Recent content by NANTUCHI

  1. N

    JamiiForums Tanzania Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

    Safi sanaaa
  2. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Naomba kujua bei ya jiko hili[emoji116]
  3. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Vitu vizuri sana, wacha nipige picha jiko langu uniambie unauzaje hapo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ijue Botswana japo kidogo tu

    Kwa hyo imegeuka kuwa jiwe walilolikataa waashi..!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

    Duuh, hata siku ya wakulima zamani ilikuwa 7 7
  6. N

    JamiiForums Tanzania Andika maneno matatu yenye ujumbe mkubwa

    Sitaki bongo movie
  7. N

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Mwenye link ya movie ya 'The Breach' aweke ili niipakue vzr, huwa naangalia movie zenye akili tuuu sio movie kelele mwanzo mpka mwisho!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Ju mong ni nomaa. Unayo series baada ya Ju mong ile ya mtoto wake? Jina nimesahau, the Lands of....! Nimesahau kbsaa. Mimi nyumbani kwangu wakiona naingia ndani wanaondoa movie zao za bongo sbb sizipendi kbsaaa, hazina mvuto
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ninajifunza java programming! je mliofanikiwa mlisomaje?

    Asante Mkuu ntakutafuta
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ninajifunza java programming! je mliofanikiwa mlisomaje?

    Mkuu. Nimeipenda hii juhudi yako. Naomba na nijiunge kwny juhudi. Nitakupm ili nami nipate madesa toka kwako
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jipatie clean Phone kwa bei Rahisi..

    Zipo vzr sanaaaa hzo simu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

    Siku zote naamini hakuna gari isiyofaa, ttzo letu hatuna mafundi wa uhakika. Kila gari lzm iharibike sbb imeundwa kwa vitu vinavyoisha. Cha msingi ni lazma kuwa na mafundi wa uhakika tu. Hakikisha unaendesha gari unayoipenda sio anayoipenda rafiki yako. Hongera kwa wale wanaoendlea kutoa namba...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti ongezeko la Wachina nchini

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unawagegeda sana nn!!
Back
Top Bottom