Recent content by nawala

  1. N

    JamiiForums Tanzania Applicationa za Cert. Mweka college of wildlife zimeshaanza?

    Vipi za mwaka huu 2023?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Siku akitokea Rapa mkali kuliko FID Q naomba mnishtue

    Moko incredible, Songa, nikki mbishi, p the MC, KadGo, ghetto ambassadar,zaidii, sterio singasinga, nash Mc,
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sababu za kufichwa kwa kitabu cha Enoch

    Nyie wote mmepotoka , mnakubali kuamukiwa vitu vya kusoma,? Mnajifanya mnajua sana maandiko wakati bado ni watumwa tu kwasababu mnaamuliwa mskme nini na njni msisome ! Wapuuzi waafrika rudini kwenye tamaduni zenu Mungu yupo kwenye nature sio hizo dini dini
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my SM-T865 using JamiiForums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini nifanye ili niweze kutatua tatizo la gari yangu aina ya Toyota Corolla Fielder

    Yes ni kwel, ila kwa kuwa mm ni fundi huwa nawafanyia watu overhaul mattzo yanapokuw zaid ya 5 kwenye engne kwa bei ile ile na kwa siku 1 tu , huwa nasambaza engne yote chap
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini nifanye ili niweze kutatua tatizo la gari yangu aina ya Toyota Corolla Fielder

    Hiyo gar ina tatizo kama langu , juzi niliifanyia overhaul ndio sasa iko njema Lakin kuna vitu hivi hapa Hiyo 1. Angalia plugs km nzima 2. Angalia multi air flow sensor isafishe 3,angalia throstle body isafishe pale kuna sensor ambayo inafungua silensor na kuifunga ina ka head kwa mbele...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Exhaust ya Nissan Tiida

    Chukua bati laini toboa tundu ndogo sana kisha weka kweny kibuyu wapipotoa unga
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dereva na Rubani

    Haaahaaàaaa hili jibu ni noma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. N

    JamiiForums Tanzania Karate ndio mchezo unaoweza kukuhakikishia safe self defense kwa zaidi ya 90%

    Karibu moro mkuu uone km nimegoogle au la? Ukifika ulizia chief ,kuanzia magadu hd mzinga karibu nyumbani tunywe chai pamoja tubadilishane tuliyonayo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Karate ndio mchezo unaoweza kukuhakikishia safe self defense kwa zaidi ya 90%

    Na kitu cha kwanza kabisa hapo ni Mungu ulinzi wake pia uwe na haki namatendo mema ukumbuke kusali na kushika amri zake ,la utakufa tu mbwa wew[emoji23]
  11. N

    JamiiForums Tanzania Karate ndio mchezo unaoweza kukuhakikishia safe self defense kwa zaidi ya 90%

    Karate kamchezo laini kias , Ili mtu uwe na uhakik wa ulinzi 1. Bastola au mishale modern 2.combat pure 3. Mixed martial art hapa kuna krav maga,systema,silat,muay boran,jiujitsu,hapkido,aikido, shaolin ,jeet kune do, 4. Boxing 5.lower acrobatic. 6.ninjutsu kiasi level 4 7.judo. Hapa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?

    Mama ntilie ni neno la kinyaturu lenye maana mama sijala,. Ni neno zuri halina shida
  13. N

    JamiiForums Tanzania Vijana watano (below 40 years) wanaofaa kwa nafasi ya Katibu Mkuu CCM taifa

    [emoji28][emoji28]
  14. N

    JamiiForums Tanzania Vijana watano (below 40 years) wanaofaa kwa nafasi ya Katibu Mkuu CCM taifa

    Unamaanisha nn unaposem "akipita lazima watu wageuke"
Back
Top Bottom