Dr slaa si lolote si chochote

Dr slaa si lolote si chochote

sangarara chunga sana ndugu yangu. umeandika kitu cha maana bila shaka, ila sasa style uliyotumia ndio hatari, heading my dear, ungekuwa ni mtaani uso kwa uso makubwa yangekukuta, si unajua ile mwizi mwizi, anapigwa mawe, nondo yuko hoi chini ndio watu wanasema sio mwizi jamani, take care siku nyingine usianze hivyo, labda kama unaelezea ya yule wa chama kingine, wanaweza kukuvumilia, huyo uliyemgusa ni hatari.
 
sangarara chunga sana ndugu yangu. umeandika kitu cha maana bila shaka, ila sasa style uliyotumia ndio hatari, heading my dear, ungekuwa ni mtaani uso kwa uso makubwa yangekukuta, si unajua ile mwizi mwizi, anapigwa mawe, nondo yuko hoi chini ndio watu wanasema sio mwizi jamani, take care siku nyingine usianze hivyo, labda kama unaelezea ya yule wa chama kingine, wanaweza kukuvumilia, huyo uliyemgusa ni hatari.

Nimeona, ila na ninakubaliana na wewe hii ni kiashiria cha hali mbaya sana huko tuendako
 
Kwanza hajui alichokiandika,pili,kichwa cha thread hakiendani na maudhui ukisoma kwa jicho la tatu
Tatizo itakuwa ni namna ulivyofundishwa, umefundishwa kutii, kuheshimu na kufuata taratibu zilizowekwa na waliokutangulia, matokeo yake kila ukiona kitu kilichotofauti na mategemeo yako unadhani ni makosa, nyie ndio mnaokandamiza ubunifu nchini.
 
uongozi wa nchi kama Tanzania unahitaji mtu mwenye uadilifu na busara ya hali ya juu kwelikweli ndugu zangu na sio kukurupuka kwa kudanganya watu.Nchi hii ina makundi mengi na makubwa yenye itikadi tofauti za kidini,kisiasa,kikabila na kimitizamo so inahitaji akili kubwa sana kuyavumilia na kuyapa haki zao kwa usawa na bila kuyabagua.Asikudanganye mtu Slaa hana uwezo wa kujenga hoja na makundi hayo kwa hulka na mienendo yake..Akipewa uongozi wa nchi basi matatizo tunayoyaona sasa yatazidi maradufu kwani hana uadilifu,hana political perseverence to his opponents particularly CUF and CCM something which will, to some extent, provide room for unnecessary massive political instabilities in this nation..Therefore, for the country to maintain her peace and tranquility,she needs a prospective president to a critical thinker, highly unbiased in terms of his/her political,ethnic or religious affiliation,in order to objectively articulate the fundamental issues facing this country.I strongly dont believe Slaa has the significant qualification to lead this nation, which is predominantly very challenging..Lakini sikatai msimshabikie mzee huyo,,ukweli utabaki palepale kuwa hana sifa za kiuweledi na kiutashi kuongoza nchi hii japo vyombo vya habari na mashabiki wake wanamoa sifa zisizolingana nae..Watanzania ni watu wenye akili sana kwa kujua nani anafaa kuwa kiongozi wa nchi na huwa mara nyingi hawafanyi makosa katika uchaguzi mkuu kwa kujua pumba ni zipi na mchele ni upi.
 
Sasa ameachwa DR SLAA imekuwa ni CHADEMA sasa
 
Back
Top Bottom