Recent content by NDEKETU

  1. N

    Huu ndio UNAFIKI, Hila na Ukasuku wa CHADEMA na wafuasi wake na Majibu ya Dr. Slaa

    Mara nyingi huwa nawaonea huruma sana CHADEMA jinsi serikali inavyotekeleza miradi mikubwamikubwa ya maendeleo katika nchi hii kama ujenzi wa barabara kuu na za wilaya, ujenzi wa madaraja kama Kilombero na Kigamboni, ununuzi wa vivuko vipya ktk maziwa na mito,ujenzi na uzinduzi wa miradi mikubwa...
  2. N

    Vurugu za kugombea kuchinja nyama huko Tunduma muda huu

    Kumbuka eneo vurugu zinapotokea liko ndani ya jimbo linaloongozwa na mbunge wa chadema David Silinde,,nyie kama chama tunachotarajia kuchukua nchi hapo 2015,,anzeni kuhakikisha maeneo mnayoongoza mnawafanya wapiga kura wenu waishi vzr bila kubaguana kwa misingi ya dini na kudhibiti vurugu,,ebu...
  3. N

    Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

    Poleni sana chadema,,tatizo lenu nyie baadhi yenu mnajifanya wajanja sana tena wenye akili kushinda hata wenye dola na chama dola la nchi hii,,lazima mfanye siasa zenu polepolena kwa umakini mkubwa sana..vingineiavyo hamtafika 2015,,naona mmetekenywa kidogo tu na watoto wa mjini sasa hivi...
  4. N

    WanaCHADEMA tulieni Ushindi umekaribia!!!

    Tatizo la chadema siku zote ni kuendesha siasa za kitoto na hamko strategic kabisa..Sasa hao vijana wa kwenda kila wizara mnawatuma kama waajiriwa au kwenda kuiba siri za serikali ili ziletwe chamani na kutoa siri hizo kwa umma kupitia viongozi wenu..Kama mchezo wenyewe ndo huu mnawafundisha...
  5. N

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    Hatimaye Mahakama kuu ya Kenya imeridhia ushindi wa Kenyatta kuwa ni wa halali na kutupilia mbali madai manne ya Odinga kupinga uchaguzi huo, hata hivyo Mh, Odinga amekubali hukumu ya mahakama na amempongeza mshindani wake Uhuru na amemtambua rasmi kama rais wa kenya..Hili ni funzo kwa wanasiasa...
  6. N

    Absalom kibanda anavyoonekana kwa sasa

    Ni ngumu sana kuamini kama Kibanda kateswa na magamba kwa sababu yeye alikuwa akiandikia magazeti ya magamba ambapo wamiliki ni kina RA, Bashe na wengineo na ninakumbuka huyu kibanda aliwahi akiwa tanzania daima kuandika makala za kuona tishio la Kinana kama katibu mkuu tishio kwa upinzani na...
  7. N

    Kikwete: MZEE NYERERE

    Teh teh teh teh, yaani we NATA umenichekesha sana,yyt mwenye maudhi atembeleejf maudhi yote kwisha,,teh teh teh teh teh teh teh
  8. N

    Kikwete: MZEE NYERERE

    Kimsingi Mh Rais Kikwete hakujiita Dr kihihivi bali ni udaktari wa heshima( Honorary doctorate) aliotunukiwa ktk chuo kikuu cha Nairobi baada ya kazi kubwa ya upatanishi wa mgogoro ule kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kenya wa 2007 na kufanikiwa kuwapatanisha mahasimu Raila Odinga na Kibaki...
  9. N

    CHADEMA na Polisi wakubaliana kusitisha maandamano ya Machi 25

    Tatizo lenu nyie wanafunzi wa siku hizi mmeharibiwa sana na siasa za kufuata mkumbo na kujisahau kbs kujisomea eti mnamkomoa Kikwete;ni ujinga usiomithilikka kutoka ulanga hd mbeya kwa ajili ya maandamano;
  10. N

    CHADEMA yambeba Odinga

    Mwanzoni nilikuwa namsupport Raila Odinga,lakini navyoona CDM kujipendekeza kwa Odinga nimeamua unexpectedly kubadili maamuzi yangu na kwa sasa nimeamua kwa dhati kumuunga mkono Uhuru Kenyatta na kwa dhati ninamwombea mafanikio mema.nawakikishia Kenyatta lazima atkuwa mshindi tu.
  11. N

    Mama Salma Kikwete awasili Mkoani Rukwa kwa Ziara ya Siku Tatu... Pichani akiwa IKULU ndogo

    Acheni wivu usiokuwa na maana mwache mh mama yetu salma kikwete ale nchi.WW unasema mke wa rais kibaki hawezi fanya mambo kama ya mama salma kama mambo ya ajabu sana lkn mkumbuke Mama Kibaki aliwahi kuvamia chumba cha habari cha uchapaji magazeti kule kenya na kumpiga mhariri wa gazeti kwa kile...
  12. N

    Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi

    Jibu hoja ya msingi ya mtoa mada na sio kumkashifu,.Kwani masharti aliyotoa kwa yeye kujiunga na cdm yana ugumu gani kutekelezwa? Tatizo la mashabiki wengi wa chadema ni kukosa hoja za msingi za kujibu na badala yake matusi, kebehi na kashfa ndo zao,,,mjirekebishe
  13. N

    Dr slaa si lolote si chochote

    uongozi wa nchi kama Tanzania unahitaji mtu mwenye uadilifu na busara ya hali ya juu kwelikweli ndugu zangu na sio kukurupuka kwa kudanganya watu.Nchi hii ina makundi mengi na makubwa yenye itikadi tofauti za kidini,kisiasa,kikabila na kimitizamo so inahitaji akili kubwa sana kuyavumilia na...
  14. N

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    Tatizo lingine linalokera kwa baadhi ya wahaya hasa kwa wanaume ni tabia ya kuombaomba vitu na pesa hata kama mtu huyo mnafanya nae kazi pamoja na wote mnalipwa mshahara.Nimepata uzoefu kwa baadhi yao niliowahi kufanya nao kazi ofis moja na kubaini tabia hiyo kiac kwamba yupo tayari kuona...
Back
Top Bottom