Hivi unataka kutuambia hili la kufeli ni la bahati mbaya?
Serikali,Kawambwa na naibu wake,Ndalichako wote ni wa kufukuzia mbali!
Hawana ubunifu wa matatizo yaliyopo na hawana uelewa wa changamoto za dunia ya sasa.
Kimsingi wanaandaa taifa legelege la mbumbu watupu!!!
Hebu fikiria kidogo...
Hii safi sana kwa Watanzania na wapenda mabadiliko kwani Mzee Sitta kaweka mambo sawa,kwamba Dr.Slaa mmoja ni sawa na viongozi 20 wa CCM wenye uwezo wa kuongoza nchi,halafu kama haitoshi bado hao viongozi 20 pamoja na yeye hawapati usingizi kwa sababu ya Dj anayeongoza CDM kwa...
Naona niwajuze ubunifu wa watu wa Moshi au ''WAGUMU WA MO-TOWN'',kuna kitu inaitwa Kuku wa maziwa mitaa ya Kiboroloni na KDC,halafu mkuu wa meza yupo sehemu inaitwa Samunge au Toroka Uje''.
Duh!Nakuona kama yule msemaji wa Saddam Hussein alivyokuwa anasifia jeshi lake wakati anajua keshazidiwa,alikuwa anaitwa Al Sahaf kama unakumbukumbu!!!:israel:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.