Samwel Sitta: Wa kuogopwa urais 2015 ni Dr. Slaa tu

Hii safi sana kwa Watanzania na wapenda mabadiliko kwani Mzee Sitta kaweka mambo sawa,kwamba Dr.Slaa mmoja ni sawa na viongozi 20 wa CCM wenye uwezo wa kuongoza nchi,halafu kama haitoshi bado hao viongozi 20 pamoja na yeye hawapati usingizi kwa sababu ya Dj anayeongoza CDM kwa uweledi,nidhamu,hekima na ubunifu wa hali ya juu!
Very interesting guys,Tanzanians should read btn the lines!!!
 
Naona mzee sitta akili imesha expire kabisa... Tokea wamkosekose kumuua na kumpokonya uspika, amekuwa kama amechanganyikiwa vile... Anyway ndio magamba hao, wako kama zombis...

Ignore this fellow, he has passed his useful date!!
 
Kaka angalia kauli zako za kufananisha...kagame na wenzake walikua wapya kabisa bila uzoefu mkubwa wa kiserikali, lakini Rwanda ni sawa na kuongoza mkoa mmoja wa Tz...Sitta yuko sawa kabisa, Rais ajaye wa Tz ukiachilia mbali elimu,uzalendo lazima awe na uzoefu wa kukabiliana na changamoto za taifa kwa wakati huu

Inabidi ujiulize upya kama hiki ulichoandika ndicho kinachosadifu uelewa wako ama umeandika kwa bahati mbaya.
Mwalimu Nyerere alipoanza kuiongoza nchi hii akiwa na uzoefu gani na aliupata wapi(serikali gani)? na mwalimu Nyerere amekuwa ni raisi pekee aliyeiongoza nchi kwa uzalendo mkubwa na mafanikio makubwa kuliko maraisi wote tuliopata kuwa nao, na waliomfuatia walikuwa na uzoefu wa kutosha serikalini lakini ndio hao hao walioiuza nchi. Kikwete na uzoefu wake wote wa kukulia ndani ya ccm na serikalini ameisaidia nini nchi hii tangu aingie magogoni?

Nchi ni nchi tu regardles ina ukubwa gani wa eneo, hapa tunazungumzia uwezo wa mtu binafsi wa kuongoza, hayo mambo ya kuangalia uzeefu kazini ndio yanairudisha nyuma nchi hii. Kinachoangaliwa ni mfumo mzima wa kiserikali katika kuwatumikia wananchi na kuwaletea maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kielimu n.k
 
Kwahiyo CUF hamna hata mmoja. Teh teh teheee. Poor mindednessly thinking!
 
Unajua Nyerere alifanya makosa gani ya kiuongozi ? na kama angekua na uzoefu zaidi angeifanyia nini tz? je ujamaa angeutekelza vipi kama angekua na uzoefu zaidi na TZ kama Nyerere angekua na uzoefu wa juu wa uongozi igekua wapi kimaendeleao kwa ujumla wakati akistaafu mwaka 85?

Uzalendo pekee hautoshi, uongozi una technicalities nyingi na elimu na uzoefu ni vitu muhimu sana...uzalendo pekee yake ni kama kutumia nguvu bila maarifa. Kiongozi anahitaji maarifa na ufahamu uendane na patriotism

Nafikiri kuna watu wengi kama wewe wanaochanganya uzalendo (kwa maana ya kukemea mabaya yaliyopo) na uwezo binafsi wa uongozi. Kuna kuhamasisha huku hakuna taaluma na ndiyo haya ya M4c na mengineyo, lakini uhamishaji usichanganywe na uongozi kwa kua maamuzi mengi ndani ya uongozi hayahitaji nguvu ya uhamasishaji ila uwezo wa kuelewa, kupima ushauri wa wataalamu na mwisho kuchukua maamuzi sahihi.
 
Msimlaumu Sitta kwani amepoteza ouni wake ndiyo maana alijijengea ofisi ya uspika kule urambo kana kwamba ni haki yake na uzao wake tu.Wenzake walipobaini wakamtemesha lakini hajaweza kujifunza.

Mzuri CCM ni marehemu Sokoine na marehemu Nyerere tu.Wengine, hata ukiwaweka na mapanya kwenye chaguzi huru na halali, watu watachagua mapanya badala ya wagombea wa CCM.
 
No wonder nchi hii inazidi kuwa maskini, alichoongea Sitta ndio kazi za Serikali? Jitu kubwa zima linalipwa pesa za walipa kodi kwenda kuongea uharo.
Mkuu mie kilichonishangaza kama yupo kwenye ziara ya kiserikali haya anayoyatamka yana mahuciano gani na hizo kazi za kiserikali..? Nimeona na picha kabisa amevalishwa maguo ya jadi na wenye nguo za kijani.. Ndo ziara ya kiserikali..?

