CHADEMA yachukua kata nzima!

CHADEMA yachukua kata nzima!

Naona mmekosa chakuandika.Unajua cdm wanatapata sana hivi unafikiri ccm imeanza jana?subiri muone maana sasa hivi hiyo Kata unayosema ndio kwanza wamepata viongozi wa CCM SHINA,CCM TAWI NA wanaelekea kwenye chaguzi za Kata,Wilaya,Mkoa na Taifa.Sasa wewe unayesema Kata nzima imehamia cdm si unawadanya wenzako? Safari hii msio kipenda CCM mtapata ugonjwa wa moyo bure.CCM tumejipanga kukamilisha mipango ya kulikomboa jimbo la Moshi Mjini ili mkose pa kuegemea.
KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM.

:israel:Naona unakuwa kama Al Sahaf yule msemaji wa jeshi la Saddam Hussein,so funny!!!
 
leo katika hali ya kushangaza na ambayo haijawahi kutokea tanzania chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kamanda asiyechoka ndesa pesa kimefanya kufuru kwa kuchukua kata nzima ya kimochi kuanzia mwenyekiti wa ccm kata ndg Fransis M Ringo na wananchi wa kijiji kizima cha mdawi.
wananchi hao walichukizwa na kitendo cha aliyekuwa naibu meya ndg stewart lyatuu kuondoa mradi wa sh bil 3 wa maji uliokuwa umeletwa na wafadhili.
baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani katika kata na kuchukuliwa na diwani wa chadema ndg macha na mwenyekiti wa kijiji kupitia chadema ndg kinyaha ccm kupitia bw lyatuu na kundi lake waliwafungulia mashtaka diwani na mwenyekiti na kuandaaa mashahidi wa uongo.
leo kupitia mkutano ambao umehudhuriwa na meya wa moshi mh jafary michael,ndesamburo,lusy owenya,mh koyi,mh kiwelu,mh macha na madiwani wa viti maalum ccm imeondolewa rasmi katika kata ya kimochi kwa habari zaidi fuatilieni itv taarifa kesho.

picha pia zipo nitawarushieni kesho.

Tangu JF iingie kwenye mobile tunakutana na vituko kama hivi. Any body can rite any thing
 
Jamani huo sio ukweli nakanusha kabisa, kwamba moshi kuna ccm. Ccm imekufa kifo cha kufa na kuzikwa hakina members humu, na hivi punde wanachokifanya kina ndesamburo ni kuhakiki wanachama wa cdm walio hai kata nzima kuhamia chadema inawezekana ila ninachokijua na kukiamini mimi moshi kwa sasa hakuna gamba na kama lipo siku zake za kufa hazifiki 2015 katika uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji 2014 vua gamba vaa gwanda.

Mh! Mkuu unataka kuniambia hata Minde, Ngawaiya na Beno Malisa walishaitosa CCM?
 
Naona mmekosa chakuandika.Unajua cdm wanatapata sana hivi unafikiri ccm imeanza jana?subiri muone maana sasa hivi hiyo Kata unayosema ndio kwanza wamepata viongozi wa CCM SHINA,CCM TAWI NA wanaelekea kwenye chaguzi za Kata,Wilaya,Mkoa na Taifa.Sasa wewe unayesema Kata nzima imehamia cdm si unawadanya wenzako? Safari hii msio kipenda CCM mtapata ugonjwa wa moyo bure.CCM tumejipanga kukamilisha mipango ya kulikomboa jimbo la Moshi Mjini ili mkose pa kuegemea.
KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM.

wewe ni yule waziri wa habari wa serikali Iraq na Sadam Husein, iliyo angushwa na wamarekani?!
 
Kipindi hiki ni kipindi kibaya sana kwa ccm. Imewafanya baadhi ya wanaccm kushindwa kujitambulisha kuwa ni wanaccm.
Mpaka wahindi wameamua kujiunga CHADEMA huu upepo kweli unavuma kwa kasi ya ajabu!

Asante Mungu kwa kuwafunulia mambo haya hata watoto wadogo!

Hii nimeipenda! imekaa vizuri m2 wangu!
 
