Kimsingi Mh Rais Kikwete hakujiita Dr kihihivi bali ni udaktari wa heshima( Honorary doctorate) aliotunukiwa ktk chuo kikuu cha Nairobi baada ya kazi kubwa ya upatanishi wa mgogoro ule kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kenya wa 2007 na kufanikiwa kuwapatanisha mahasimu Raila Odinga na Kibaki dakika za mwisho.. Lazima ukumbuke kwamba mgogoro huu uliwashinda kabisa wapatanishi Koffi Annan, Benjamin Mkapa, Graca Machel,Mwenyekiti wa AU wakati ule Rais John Kuffor wa Ghana na Mwenyekiti wa EAC wakati huo Rais Museven wa Uganda..Kutokana na juhudi kubwa za Rais Kikwete maafikiano yakapatikana na ndipo jopo la maprofesa Nairobi University lilipomtunuku Udktari huo wa heshima..Pia kihistoria inaonesha kuwa Kikwete ndo Rais wa kwanza barani Africa kupewa udaktari wa heshima na chuo kikuu hicho cha Nairobi..Watanzania tuache upotoshaji juu ya udaktari wa mh kikwete, tuwe wakweli.

Ulidhani Kikwete ampende Nyerere wakati anajua fika angekuwa hai hata huu urais angeusikia maana alimjua alivyo wa hovyo kuliko mtu mwingine? Analipiza kisasi kichini chini. Mara hii mnasahau jinsi Kikwete alivyo bingwa wa kulipiza visasi!
Nimeshaelezea kwamba anayestahili hiyo sifa ya kuwa Baba wa Taifa ni Kleist Sykes na nikaweka links mbili zinazotoa viashiria kwamba yeye ndiye anayestahili kuitwa Baba wa Taifa. Links zenyewe ni hizi:
Mkapa alikataa kuitwa MTUKUFU RAISI. Mzee , Baba wa Taifa yote sawa tu. Maadamu katika historia ya Tanzania mpaka mwisho wa dunia haitabadilika kuwa na baba wa taifa mwingine zaidi ya Nyerere.
Kiongozi wa kwanza wa nchi yeyote huitwa founding father. Marekani: George Washington. Singapore: Lee Kuan Yew
Ghana: Kwame Nkrumah. Tanzania: Julius Nyerere. Malaysia Tunku Abdul Rahman. etc. etc.
Unadhihirisha ujinga wako kwa kuongelea vitu ambavyo huvijui. Angalia list hii ya watu wanaotambulika kama Baba wa Taifa wa Mataifa yao na uniambie kama kuna uhusiano wowote wa wao kuwa viongozi wa kwanza wa Taifa huru: Hii ni mifano michache tu
Country
Father of the Nation
Source
Cuba
Carlos Manuel de Céspedes del Castillo
Thomas, Hugh 1971. Cuba, or the pursuit of freedom. Eyre & Spottiswoode, London. Revised and abridged edition 2001, Picador, London. Chapters 16 & 17.
Croatia
Ante Starčević
Tanner, Marcus (2001). Croatia: A Nation Forged in War (2nd ed.). Yale University Press. p. 102.
Chile
Bernardo O'Higgins
Harvey, Robert (2000). Liberators: Latin America's Struggle for Independence. New York: The Overlook Press
India
Mahatma Gandhi
The Collected Works of Mahatma Gandhi, Government of India (CWMG), Vol I, p. 150
Bolivia
Simón Bolívar
Bushnell, David. The Liberator, Simón Bolívar. New York: Alfred A. Knopf, 1970
Israel
Theodor Herzl
Brenner, Michael, and Shelley Frisch. Zionism: A Brief History (2003)
Sierra Leone
Thomas Peters
Sanneh (2001), p. 50
France
Clovis 1
Brown, Peter (2003). The Rise of Western Christendom. Malden, MA, USA: Blackwell Publishing Ltd.. p. 137

By Jasusi
Kiongozi wa kwanza wa nchi yeyote huitwa founding father. Marekani: George Washington. Singapore: Lee Kuan Yew
Ghana: Kwame Nkrumah. Tanzania: Julius Nyerere. Malaysia Tunku Abdul Rahman. etc. etc.
