwa waliopatikana na hatia ya kuua albino – Mbeya.
16. Kununua meli kubwa kuliko mv Bukoba – Kagera.
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali.
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika – Mwanza.
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalumu chenye vifaa kupambana na wahalifu – Mwanza.
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani – Geita.
21. Kulinda Muungano kwa nguvu zote – Pemba.
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa – Morogoro.
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini.
24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo – Songea.
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira – Mbeya.
27. Kuzuia hatari ya Kisiwa cha Pangani kuzama – Tanga.
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini – Iringa.
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same hadi Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi-Dar es Salaam-Same mkoani Kilimanjaro.
30. Kumaliza tatizo la maji katika Wilaya ya Same - Same mjini.
31. Kuboresha barabara za Igunga-Tabora.
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu mkubwa wa walimu - Kisesa Magu.
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya mjini.
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) - Hydom Manyara.
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa – Musoma.
36. Kulinda haki za walemavu – Makete.
37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami, urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini.
38. Kujenga barabara Musoma-Mto wa Mbu Arusha – Arusha.
39. Kuanzisha Jimbo la Ulyankulu- Shinyanga mjini.
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma-Kaliua, Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha-Moshi - Arusha mjini.
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa hadi Singida – Dodoma.
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 – Longido.
44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji – Shinyanga.
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini.
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma.
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido – Longido.
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro.
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara.
50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini.
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima mwaka 2010-2015 - Babati vijijini.
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha – Iringa.
53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika – Iringa.
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania – Iringa.
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi –Ifunda.
56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, Mkoa wa Mara.
57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa.
58. Ahadi kuisaidia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii – Kibandamaiti, Mjini Zanzibar.
59.Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada – Kibandamaiti.
61. Serikali kujenga upya Bandari ya Mbamba Bay – Ruvuma.
62. Ununuzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 – Mbamba Bay, Ruvuma.
63. Kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma.
64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma.
65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi - Dar es Salaam.
66. Mtwara kuwa mji wa viwanda – Mtwara.
67.Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu – Kibaha.
68.Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa – Kibaha.
69. Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda – Kibaha.
 
Ni pendekezo tu wakuu....nimekaa nikatafakari mazuri aliofanya raisi wetu KIkwete kweli nimeona ni bora aongezewe kipindi kingine amalizie juhudi zake....

Wewe ni kiwete kichwani kama kiwete aliyeko madarakani.
 
Huku ni zaidi ya kuuguwa!
Dogo Yo Yo mjinga sana wewe. Pendekezo gani sasa hili
Hapana aisee....ukikaa vema na kutafakari utaona raisi wetu anafaa kupongezwa....kwa sisi ambao tunatembea sana vijijini kweli tunaona kafanya mambo ya kimsingi kabisa......siku hizi vijijini kama dar...huduma zoite wanazo...sema mpunguze wizvu na majungu tukae chini tumpongezea ndio maana nikaona nitoe pendekezo hili.....
 
Bila shaka Yo Yo umekubuhu kwa kejeli
kejeli zipi? hivi ina maana hamuoni alichofanya kweli miaka yake 7 madarakani?
Anahitaji miaka 100(kama anaweza kuishi) na shilingi 90,0000,0000,0000 kutimiza haya aliyoyaahidi

Ifuatayo ni orodha ya ahadi. Mbele ya kila ahadi kuna jina la mahali alipoitolea. Ikumbukwe kuwa ahadi hizi ni nje kabisa ya Ilani ya CCM ya mwaka 2010-2015.