Naona mmekosa chakuandika.Unajua cdm wanatapata sana hivi unafikiri ccm imeanza jana?subiri muone maana sasa hivi hiyo Kata unayosema ndio kwanza wamepata viongozi wa CCM SHINA,CCM TAWI NA wanaelekea kwenye chaguzi za Kata,Wilaya,Mkoa na Taifa.Sasa wewe unayesema Kata nzima imehamia cdm si unawadanya wenzako? Safari hii msio kipenda CCM mtapata ugonjwa wa moyo bure.CCM tumejipanga kukamilisha mipango ya kulikomboa jimbo la Moshi Mjini ili mkose pa kuegemea.
KIDUMU CHAMA TAWALA CHA CCM.

sitting allowance unalipwa shingapi mkuu?
 
CDM inachekesha sana adui muombee njaa,CCM ushindi 2015 utakuwa wa Tsunami habari ndo iyo

CCM Msijipe matumaini ya kushinda Urais 2015 bali mjiandae kuombeleza kifo rasmi cha ccm ni 2015.
 
Neno kijiji kizima ni zito hebu tuambie hadi watoto wa chini ya miaka 18 nao wamo?

Kijiji kina watu wangapi hadi ukajua kwamba wote wamehamia CHADEMA?

Tuwe macho kuongeza chumvi nyingi hata kama habari ni ya kweli inaharibika
wewe akili yako ni kama ****** yako usipotaka soma habari humu kasome gazeti lauhuru na sikiliza tbc1:israel:
 
leo katika hali ya kushangaza na ambayo haijawahi kutokea tanzania chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kamanda asiyechoka ndesa pesa kimefanya kufuru kwa kuchukua kata nzima ya kimochi kuanzia mwenyekiti wa ccm kata ndg Fransis M Ringo na wananchi wa kijiji kizima cha mdawi.
wananchi hao walichukizwa na kitendo cha aliyekuwa naibu meya ndg stewart lyatuu kuondoa mradi wa sh bil 3 wa maji uliokuwa umeletwa na wafadhili.
baada ya kushindwa uchaguzi wa udiwani katika kata na kuchukuliwa na diwani wa chadema ndg macha na mwenyekiti wa kijiji kupitia chadema ndg kinyaha ccm kupitia bw lyatuu na kundi lake waliwafungulia mashtaka diwani na mwenyekiti na kuandaaa mashahidi wa uongo.
leo kupitia mkutano ambao umehudhuriwa na meya wa moshi mh jafary michael,ndesamburo,lusy owenya,mh koyi,mh kiwelu,mh macha na madiwani wa viti maalum ccm imeondolewa rasmi katika kata ya kimochi kwa habari zaidi fuatilieni itv taarifa kesho.
picha pia zipo nitawarushieni kesho.
Asante kwa taarifa..
 
CDM inachekesha sana adui muombee njaa,CCM ushindi 2015 utakuwa wa Tsunami habari ndo iyo
ngoja tumsubiri na katibu wako mwenezi Nape aka 'Thomaso' akitaka apewe majina ndio aamini!
 
Neno kijiji kizima ni zito hebu tuambie hadi watoto wa chini ya miaka 18 nao wamo?

Kijiji kina watu wangapi hadi ukajua kwamba wote wamehamia CHADEMA?

Tuwe macho kuongeza chumvi nyingi hata kama habari ni ya kweli inaharibika

Tatizo siyo NENO, tatizo ni kichwa chako ndiyo kizito!
 
Whenever wananchi have decided, they never give up because its no longer a movement in their brains but it is a movement in their hearts.
 
ngoja ubishane na picha kaka,katika vijiji ambavyo vilikuwa vimelishwa limbwata na chami ni vya kata hii lakini baada ya cig kuthibitisha kuwa chami ni mwizi wakaamua kuikimbia ccm.
Na kama unabisha eleza ilikuwa vipi chami akapata ubunge jimboni moshi?au unataka kutuambia ni wa viti maalum?
Kijiji nilichokutajia ndicho kijiji cha mwisho kwa maendeleo katika mkoa wa kilimanjaro lakini jana baada ya ndesamburo kuingia na operesheni vua gamba vaa gwanda ccm ikazikwa rasmi.

kamanda wa jeshi la ardhini, big up sana kwa uzi huu wa leo. Lakini siamini hadi nione hizo picha kaka. Acha kututania ringo. Tutakutoa nduki humu kama huweki hizo picha, adhawaizi hongera sana kutuvutia uzi huu.
 
Back
Top Bottom