By Kisindika Unadhihirisha ujinga wako kwa kuongelea vitu ambavyo huvijui. Angalia list hii ya watu wanaotambulika kama Baba wa Taifa wa Mataifa yao na uniambie kama kuna uhusiano wowote wa wao kuwa viongozi wa kwanza wa Taifa huru: Hii ni mifano michache tu
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Country[/TD]
[TD]Father of the Nation[/TD]
[TD]Source[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cuba[/TD]
[TD]Carlos Manuel de Céspedes del Castillo[/TD]
[TD]Thomas, Hugh 1971. Cuba, or the pursuit of freedom. Eyre & Spottiswoode, London. Revised and abridged edition 2001, Picador, London. Chapters 16 & 17.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Croatia[/TD]
[TD]Ante Starčević[/TD]
[TD]Tanner, Marcus (2001). Croatia: A Nation Forged in War (2nd ed.). Yale University Press. p. 102.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chile[/TD]
[TD]Bernardo O'Higgins[/TD]
[TD]Harvey, Robert (2000). Liberators: Latin America's Struggle for Independence. New York: The Overlook Press[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]India[/TD]
[TD]Mahatma Gandhi[/TD]
[TD]The Collected Works of Mahatma Gandhi, Government of India (CWMG), Vol I, p. 150[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bolivia[/TD]
[TD]Simón Bolívar[/TD]
[TD]Bushnell, David. The Liberator, Simón Bolívar. New York: Alfred A. Knopf, 1970[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Israel[/TD]
[TD]Theodor Herzl[/TD]
[TD]Brenner, Michael, and Shelley Frisch. Zionism: A Brief History (2003)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sierra Leone[/TD]
[TD]Thomas Peters[/TD]
[TD]Sanneh (2001), p. 50[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]France[/TD]
[TD]Clovis 1[/TD]
[TD]Brown, Peter (2003). The Rise of Western Christendom. Malden, MA, USA: Blackwell Publishing Ltd.. p. 137[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ireland[/TD]
[TD]the seven signatories of the Proclamation of the Irish Republic: Patrick Pearse, James Connolly, Éamonn Ceannt, Tom Clarke, Seán Mac Diarmada, Thomas MacDonagh, and Joseph Mary Plunkett. Robert Emmett is also considered a founding father[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Netherland[/TD]
[TD]Prince William I of Orange (1533–1584)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sasa huoni kwenye hiyo mifano niliyotoa kwamba si lazima kiongozi wa kwanza wa nchi aitwe Baba wa Taifa? Kuhusu ni nani anayestahili nimesema anayestahili ni Kleist Sykes kwa sababu yeye ndie muasisi wa TAA, yeye ndie aliyeweka misngi madhubuti ya chama cha kupigania uhuru wa Tanganyika na yeye ndiye aliyejitolea kwa hali na mali kuhakikisha kwamba chama cha TAA kinaenea Tanganyika nzima kwa malengo ya kupigania uhuru wa Mtanganyika. Chini yake, hotuba maalum ya kutaka Watanganyika wapewe nafasi katika maamuzi ya nchi yao iliandaliwa na kupelekwa UN. Ilikataliwa bila sababu za msingi lakini ni hotuba hiyo hiyo ikatumiwa tena wakati Nyerere alipokwenda UN kudai Uhuru wa Tanganyika. Hivyo kazi kubwa ilifanywa na huyu Kleist Sykes na baadaye ikaendelezwa na mwanawe Abulwahid Sykes baada ya kifo cha baba yake.
mm mwenyewe baba yangu simuiti baba bali mzee na yeye haniiti mtoto bali kijana!nikimuita baba naona nampunguzia heshima na yeye akiniita mtoto anaona ananipunguzia heshima!
