MARCKO
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 2,258
- 275
Kwanza poleni kwa kufikiria kwa kina sera za elimu (kiswahili &english debators). Sipo huko.
Mie naomba kujua kama pale chuo cha maliasili na utalii moshi kilimanjaro (MWEKA) wamesha ruhusu wanafunzi wanaosoma certificate za kuanzia june2015 kuapply.
Ahsante!