Hii nchi haina nidhamu hata kidogo ya uongozi.. Analipwa posho na allowances na kodi za watanzania wakiwamo hao anaowatuhumu na kila mtu anaona its ok..!

Na hayo masuala ya uzoefu wayapeleke kwao pale Lumumba.. Nyerere alipochukua nchi toka kwa waingereza alikuwa na uzoefu..? Asilimia kubwa ya waliongia serikalini miaka ya mwanzoni ya uhuru walikuwa vijana ambao ndo hao pamoja na yeye Sx.. walikuwa na uzoefu gani kipindi hicho..? Na huo uzoefu mbona ndio umezidi kudidimiza nchi...?
 
mwita maranya.. nchi haiongozwi kwa political mobilization pekee yake kama vile tuko kwenye vita na taifa jingine....kiongozi anayeingia madarakjani kwa style hii hawezi kuacha siasa, ataendeleza tu siasa na taifa litabaki pale pale au kuterereka zaidi kwenye hopelessness.
 
Haya ni mawazo yake kama Mtanzania yeyote yule. Lakini ukuchunguza kwa ndani zaidi, kauli yake inakichocheo cha kutaka kujenga makundi ndani ya CHADEMA wakati huohuo ikimjenga Dr Slaa kisiasa, ndiyo maana hata waandishi wa habari wakakimbilia kutaka kujua kauli ya Zitto Kabwe. Siasa za Tanzania bana.
 
Kauli kama hii ya Sitta iliwahi kusemwa pia na Wassira pale TBC1 akiwa na Mh Mbowe. Kwa hawa wahafidhina wa CCM nje ya chama chao hawaoni kuna VIONGOZI wengine wazuri tu. Fikra hii pia ipo kwenye uongozi wa vyombo vya DOLA wakiongozwa na UwT. Sitta hakuwahi kufika kwenye chaguzi ndogo za Igunga na AruMeru akawaona hawa anaowadharau wanavyojua SIASA na UONGOZI wa pamoja.
 
Unajua Nyerere alifanya makosa gani ya kiuongozi ? na kama angekua na uzoefu zaidi angeifanyia nini tz? je ujamaa angeutekelza vipi kama angekua na uzoefu zaidi na TZ kama Nyerere angekua na uzoefu wa juu wa uongozi igekua wapi kimaendeleao kwa ujumla wakati akistaafu mwaka 85?

Uzalendo pekee hautoshi, uongozi una technicalities nyingi na elimu na uzoefu ni vitu muhimu sana...uzalendo pekee yake ni kama kutumia nguvu bila maarifa. Kiongozi anahitaji maarifa na ufahamu uendane na patriotism

Nafikiri kuna watu wengi kama wewe wanaochanganya uzalendo (kwa maana ya kukemea mabaya yaliyopo) na uwezo binafsi wa uongozi. Kuna kuhamasisha huku hakuna taaluma na ndiyo haya ya M4c na mengineyo, lakini uhamishaji usichanganywe na uongozi kwa kua maamuzi mengi ndani ya uongozi hayahitaji nguvu ya uhamasishaji ila uwezo wa kuelewa, kupima ushauri wa wataalamu na mwisho kuchukua maamuzi sahihi.

Mbona unazungukazunguka tuu kama uko porini? Mtaje basi huyo mwenye hizo sifa za huo unaoitwa uzoefu hapo CCM humu halafu tumchambue... achana na mambo ya kuandika maneno mengi mtaje humu huyo mwenye uzoefu huo unaouongelea halafu tumlinganishe na hao ambao unasema hawana au hawakuwa na uzoefu kama akina Nyerere & Co.
 
Da hii kali mzee 6 hajashilikisha pati zote za ubongo pindi anaongea. kama ccm kuna vingozi wa kutosha kwann watu kama Mkulo ambaye anona suruhisho la matatizo ya kiuchumi ni kuuza viwanja anapewa nafasiya uongozi?

Ngereja, maige, na wengi tu ambao wameunder perform na hao vingozi anaosema ambao wanauzoefu hawana tija yoyote katika taifa letu maan velocity ya kuelekea maisha magumu inaongezeka.

Sasa afadhali mara mia DJ achukue nchi kuliko hao wenye uzoefu wa kutuibia mali zetu!
 
Anajipendekeza akijua kuwa anadamu ya kunguni Sijui kwa nini hakunyang'anywa kadi wakati ule
 
Back
Top Bottom