By Jasusi
Kiongozi wa kwanza wa nchi yeyote huitwa founding father. Marekani: George Washington. Singapore: Lee Kuan Yew
Ghana: Kwame Nkrumah. Tanzania: Julius Nyerere. Malaysia Tunku Abdul Rahman. etc. etc.
By Kisindika Unadhihirisha ujinga wako kwa kuongelea vitu ambavyo huvijui. Angalia list hii ya watu wanaotambulika kama Baba wa Taifa wa Mataifa yao na uniambie kama kuna uhusiano wowote wa wao kuwa viongozi wa kwanza wa Taifa huru: Hii ni mifano michache tu
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Country[/TD]
[TD]Father of the Nation[/TD]
[TD]Source[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cuba[/TD]
[TD]Carlos Manuel de Céspedes del Castillo[/TD]
[TD]Thomas, Hugh 1971. Cuba, or the pursuit of freedom. Eyre & Spottiswoode, London. Revised and abridged edition 2001, Picador, London. Chapters 16 & 17.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Croatia[/TD]
[TD]Ante Starčević[/TD]
[TD]Tanner, Marcus (2001). Croatia: A Nation Forged in War (2nd ed.). Yale University Press. p. 102.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chile[/TD]
[TD]Bernardo O'Higgins[/TD]
[TD]Harvey, Robert (2000). Liberators: Latin America's Struggle for Independence. New York: The Overlook Press[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]India[/TD]
[TD]Mahatma Gandhi[/TD]
[TD]The Collected Works of Mahatma Gandhi, Government of India (CWMG), Vol I, p. 150[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bolivia[/TD]
[TD]Simón Bolívar[/TD]
[TD]Bushnell, David. The Liberator, Simón Bolívar. New York: Alfred A. Knopf, 1970[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Israel[/TD]
[TD]Theodor Herzl[/TD]
[TD]Brenner, Michael, and Shelley Frisch. Zionism: A Brief History (2003)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sierra Leone[/TD]
[TD]Thomas Peters[/TD]
[TD]Sanneh (2001), p. 50[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]France[/TD]
[TD]Clovis 1[/TD]
[TD]Brown, Peter (2003). The Rise of Western Christendom. Malden, MA, USA: Blackwell Publishing Ltd.. p. 137[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ireland[/TD]
[TD]the seven signatories of the Proclamation of the Irish Republic: Patrick Pearse, James Connolly, Éamonn Ceannt, Tom Clarke, Seán Mac Diarmada, Thomas MacDonagh, and Joseph Mary Plunkett. Robert Emmett is also considered a founding father[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Netherland[/TD]
[TD]Prince William I of Orange (1533–1584)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sasa huoni kwenye hiyo mifano niliyotoa kwamba si lazima kiongozi wa kwanza wa nchi aitwe Baba wa Taifa? Kuhusu ni nani anayestahili nimesema anayestahili ni Kleist Sykes kwa sababu yeye ndie muasisi wa TAA, yeye ndie aliyeweka misngi madhubuti ya chama cha kupigania uhuru wa Tanganyika na yeye ndiye aliyejitolea kwa hali na mali kuhakikisha kwamba chama cha TAA kinaenea Tanganyika nzima kwa malengo ya kupigania uhuru wa Mtanganyika. Chini yake, hotuba maalum ya kutaka Watanganyika wapewe nafasi katika maamuzi ya nchi yao iliandaliwa na kupelekwa UN. Ilikataliwa bila sababu za msingi lakini ni hotuba hiyo hiyo ikatumiwa tena wakati Nyerere alipokwenda UN kudai Uhuru wa Tanganyika. Hivyo kazi kubwa ilifanywa na huyu Kleist Sykes na baadaye ikaendelezwa na mwanawe Abulwahid Sykes baada ya kifo cha baba yake.
