IamError_D
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 432
- 92
eneo ka segera
kweli kufa kufaana hapa sio mahali pakutangaza biashara yako acha ujinga wewe yani mpaka unakerawatanzania wawe wakweli na wajali maisha ya wanadamu.i like azam ambaye ukiingia kwenye boat utakuta anaenda na wakati .kuna vifaa automatic vya kuzima moto kwenye magari lakini wote wananunua vya mkononi ambavyo si msaada .kuna dspa 5 special kwa magari , pia kwa ajili ya majumba , sever rooms ,control rooms,mashule, kumbi za mikutano , makanisani lakini mtanzania anaona ni gharama ku invest ila yakitokea kama haya ndipo ana anza kulia lia .hawa jamaa wa dspa 5 wako dar na vifaa vya kisasa mno .watafuteni
0685 252525 au 0767 554433
usalama wa mali yako uje kwanza na wewe mwenyewe usingoje hasara .waafrika bwana !!!!
kwel mungu hupo' nyuma ya bas wameandka in God we trust... M sure wangekuwa wameandka chagua ccm wa2 kbao wangekufa
Duh! aisee hatari sana halafu haya mabasi unakuta mlango wa kutokea upo mmoja tu tena upo karibu na Engine!!
kwel mungu hupo' nyuma ya bas wameandka in God we trust... M sure wangekuwa wameandka chagua ccm wa2 kbao wangekufa
Acha majungu....hakuna kampuni ya mabasi ya kuifikia Dar Express.Hata Scandnavia nao walianza hivi hivi!!! Hii kampuni inakufa sasa! Ina magari machovu kupindukia. Siku moja nimepanda arusha-dar. Basi lilitoka karatu likiwa bovu kweli kweli!
Insurance imekaaje hapo?
inawezekana pia kuwa hicho kigogo kiliwekwa baada ya Moto kuanza, yaani baada ya basi kusimama na kigogo kikawekwa kusaidia break huku abiria wakitafuta pakutokea, ni LABDA LAKINIHii gari inaonekana ilikuwa inatengenezwa,unaweza ona kigogo chini ya tairi ya mbele,inamaanisha abiria wote walikuwa wameshuka ila mizigo ndio imepotea yote
Hii gari inaonekana ilikuwa inatengenezwa,unaweza ona kigogo chini ya tairi ya mbele,inamaanisha abiria wote walikuwa wameshuka ila mizigo ndio imepotea yote
je ni kwa vip wanaweza wakafidiwa MIZIGO YAOHii gari inaonekana ilikuwa inatengenezwa,unaweza ona kigogo chini ya tairi ya mbele,inamaanisha abiria wote walikuwa wameshuka ila mizigo ndio imepotea yote
Innalillah wainnailaih rajighun"
kweli kufa kufaana hapa sio mahali pakutangaza biashara yako acha ujinga wewe yani mpaka unakera
Acha majungu....hakuna kampuni ya mabasi ya kuifikia Dar Express.