Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,266
Pole mkuu! Suala lako halina tofauti na la Dr Ulimboka. Ila ukirudi usiwe kimya kama Dr. Ulimboka. Afadhari hata Mwakyembe tunajua kwanini kafunga mdomo (kapewa cheo - uwaziri) akaona inatosha kulipa machungu aliyoyapata. Kwa Dr. Ulimboka hatujajua ameahidiwa nini. Hakuna aliyekamatwa mpaka sasa kuhusiana na mateso kwako na kwa Ulimboka. Mimi naona tatizo ni kuwa mkamatwaji ndiyo mkamataji! Hiyo ni kesi ya nyani kwa ngedere!