Kama ni Kleist, kwa nini tusirudi nyuma hadi akina Kinjeketile na Mkwawa? Hao ndio walioanzisha harakati za kuwapinga Wajerumani wakati akina Kleist walikuwa wanapigana kwenye jeshi la Mjerumani. Lakini Watanzania walishatoa jibu kwa maswali yenu. Our founding father is Julius Nyerere. Full stop. Naona somo la Mohamed Said limewaingieni kweli kweli.
Kimsingi Mh Rais Kikwete hakujiita Dr kihihivi bali ni udaktari wa heshima( Honorary doctorate) aliotunukiwa ktk chuo kikuu cha Nairobi baada ya kazi kubwa ya upatanishi wa mgogoro ule kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu wa kenya wa 2007 na kufanikiwa kuwapatanisha mahasimu Raila Odinga na Kibaki dakika za mwisho.. Lazima ukumbuke kwamba mgogoro huu uliwashinda kabisa wapatanishi Koffi Annan, Benjamin Mkapa, Graca Machel,Mwenyekiti wa AU wakati ule Rais John Kuffor wa Ghana na Mwenyekiti wa EAC wakati huo Rais Museven wa Uganda..Kutokana na juhudi kubwa za Rais Kikwete maafikiano yakapatikana na ndipo jopo la maprofesa Nairobi University lilipomtunuku Udktari huo wa heshima..Pia kihistoria inaonesha kuwa Kikwete ndo Rais wa kwanza barani Africa kupewa udaktari wa heshima na chuo kikuu hicho cha Nairobi..Watanzania tuache upotoshaji juu ya udaktari wa mh kikwete, tuwe wakweli.
Mzee , Baba wa Taifa yote sawa tu. Maadamu katika historia ya Tanzania mpaka mwisho wa dunia haitabadilika kuwa na baba wa taifa mwingine zaidi ya Nyerere.
Umeshawahi kufikiria kuwa Taifa la Tanzania (kupitia Muungano) linaweza kufa huko mbeleni? unafikiria kuwa nyerere bado atakuwa "baba wa Taifa" bila ya Tanzania?
Umeshawahi kufikiria kuwa nyerere hakuwa muasisi pekee wa nchi inayoitwa Tanzania?
ukisikia ulimbukeni na uzumbukuku wa akili ndo kama huu, kwani mtu ukimwita BABA WA TAIFA ndo inamaana unamuheshimu?!!! mbona MKAPA alikuwa ndo bingwa wa kumuita baba wa taifa na ndo aliyepewa uraisi na NYERERE lakini ndo wa kwanza kumsaliti. mara tu alipofariki nyerere akaanza kwa kubinafsisha NBC ambayo nyerere alikuwa anaililia muda wote na baada ya hapo akaingilia 'kuuza' migodi yote kwa wazungu kabla hata hatujaandaa wanataalam wazalendo wakutosha. acheni mambo ya kizee hayo eti BABA WA TAIFA!!!
Umeshawahi kufikiria kuwa Taifa la Tanzania (kupitia Muungano) linaweza kufa huko mbeleni? unafikiria kuwa nyerere bado atakuwa "baba wa Taifa" bila ya Tanzania?
Umeshawahi kufikiria kuwa nyerere hakuwa muasisi pekee wa nchi inayoitwa Tanzania?
Oooh Good, sasa hakuna haja ya kuumiza kichwa kujadili hoja ya baba wa taifa au mzee Nyerere. Kila mtu aamini anachokiamini bila kumbuguzi mwenzake. (Ni kama vile Wakristo wanamuamini YESU na Waislamu wanamuamini Mohamad. Siku ya Kiama ndiyo ukweli utajulikana kuwa nani alichagua fungu lilio jema). Hivyo na kwenye hili suala la Nyerere kila Mtu aamini anacho ona kina mfaa, maana hakuna sheria inayokubana au kukulazimisha.

Ninafikiri mwanzilishi wa huu uzi atakuwa ameishaelewa sasa...aache kumsakama JK au mwenye mawazo kama ya JK ninamaanisha wale ambao hatumuiti nyerere baba wa Taifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.