1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam hadi mikoa ya Kanda ya Ziwa - Nzega, Tabora.
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini.
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria – Igunga.
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika Mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) – Shinyanga.
5. Kumaliza migogoro ya ardhi nchini – Dodoma.
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini.
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma.
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi – Kagera.
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi – Kagera.
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini.
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini.
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda – Kagera.
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme – Kagera.
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu – Kagera.
15. Hukumu kwa waliopatikana na hatia ya kuua albino – Mbeya.
16. Kununua meli kubwa kuliko mv Bukoba – Kagera.
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali.
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika – Mwanza.
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalumu chenye vifaa kupambana na wahalifu – Mwanza.
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani – Geita.
21. Kulinda Muungano kwa nguvu zote – Pemba.
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa – Morogoro.
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini.
24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo – Songea.
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira – Mbeya.
27. Kuzuia hatari ya Kisiwa cha Pangani kuzama – Tanga.
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini – Iringa.
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same hadi Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi-Dar es Salaam-Same mkoani Kilimanjaro.
30. Kumaliza tatizo la maji katika Wilaya ya Same - Same mjini.
31. Kuboresha barabara za Igunga-Tabora.
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu mkubwa wa walimu - Kisesa Magu.
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya mjini.
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) - Hydom Manyara.
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa – Musoma.
36. Kulinda haki za walemavu – Makete.
37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami, urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini.
38. Kujenga barabara Musoma-Mto wa Mbu Arusha – Arusha.
39. Kuanzisha Jimbo la Ulyankulu- Shinyanga mjini.
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma-Kaliua, Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha-Moshi - Arusha mjini.
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa hadi Singida – Dodoma.
43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 – Longido.
44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji – Shinyanga.
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini.
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma.
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido – Longido.
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro.
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara.
50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini.
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima mwaka 2010-2015 - Babati vijijini.
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha – Iringa.
53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika – Iringa.
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania – Iringa.
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi –Ifunda.
56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, Mkoa wa Mara.
57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa.
58. Ahadi kuisaidia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii – Kibandamaiti, Mjini Zanzibar.
59.Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada – Kibandamaiti.
61. Serikali kujenga upya Bandari ya Mbamba Bay – Ruvuma.
62. Ununuzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 – Mbamba Bay, Ruvuma.
63. Kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma.
64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma.
65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi - Dar es Salaam.
66. Mtwara kuwa mji wa viwanda – Mtwara.
67.Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu – Kibaha.
68.Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa – Kibaha.
69. Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda – Kibaha.
arifu hizo ni ahadi na anapashwa kuteleza......kumbuka kuwa ana mambo mengi raisi wetu....na hizo ahadi lazima tushirikiane nae kuzifanikisha.....
 
Yo Yo nilidhani unaongeaga pumba chit-chat kumbe hadi huku mawazo yako bado ni zero tu....hope hujafanya tafakari ya kutosha au umepewa bajaji umsifie kwa vitu ambavyo ni haki ya watanzania.
Think Big Kijana acha kuja juujuu tu kutupotezea muda!
 
Last edited by a moderator:
kejeli zipi? hivi ina maana hamuoni alichofanya kweli miaka yake 7 madarakani?

arifu hizo ni ahadi na anapashwa kuteleza......kumbuka kuwa ana mambo mengi raisi wetu....na hizo ahadi lazima tushirikiane nae kuzifanikisha.....

Hata hii?

60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada – Kibandamaiti.
 
Yo Yo nilidhani unaongeaga pumba chit-chat kumbe hadi huku mawazo yako bado ni zero tu....hope hujafanya tafakari ya kutosha au umepewa bajaji umsifie kwa vitu ambavyo ni haki ya watanzania.
Think Big Kijana acha kuja juujuu tu kutupotezea muda!
arifu wewe hujafikiria vema....mie ni mtu makini na kabla ya kusema haya nimefikiria sijakurupuka.....
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Tonia Kandiero wakifurahia baada ya kuzindua barabara ya Minjingu-Babati-Singida nje kidogo ya mji wa Babati Mkoa wa Manyara. Anayeshuhudia kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji) Dkt Mary Nagu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Tonia Kandiero na viongozi wengine wakikata utepe kuzindua barabara ya Minjingu-Babati-Singida nje kidogo ya mji wa Babati Mkoa wa Manyara. Anayeshuhudia kushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji) Dkt Mary Nagu
Sehemu ya barabara ya Minjingu-Babati-Singida iliyozinduliwa na Rais Kikwete

Mnataka nini nyie? mfanyiwe?
 
So what?? Kwani wewe huwezi kutumia pesa za mikopo, Misaada au kodi za wananchi kujenga barabara?. Au umekosa point ya kuchangamsha kijiwe mchana huu ukaamua kuja kivingine??
 
Hapana aisee....ukikaa vema na kutafakari utaona raisi wetu anafaa kupongezwa....kwa sisi ambao tunatembea sana vijijini kweli tunaona kafanya mambo ya kimsingi kabisa......siku hizi vijijini kama dar...huduma zoite wanazo...sema mpunguze wizvu na majungu tukae chini tumpongezea ndio maana nikaona nitoe pendekezo hili.....

ushuzi wa shetani
 
Mkuu leo ulikuwa una hamu ya kutukanwaa eeh tegemea matusi zaidi lol
 
Back
Top Bottom