Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi

Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi

Kama una cha kupost si unakaa kimya tu? kwani lazima kupost ----- jamani???
 
¿ MAWAZO HURU

mim....................Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi ikiwa yafuatayo yatatimizwa

  1. Zitto Z Kabwe awe Mkt wa CHADEMA taifa na 2015 awe ndio mgombea urais CHADEMA
  2. Mkt wa BAVICHA awe Habib Mchange badala ya Heche John wa sasa
  3. Katibu mkuu CHADEMA atoke mikoa ya pwani na Mtwara ili kuleta uwiano wa kanda kwa sababu chama kwa sasa ni cha kitaifa
  4. John Heche akagombee udiwani Tarime naa achane na ndoto za kukombea ubunge, ubunge amuachie Charles Mwera

:-*§*¤¤*§*¿ Ut.u.mbo.0!
 
Watanzania tuvumilie uhuru wa mtu kuwa na mawazo tofauti kuweni na mioyo mikubwa ya kujadili maswala yanayo husu kitaifa kuliko kulinda maslahi ya mtu au group frani
 
Ulipoingia ulisema au ndo walewale si unajua sasa ukisema umetoka CDM jamaa wanakulipa posho poa Msitangaze kutoka tu tangazeni na kuingia
 
Hongera mzee yakichuliwa hayo kama changamoto ita kuwa vizuri nadhani watu wana sahau kabisa hoja ya mwendawazimu nihoja pia ni heri yaka chujwa ya mwenda wazimu,na kuya fanyia kazi wakati mwenda wazimu huyo akiwa bado ana patikana kuliko kuja kujuta baadae mtakapo fahamu yana yo semwa na mwenda wazimu yana maana sana kuliko manayo yayesema nyie msio wendawazimu.
 
Katika mkutano mmoja mjini mwanza wakati mwalimu jk alipo ruhusu maswali kuna mwenda wazimu mmoja alinyoosha kidole mara kadhaa akawa anazuiiwa lakini kwa hekima ya mwalimu alisha muona kazuiwa mara nyingi sana kisha mwalimu alimruhusu azungumzee mwenda wazimu aliuliza mwalimu unaachia lini madaraka ili wengine wagombee? Ujumbe ulifika mawazo ya mwenda wazimu yalimfikia mwalimu.je unajua kwa nini mwalimu aling'atuka?
 
Mnafiki mkubwa hatukutaki kaa hukohuko panakufaa, cdm haitaji watu wenye mawazo mgando kama wewe na pia uwezo wako wa kufikiri naona umefikia kikomo.
 
Na kuunga mkono muzeeeeee nadhani ujumbe wataufanyia kazi hata kama siyo kwa jinsi ulivyo shauri lakini vyovyote vile ila ujumbe umeufikisha.
 
Na kuunga mkono muzeeeeee nadhani ujumbe wataufanyia kazi hata kama siyo kwa jinsi ulivyo shauri lakini vyovyote vile ila ujumbe umeufikisha.

wanadam tuna tabia ya kuambiwa na tukaelewa au huelewa badae pindi ulicho ambiwa kinapo kuwa mbeleni mwako majibu ya mtu aliye elewa ni magumu kuyaelewa pia hasa ukweli ukiwa unahusu masilahi binafsi

mfn mtoto kumwambia mzazi baba ,Baba acha uzinzi utamletea ugonjwa mama pima ukweli na jibu linaloweza kutoka kwa baba

"akwambiae usikombe mboga anataka ushibe na si vingne"
poleni sana wana chadema nilijua ujumbe huu ni mzito kwenu kuteke lezeka na ni kwa sababu Chadema ni chama kilicho beba umasilahi binafsi katika mwavuli wa uzalendo wa watanzania
 
tuonyeshe Cheti cha usafi (Cleanliness Certificate) yako kwanza maana hatutaki poluted seeds za magamba!
 
Mwanafikra huru; Fikra zako ni hovyoooooooo!!

¿ MAWAZO HURU

mim....................Natangaza kuhamia CHADEMA rasmi ikiwa yafuatayo yatatimizwa

  1. Zitto Z Kabwe awe Mkt wa CHADEMA taifa na 2015 awe ndio mgombea urais CHADEMA
  2. Mkt wa BAVICHA awe Habib Mchange badala ya Heche John wa sasa
  3. Katibu mkuu CHADEMA atoke mikoa ya pwani na Mtwara ili kuleta uwiano wa kanda kwa sababu chama kwa sasa ni cha kitaifa
  4. John Heche akagombee udiwani Tarime naa achane na ndoto za kukombea ubunge, ubunge amuachie Charles Mwera
 
Last edited by a moderator:
huyo atakuwa ni mgonjwa wa akili akapimwe akili

Jibu hoja ya msingi ya mtoa mada na sio kumkashifu,.Kwani masharti aliyotoa kwa yeye kujiunga na cdm yana ugumu gani kutekelezwa? Tatizo la mashabiki wengi wa chadema ni kukosa hoja za msingi za kujibu na badala yake matusi, kebehi na kashfa ndo zao,,,mjirekebishe
 
Mi wala ntahamia tu kama fursa ya kugombea urais itakuwa sawa kwa 'wenye chama' na 'wasaliti' na pia ruzuku itatumika kwa mujibu wa sheria,kanuni na malengo yanayoeleweka.
 
Back
Top Bottom